Yaani ukifungua Ukurusa wa Haniu unaikuta Habari hiyo hiyo ambayo Msigwa nae ameiweka kitu ambacho nadhani kungekuwa na Utaratibu mzuri tu wa Kiutendaji basi Jukumu hilo angekuwa analifanya Mtu Mmoja pekee.
Nadhani (Ushauri wangu Binafsi) hiki Cheo cha Ukurugenzi wa Ikulu kingeongezewa pia na...
Kiongozi wa Ujerumani Angela Merkel amekuwa chancellor wa Ujerumani toka 2005
Jakaya Kikwete kamkuta kamuacha
John Pombe Magufuli kamkuta kamuacha
Samia Suluhu Hassan kamkuta
Huko duniani kafanya kazi na:-
Marais 4 wa Marekani,
Mawaziri Wakuu 2 wa Canada,
Mawaziri Wakuu 3 wa Japan,
Marais 4 wa...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum limeua mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Kilambo Nyasairo, mkazi wa Chanika kwa tuhuma za kujihusisha na matukio ya ujambazi
#MwananchiUpdates
Nalipongeza sana jeshi la polisi kwa kumpora haraka silaha huyu jambazi
TRA Wamekanusha Taarifa zilizoandikwa JamiiForums zilizodai Mtandao wao kusumbua.
Wamesema ni taarifa ya Uongo na Uzushi. Kwani imelenga kupotosha na kuleta taharuki miongoni mwa Walipa Kodi pamoja na kuidhalilisha taasisi na Watumishi wake.
Katika kipindi cha mwezi mzima, TRA haikuwa na...
Hii ndio Taarifa iliyosambazwa mapema leo duniani, Mwamba Mbowe ataongea na wanahabari hao kutokea kwenye Hotel ya Golden Rose Mjini Arusha.
Sikio la Dunia nzima limetegwa upande huo ili kujua kitakachozungumzwa.
Wote mnakaribishwa.
Muhimu: Tufuate mwongozo wa WHO wa kudhibiti Corona...
TFF na AZAM TV zimeingia mkataba wa kudhamini ligi ya soka Tanzania Bara bila ya kutangaza Tenda na Pia hakuna mikataba mirefu kama huubwa miaka kumi.Huu ni ukiukwaji wa utaratibu wa kuonyesha mechi za mpira wa miguu nchini.
Duniani kote Tenda zinatangazwa na kila kampuni inatoa ofa lakini...
Rais wa Zanzibar Dkt. Hussen Mwinyi amemteua Dkt. Saleh Y. Mneno kuwa Mkurugenzi wa ZBC. Nasriya M. Nassor ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Utumishi na Uendeshaji.
Khamis Siasa ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Mipango, Sera na Utafiti. Shaib I. Moh'd ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa...
Makaburu na mawakala wao hawataki kuamini lakini ndivyo ilivyo.
Hivi sasa inatumika nguvu kubwa kuitafuta corona hata kwa tochi nchini Tanzania bila mafanikio.
Wanalazimisha kushawishi mamlaka za juu ziseme na kukiri kuwa Tanzania kuna corona.
Wanalazimisha kubambikiza kila kifo kuwa ni cha...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Daniel Chongolo anafanya mkutano na waandishi wa habari katika ukumbi wa Halmashauri Kuu (NEC) Makao Makuu ya Chama jijini Dodoma.
=====
KATIBU MKUU CCM AWAONYA WENYE NIA OVU SUALA LA UMEME, ATOA MAAGIZO KWA WIZARA TATU
CHAMA Cha Mapinduzi CCM...
Habari ya asubuhi ndugu wanajamvi, natumaini bila shaka mu wazima wa afya na mmeianza vema siku ya leo. Kwa ambao ni wagonjwa nawaombea kwa Mwenyezi Mungu Muumba wa awajalie nafuu ya haraka ili muweze kurejea katika majukumu yenu ya kila siku.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Daniel...
Kumekuwa na upotoshaji mkubwa sana unaofanywa maksudi na media na sijui kwanini.
Mfano mpaka sahivi hamas amesharusha makombora zaid ya 1000+ Israel lakin kinachowasaidia Israel ni kuwepo kwa mfumo wa iron dome defense system.
Hamas anaporusha Yale makombora yake achagui, tofauti na Israeli...
BURIANI BABA, RAFIKI NA MZUNGUMZAJI WANGU BALOZI ABBAS KLEIST SYKES
Mwezi October 1999 nilikuwa Dubai na nikikaa Carlton Hotel.
Siku moja jioni simu yangu ikalia.
Walikuwa BBC London Idhaa ya Kiswahili wanataka kunihoji kuhusu Mwalimu Julius Nyerere ambae wakati ule alikuwa amelazwa St...
Habari za majukumu?
Naomba mtu yeyote anisaidie details za kampuni zinazofanya door to door marketing.
(Maarufu kama watu wa promotion, na wanauza bidhaa mchanganyiko kama vile vipodozi, sabuni, vyombo n.k kwa kuvitembeza mtaani)
Nahitaji kupata details zifuatazo
1. Jina la kampuni
2. Mahali...
Habari zenu wanajamii
Naomba mnisaidie kitu kimoja. Mimi kwa bahati mbaya mama yangu mzazi alifariki tangu 2016 na alikuwa mtumishi wa Serikali. Amefariki akiwa anaidai Serikali malimbikizo ya mshahara.Sasa mimi nimeamua kufuatilia hayo madeni tangu mwezi wa pili pale ofisini kwake
Sasa...
Nashauri tuanzishe Wizara ya Mafuta na Gesi (The Ministry of Petroleum and Natural Gas) ili kuchochea ukuaji wa sekta ya mafuta na gesi Tanzania.
Hii wizara iwe responsible kwenye mambo ya utafutaji (exploration), uzalishaji (production), usafishaji (refining), usambazaji (distribution), uuzaji...
Kumekuwa na Utamaduni wa Kipuuzi kutoka hasa kwa Waandishi wa Habari, Watangazaji wa Michezo nchini pamoja na Mashabiki wa Yanga SC juu ya Kauli hii ya Kinafiki.
Kila ambapo Klabu ya Simba (hasa pale tu Kikosi chake) kikiwa imara na kinafanya vyema katika Mechi zake kuliko Klabu ya Yanga...