Stories of Change - 2022 Competition

suwifred

Member
Jul 13, 2021
6
3
Najiuliza kama tusingetawalia kimabavu Africa nila ukoloni tungekuwa wapi leo hii, je teknolkjia ingetupita ? au elimu ingekaa kando nasi?

Napata jibu kuwa bila Africa hamna nchi yoyote ambayo ingesonga mbele, kwamba wote wanategemea mali asili na malighafi zetu wate wanaiba teknolojia yetu na kufanya kiwa ufumbuzi wao.

Napata jibu kuwa walituchjkua watu na kutulainisha mioyo kwa kutumia dini zao huku wakituambia zetu ni uchawi laiti tusingeacha kutumia dini zetu za asili tungekuwa HATUSHIKIKI kwani Mungu wetu alitujibu papo hapo alituongoza kwa tamaduni zilizojaa mwongozo wa afya elimu na teknolojia yenye nguvu mno.

Mwafrika hakuhitaji kutengeneza mitambo na mitambo kumwagilia mazao shambani bali ni kuchanganya vijitu tu na mvua kunyesha kwa msimu pangwa.

Mwafrika ni kiunbe chenye akili kilichopumbazwa na imani za wazingu akitishiwa moto wa jehanum ambao ata bunadam mwenyewe hawezi choma mwanao kwa kosa lolote.

Hatuwezi shinda vita kwa silaha ya ad. Afrika itaendelea siku tutakapoacha tamaduni zao na kufuata zetu kama nchi zote zilizoendeleea kama china korea ambazo kamwe haziachi tamaduni zao hatuwezi shinda vita kwa silaha za adui.
 
Back
Top Bottom