habari

  1. Tuhuma za matumizi mabaya ya fedha: Wabunge wa CHADEMA waanza kuhojiwa TAKUKURU

    Wabunge wa CHADEMA leo wameanza kuwasili katika ofisi za TAKUKURU jijini Dodoma kwa ajili ya kuhojiwa. Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi (Sugu) amekuwa wa kwanza kufika. TAKUKURU ilisema itawahoji wabunge 69 wa chama hicho kufuatia malalamiko juu ya matumizi ya fedha za makato katika...
  2. Mahakama ya Afrika Mashariki yatupilia mbali pingamizi la Serikali juu ya sheria ya habari iliyofunguliwa na watetezi wa habari

    #HABARI Mahakama ya Afrika Mashariki (EACJ) imetupilia mbali rufaa iliyokatwa na Serikali, baada ya ushindi wa kesi ya kupinga baadhi ya vifungu vilivyoonekena kuwa kandamizi katika sheria ya huduma za vyombo vya habari ya mwaka 2016./ Serikali yabwagwa kesi sheria huduma vyombo vya habari ====...
  3. Habari za Mauza uza ya porini niulize mimi

    Mwaka flani nikiwa sekondari likizo nlienda kwa babu.babu yangu ni mwindaji miaka mingi sana.anafahamika kijijini. Na zaidi zaidi ni mpenzi wa nyama ile mbaya. Huwa hatumii maharage hata kwa shida. Yeye ni nyama na anajua namna ya kuitunza hata mwezi akaila. Nlikuwa form four mzee alinambia...
  4. Chadema waongea na waandishi habari juu ya shambulio la Mbowe na mtazamo wa chama

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Mnyika, amesema kutokana na hali aliyonayo Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe, wamefikia uamuzi wa kufanya utaratibu wa kumsafirisha kuja jijini Dar es salaam kwa ajili uchunguzi zaidi na matibabu. Katika tukio hili napo...
  5. Vyombo vya habari Tanzania vimethibitisha aliyoyasema Lissu

    Yale yale aliyoyasema kwamba vyombo vya habari haviko huru kuanzia Clouds, Azam, ITV wameshindwa kabisa kuwa huru kuipa airtime hii habari, Pamoja na kuwa trending news africa kupitia mitandao ya kijamii,BBC, VOA, DW lakini wao wamekuwa kimya. Wakati wako tayari kurusha habari ya TLP kumpitisha...
  6. T

    NSSF na habari njema...

    Moshi Vikundi vya wajasiriamali wadogo wadogo mkoani Kilimanjaro vipo mbioni kunufaika na mkopo wenye riba nafuu uliotolewa na serikali kupitia shirika la hifadhi ya jamii Nssf kwa lengo la kuinua biashara zao. Shirika hilo limetenga shilingi bilioni tano kwa ajili ya kuvikopesha vikundi hivyo...
  7. Cameroon: Mwandishi wa Habari adaiwa kufariki dunia mikononi mwa polisi, Shirika la RSF lataka uchunguzi binafsi kufanyika

    Shirika la Reporters Without Borders (RSF) limesema Samuel Wazizi ambaye alikamatwa Agosti 02,2020 kwa madai ya kukosoa Mamlaka za Serikali amefariki dunia Taarifa ya RSF imesema siku tano baada ya kukamatwa, Wazizi alihamishwa Kituo na kuanzia siku hiyo familia na wanasheria wake hakuruhusiwa...
  8. D

    Nahitaji Chalk Making Machine

    Habari wadau, natafuta machine ya kutengeneza chalk Kwa ajili ya kuanzisha mradi wa kutengeneza chalk na kuuza, mwenye uzoefu na biashara hii anisaidie kupata machine na ushauri wa biashara yenyewe.
  9. F

    Tangu tarehe 21/05/2020 nilikuwa nje ya vyombo vya habari hadi leo 05/06/2020. Mnijuze nini kilijiri

    Halo wadau wa JF nimekuwa katika mazingira magumu sana kupata habari kuanzia tarehe 21/5 hadi Leo 05/06/2020. Maisha haya ni mahangaiko na sikuwa na simu wala redio mahali nilikokuwepo. Wadau na familia yangu naombeni msaada wenu nini kilijiri humu nchini na duniani kisiasa, kiuchumi, michezo...
  10. S

    Tofauti kati ya Shushushu na mwandishi wa habari

    Tofauti ya msingi kati ya wanahabari na mashushushu ni katika baadhi ya mbinu za msingi za ukusanyaji habari, ambapo kwa asilimia kubwa mashushushu hukusanya habari kwa njia za siri ambapo mara nyingi wanahabari hukusanya habari kwa uwazi. Kingine kinachotofautisha fani hizo mbili ni matumizi...
  11. HABARI MPASUKO: Ajali ya basi imetokea Dar mbezi mwisho.

    Amani kwako. Kuna ajali imetokea Dar Es Salaam pale mbezi mwisho iliyohusisha basi kubwa la kuelekea mikoani. Kinachofuatia. Basi linalojulikana kwa jina la Novo coach linalofanya safari zake za kila siku kutoka Dar kuelekea Kigoma ndilo lililopinduka na katika maeneo hayo ya mbezi mwisho...
  12. S

    Sekta ya Habari Tanzania Vs Usalama wa Taifa

    Kiukweli kabisa kama sekta ya Habari nchini ingetumika kiufasaa kama mataifa mengine yaliyoendelea katika sekta ya habari ingelisaidia taifa katika maswala mazima ya Usalama wa Taifa, mwandishi wa habari aliyekwiva ni zaidi ya Usalama wa Taifa, tuachane na hawa waandishi wa kupokea bahasha kuna...
  13. Unamkumbuka yule askari aliyeua mtu mweusi US,basi kwisha habari yake. Wazungu wakekesha kupiga simu Afrika kuomba msamaha

    Waswahili wanasema ukijua hili wenzio wanajua lile. Kikundi cha kina mama kutoka Kongo kimesema enough is enough, wamesema sasa basi. Wakina mama hao wamechoshwa na taarifa za kila siku kutoka Marekani ambapo kila kukicha watu weusi wamekuwa wakiuliwa na hivyo kutishia kutoweka kwa kizazi cha...
  14. Je, Vyombo vya Habari vioneshe wazi vyama wanavyosapoti kama Nchi zilizoendelea?

    Vyombo vya Habari vya nchi zilizoendelea kama Marekani, vimekuwa na kawaida ya kusema wazi Vyama au Itikadi ambazo wanazisapoti katika vipindi vya uchaguzi, na hali hiyo huendlea hata baada ya uchaguzi. Katika nchi zetu za Afrika vyombo vya habari haviweki wazi labda baadhi ya magazeti ambayo...
  15. Live on Star TV: Mkuu Maxence Melo wa JF, yuko live ndani ya Jicho Letu Ndani ya Habari, JF ikiwa ndie mtoaji mkuu wa habari Tanzania

    Wanabodi Tuko Live on Star TV, Mkuu Maxcence Mello wa JF, Yuko Live Ndani ya Jicho Letu Ndani ya Habari, JF Ikiwa Ndie Mtoaji Mkuu wa Habari Tanzania, Msikilize Max Paskali
  16. L

    Kama taarifa ya janga la korona haina umuhimu Tanzania kwanini vyombo vyetu vya habari viendelee kutoa taarifa za mataifa mengine?

    Baadhi ya vyombo vya habari kama ITV na UTV hapa nchini kila baada ya taarifa ya habari hutoa summary ya mwenendo wa maambukizi ya korona duniani. Je kuna faida au madhara gani kwa wananchi kusikia taarifa ya mwenendo wa Korona kwa mataifa ya nje tu bila kujua kinachoendelea nchini? Je...
  17. Namtafuta baba yangu

    Habari member wenzangu wa JF, Mimi ninamtafuta baba yangu ambaye hata kwa sura simfahamu ila kwa maelezo ya mama jina la baba ni STANLEY JACOB FIFI na ni mwenyeji wa IRINGA lakini alikuwa anafanya kazi Dar na huko ndiko walikokutana na mama. Mama hajawa muwazi kwangu nahisi pengine...
  18. Vyombo vya Habari vya Kimataifa vinapata faida gani kuzusha uongo kuihusu Tanzania na Rais Magufuli ?!. Angalia uongo/uzushi wa The Guardian la UK!

    Wanabodi, Wanabodi, kila nipatapo fursa huwa ninawaletea makala ndefu za Kwa Maslahi ya Taifa, hivyo leo nimepata fursa tena naendelea na zile makala zangu za kuhamasisha uzalendo kwa jina la "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo zinaendeshwa kwa mfumo wa maswali, leo nazungumzia media za kimataifa...
  19. Habari Njema Kutoka Barrick Gold kwa Watanzania, Tunaanza Kufaidi Rasilimali Zetu, Donge Nono la Dola Milioni 100 zalipwa

    Wanabodi, Hatimaye Tanzania sasa tunaanza kufaidi rasilimali zetu za madini, ambapo leo, donge nono la dola za Marekani milioni 100, zimelipwa kwenye kile kibubu chetu pale kwenye ule mfuko Mkuu wa hazina ya serikali kama advance payment ya kile kishika Uchumba cha dola milioni 300, ambacho...
  20. J

    Habari Njema na Mbaya: Takribani 80% ya visa vya COVID19 haviambatani na dalili kali au za kutishia maisha

    Katika visa vilivyobainika duniani vya #CoronaVirus, asilimia 15 tu huambatana na dalili ya ugonjwa hatari wa mapafu “pneumonia”, kushindwa kupumua, oksijeni kupungua kwenye damu na matatizo mengine ya mapafu Asilimia takribani 5 huambatana na dalili hatarishi zaidi zinazoweza pelekea kifo kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…