Israel isingekuwa na Iron dome defense system ingekuwa habari nyingine

Artifact Collector

JF-Expert Member
Mar 7, 2019
6,539
10,006
Kumekuwa na upotoshaji mkubwa sana unaofanywa maksudi na media na sijui kwanini.

Mfano mpaka sahivi hamas amesharusha makombora zaid ya 1000+ Israel lakin kinachowasaidia Israel ni kuwepo kwa mfumo wa iron dome defense system.

Hamas anaporusha Yale makombora yake achagui, tofauti na Israeli anaposhambulia Gaza anatoa taarifa kwanza watu waondoke.

Dome.JPG
 
Israel are Jewish as a Nation and as a religion, they are not Christians they don't even believe in Christianity.
When you're talking about them don't think you're supporting any form of crusade to support your religion.
These people are extremely racists and they are always in dark motive that not in favor of any race than themselves.
 
Halafu wakijibiwa Aljazeera unawaona wanabwata bwata,ndiyo maana ofisi zao zimeshushwa to groud Zero
Ukifuatilia Al Jazeera utajua ni kwa nini Israel ililipua maofisi yao, wako biased sana na Israel. Kutwa nzima ni kuhoji wapinzani wa Israel na kuonyesha mazishi ya wapalestina bila kuonyesha uharibifu unaofanywa ndani ya Israel. Pia hawasemi chochote kuhusu kukemea uhalifu wa Hamas

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Israel are Jewish as a Nation and as a religion, they are not Christians they don't even believe in Christianity.
When you're talking about them don't think you're supporting any form of crusade to support your religion.
These people are extremely racists and they are always in dark motive that not in favor of any race than themselves.
Hamas nao wanarusha rocket Israel kwa hiyo unataka wao wakae kimya kama ni makosa wote wanao
 
Ukifuatilia Al Jazeera utajua ni kwa nini Israel ililipua maofisi yao, wako biased sana na Israel. Kutwa nzima ni kuhoji wapinzani wa Israel na kuonyesha mazishi ya wapalestina bila kuonyesha uharibifu unaofanywa ndani ya Israel. Pia hawasemi chochote kuhusu kukemea uhalifu wa Hamas

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Na hamas ameweka mitambo yake kwenye makazi ya watu yaani anatumia watu kama human shield
 
Back
Top Bottom