Naomba kujua dawa ya kipele kigumu ambacho hakiumi ila nilikichokonoa kinatoa damu mara kwa mara

Igangilonga

Senior Member
Mar 11, 2006
133
27
Habari zenu wana jamvi.

Naomba kujua dawa ya kipele fulani kigumu ambacho hakiumi ila nilikikwangua kinatoa damu mara kwa mara ingawa hakiumi kabisa.

Kipo kwenye kidole gumba cha mkono kushoto.
 
Back
Top Bottom