habari

  1. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mashambulizi ya teknolojia za habari na mawasiliano kipindi cha uchaguzi kuna maandalizi?

    Kwenye nchi nyingi kuelekea kipindi cha uchaguzi, siku ya uchaguzi na hata baada ya uchaguzi kuna mambo mengi hutokea. Mojawapo ya mambo hayo ni mashambulizi/udukuzi ya mifumo ya teknolojia ya habari na mawasiliano na hata database mbalimbali au vitu vingine vinavyohusiana na hivyo. Mfano...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole Kuzungumza na Waandishi wa Habari kesho Oktoba 8, saa 8 Mchana

    Tuna Jambo Letu Kesho Saa 8 Mchana Uskose wakiweka uongo tunaweka ukweli wote
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba akiwa Musoma: Mkinipa kura za kutosha nikawa Rais, nitasimamia Elimu Bora na matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano

    MKINIPA KURA ZA KUTOSHA OKTOBA 28, NA NIKAWA RAIS NITASIMAMIA ELIMU BORA NA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO "PROF.LIPUMBA" MUSOMA- MARA Serikali ya umoja wa kitaifa chini ya CUF itahakikisha kuwa watoto wote wa Tanzania wanakuwa na haki ya kupata elimu bora ya msingi, elimu ya...
  4. JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Magufuli apiga simu mubashara kwenye Kongamano la CWT na kukanusha kufutwa kwa Ualimu Ngazi ya Cheti

    Leo tarehe 5 Oktoba, katika Kongamano la Kuadhimisha Siku ya Walimu Duniani lililoandaliwa na CWT, Dodoma, Rais John Pombe Magufuli alipiga simu 'live' na kuongea na washiriki wa kongamano na pia kukanusha kufutwa kwa ualimu wa ngazi ya cheti. Rais Magufuli amewataka walimu kupuuza taarifa hiyo...
  5. JamiiForums Tanzania Waandishi wa habari jifunzeni kuvaa mavazi yanayoendana na Matukio mnayoyafanyia Coverage

    Ndugu waandishi, Nimekua nikifuatilia KAZI zenu hasa za kwenye TV zenu za YouTube na kugundua wengi wenu mavazi yenu hayawatanabaishi kama wataaluma/ watu wenye Ku-command respect kutoka Kwa vyanzo vyenu mnavyochukua habari hasa zile za kisiasa au stream/wadau wenu mnakopereka habari...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Makanjanja wengi kwenye vyombo vya habari sababu ya kupoteza mvuto....

    Nimejaribu kufuatilia vyombo vya habari karibia vyoote (vya Redio na TV) hasa kipindi hiki cha uchaguzi na kugundua kuwa asilimia kubwa ya vyombo vya habari vimepoteza weredi wa kutoa matangazo yenye tija na ubora kwa jamii tofauti na ilivyokuwa hapo siku za nyuma. Nimejaribu kufuatilia nyanja...
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA: Tunamuunga mkono Maalim Seif kwa Urais Zanzibar. Lissu hataendelea na kampeni, atapangiwa majukumu mengine

    Kwa mujibu wa Tumaini Makene: Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe. Freeman A. Mbowe leo Jumapili, Septemba 4, 2020, saa 7 mchana atatoa tamko, kupitia Mkutano wa Waandishi wa Habari, kuhusu maazimio ya Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Chama kilichoketi jana na kumalizika usiku jijini Dar es Salaam...
  8. JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba: Nichagueni Oktoba 28 niwe Rais nisimamie elimu bora na matumizi ya teknolojia ya habari na mawasiliano

    NICHAGUENI OKTOBA 28, NIWE RAIS NISIMAMIA ELIMU BORA NA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO "PROF.LIPUMBA" KWIMBA, MWANZA Serikali ya umoja wa kitaifa chini ya CUF itahakikisha kuwa watoto wote wa Tanzania wanakuwa na haki ya kupata elimu bora ya msingi, elimu ya sekondari na elimu...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa habari wanafanya kazi kwa uhuru Tanzania

    Serikali ya Tanzania inaendelea kuheshimu na kulinda tasnia ya habari na wanahabari kuweka misingi imara ya sheria inayofanya watendaji wake kufanya kazi kwa uhuru bila kuingiliwa na mhimili mwingine wa Nchi. Tasnia na wanatasnia wa Tanzania wapo huru na wanaendelea kulindwa na kuheshimiwa, ili...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa habari wa Zanzibar wako vizuri kuliko wa Bara kwenye mambo ya uchaguzi.

    Niwapongeze waandishi wa habari wa Zanzibar kwa namna wanavyofuatilia na kuripoti habari za uchaguzi. Mungu awabariki Maendeleo hayana vyama!
  11. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kuongea na vyombo vya habari muda mfupi ujao

    Tundu Lissu mgombea urais wa JMT kupitia CHADEMA anatarajia kuongea na vyombo vya habari leo majira ya saa kumi na nusu jioni. ----- Wito wa dharura, Mkutano na Waandishi wa Habari Chief, habari za muda huu? Naomba kukutaarifu kuwa Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Utambulisho

    Habari jamiiforum. .!! Mimi ni mgeni humu nashukuru rasmi nimeweza kujiunga jamii forum kwenye kambi kuu ya maarifa na burudani. Asanten
  13. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ameongea na waandishi wa habari, afafanua vitisho vya Amsterdam kwa Mkurugenzi wa Uchaguzi na suala la kuunga mkono Ushoga

    Hii ndio Taarifa mpya inayozunguka duniani kwa sasa . Endelea kutegea sikio === Mgombea wa Urais kupitia tiketi ya Chama cha Demakrasia na Maendeleo (Chadema) Ndugu Tundu Lissu leo amekutana na Waandishi wa habari ambao walipata fursa ya kumuuliza maswali mbalimbali ambapo Mgombea huyo...
  14. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu: Sijaletewa malalamiko yoyote kuhusu chochote " As far as I'm concerned" sina chochote cha kufanya nje ya ratiba yangu

    Yupo Arusha anaongea na waandishi muda huu na huo ndiyo ujumbe wake kwa tume. Malalamiko hayapelekwi CHADEMA wala Twitter bali anapelekewa yeye. Tundu Lissu amesema kuwa yeye ndiye aliyesaini hati ya maadili ya tume na lolote linalomhusu yeye kuhusu maadili ya uchaguzi ni lazima apelekewe yeye...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Habari wana JF

    Nilikuwa naulizia kuwa hivi inawezekana kupata online copy ya result slip pamoja leaving certificate ya form four?
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 Unapomwita binadamu mwenzako Msukule mbele ya vyombo vya habari unataka Taifa ligawanyike upate nini?

    Naomba niki diclare kuwa mm Sina chama chochote isipokuwa kumuita mgombea uraisi wa Tanzania ni "msukule" hapa naona umekosea. Km umeamua kusema ukweli Basi usitukane
  17. U

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Umma: Humphrey Polepole Kufanya Mkutano na Waandishi wa Habari Leo Jumapili Kuanzia Saa 8 Mchana

    Ndugu Mtanzania Mzalendo tafadhali mkumbushe & Mtaarifu Mwenzako Tuna Jambo Letu Leo Iko faida ya kuuishi na kuusema ukweli, Na leo nitausema na kuudhihirisha ukweli. Kura zote kwa Mkweli Namba1, Dkt. Magufuli
  18. T

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari kwa wakati huu viko na nguvu ndogo sana.

    vyombo vya habari hapa Tz havinà nguvu kabisa ,sasa hivi mitandao ya kijamii ndo kila kitu. Mgombea anayekubarika mitandaoni basi ndo anayependwa huu ndo ukweli. Watu radio na Magazeti awayasikilizi sana, labda wazee wamakamo tu tuweni wakweli tu. Hii hoja ya Rais wa mitandao , basi tuseme...
  19. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu afanya mdahalo na Waandishi wa habari atoa ufafanuzi kuhusu masuala mbalimbali. Apangua hoja ya kutumika na mabeberu

    "Tofauti ya Mrema, Slaa na Lowassa ni 'organization' wakati wa nyuma hakukuwa na 'organization' ila sasa tunayo, tunaweza kuweka mawakala nchi nzima"- @TunduALissu #“Kutakua na Uhuru kamili wa vyombo vya Habari, katiba yetu haina neno ISIPOKUA, kutakua na Uhuru wa maoni, kutakua na Uhuru wa...
  20. JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba akiwa Bukoba Vijijini: Nitasimamia elimu bora na matumizi ya teknolojia ya habari na mawasiliano

    NITASIMAMIA ELIMU BORA NA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO "PROF.LIPUMBA" BUKOBA VIJIJINI Serikali ya umoja wa kitaifa chini ya CUF itahakikisha kuwa watoto wote wa Tanzania wanakuwa na haki ya kupata elimu bora ya msingi, elimu ya sekondari na elimu ya juu. Kila raia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…