Najiuliza kama tusingetawalia kimabavu Africa nila ukoloni tungekuwa wapi leo hii, je teknolkjia ingetupita ? au elimu ingekaa kando nasi?
Napata jibu kuwa bila Africa hamna nchi yoyote ambayo ingesonga mbele, kwamba wote wanategemea mali asili na malighafi zetu wate wanaiba teknolojia yetu na...
Kuna baadhi ya matukio yamekuwa yakitendeka mikoani, ambayo taarifa zake hazitolewi kwa wakati au kutokutolewa kabisa.
Kuna tukio la kukatwa mapanga hadi kuuawa kwa mwalimu wa shule ya sekondari kata ya masaba, wolaya ya Butiama ila hadi leo hakuna taarifa iliyotolewa na vyombo vya habari...
Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Mwalimu Mstaafu wa Kwaya Kuu Habari Njema Arusha Mjini Kati Ndugu John Lusungu Nusurupia Myavilwa.
Atakumbukwa kwa kazi ya kutunga na kufundisha nyimbo za Injili Kwaya mbalimbali nchini ikiwemo Kwaya ya Vijana Makorora Tanga miaka ya 1970+...
Taarifa iliyotolewa na Wizara ya Habari na Utamaduni ya Shirikisho nchini humo imesema serikali inataka kulinda vipaji vya ndani na kukuza uchumi.
Kwa mujibu wa Wizara ya Habari, kuanzia sasa watangazaji, matangazo na bidhaa zote za masoko na mawasiliano nchini humo zinatakiwa kuwatumia...
Shirika la kijasusi la Urusi (FSB) limembaini raia wa Ukraine aliyetega bomu kwenye gari Urusi na kumuua binti mwanadishi wa habari aitwaye Darya Dugina.
Chombo hicho cha upelelezi cha Urusi kimechapisha video iliyokusanya matukio kadhaa ikimuonesha raia wa Ukraine wa kike kwa jina la Natalya...
Shirika la kijasusi la Urusi (FSB) limembaini raia wa Ukraine aliyetega bomu kwenye gari Urusi na kumuua binti mwanadishi wa habari aitwaye Darya Dugina.
Chombo hicho cha upelelezi cha Urusi kimechapisha video iliyokusanya matukio kadhaa ikimuonesha raia wa Ukraine wa kike kwa jina la Natalya...
Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema kwa kutuamsha wote tukiwa SALAMA saliminin,lakini pia hata Kwa wale wenye changa moto afya Tumwombe Mungu wetu sote awaponye na kuwarejeshea afya njema.
Nitakuwa kiumbe cha ajabu nisipo mshukuru Mungu kwa AJILI ya walio twaliwa maana nayo...
VYOMBO VYA HABARI NA SHERIA NCHINI TANZANIA
Tasnia ya habari kwa hapa nchini Tanzania inakuwa kwa kiwango kikubwa sana. Tofauti na zamani, vyanzo vya habari vikuu vilikuwa ni Televisheni, Redio na Magazeti. Ila kutokana na ukuaji wa teknolojia na utandawazi kwasasa kuna vyanzo vya habari vya...
Kutoka ukurasa wa Twitter Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Mawasiliano Mh. Nape Nnauye amefafanua mafanikio ya serikali katika kushusha gharama za intaneti kwa watanzania. Kupitia ukurasa huo amesema "Kwa heshima ya wale waliouliza maswali ya Data kwa nia ya kuelewa na kujadiliana...
Baadhi ya Waandishi habari wetu wana walakini ya wazi kabisa. Maswali yao kwa makocha na wachezaji wa nje na ndani yanamtia kichefuchufu hata msikilizaji.
Wanaiangusha taaluma ya habari, hayana weledi kabisa.
Pia hawajui kiingereza lakini wanataka kuwahoji wachezaji wa timu ngeni.
Mtumishi Boniface Mwamposa amesema shetani alikuwa Mwandishi wa habari, wanaoandika habari mbaya wapo upande wa shetani, ameyasema hayo Agosti 15, wakati wa uzinduzi wa Taasisi ya Wananchi Wazalendo Tanzania (TWWT).
Mwamposa amezungumza hayo na kuwaomba waandishi wa habari kuwa waandike habari...
MWENYEKITI wa Jukwaa la Wahariri (TEF), Deodatus Balile amesema kuwa bado kuna maeneo katika vifungu vya Sheria ya Habari vimekuwa vikwazo na vinahitaji kufanyiwa marekebisho.
Hayo ameyasema jana katika kipindi cha Kipima Joto kinachorushwa na Televisheni ya ITV kuhusiana na Marekebisho ya...
Virusi vya homa ya ini vipo vya aina 5 (A, B, C, D,E). Aina mbili za virusi (B Na C) zimetajwa kuwa ndio sababu kuu za ugonjwa wa homa ya ini ambayo husambaa kupitia damu na majimaji ya mwili.
Wataalamu wa afya wanasema virusi hivi vina uwezo wa kusambaa na kuambukiza mtu mara 100 zaidi ya...
Popote mlipo, vyombo vya Habari na waandishi wote wa Habari nchini hamjatumia weledi katika kuripoti Habari ya Mandonga. Hamjatusaidia na wala hamjatupa elimu ya kutosha katika hili. Mmekuwa kama kasuku. Lakini ni kawaida yenu. Imefika hatua sasa, kila mtu anataka kuwa hodari wa kuelezea jinsi...
Toka juzi vyombo vya habari nchini Kenya viliweza kurusha matokeo ya urais. Leo asubuhi wameacha kuonyesha. Hii ni kwa vyombo vyote, Kilichobaki tu ni kuonyesha matokeo ya kila Kaunti. Nashindwa kuelewa shida nini maana tumekuwa tunafuatilia kwa urahisi.
Sasa, Shida ni nini?
Ni kweli mtandao...
Wana JF nisaidieni.
Asubuhi mchana usiku taarifa za maendeleo ya Uchaguzi Kenya katika vyombo vya habari hapa Tz hadi kushangaza. Labda niko nyuma ya wengine lakini najiuliza ni lipi hasa la kutufanya tushabikie na kushobokea uchaguzi wa wenzetu kwa kiasi hicho?
Ingelikuwa Marekani ama...