Mtumishi Boniface Mwamposa asema "Shetani alikuwa Mwandishi wa habari"

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,458

Mtumishi Boniface Mwamposa amesema shetani alikuwa Mwandishi wa habari, wanaoandika habari mbaya wapo upande wa shetani, ameyasema hayo Agosti 15, wakati wa uzinduzi wa Taasisi ya Wananchi Wazalendo Tanzania (TWWT).

Mwamposa amezungumza hayo na kuwaomba waandishi wa habari kuwa waandike habari za Kizalendo zaidi na sio za kulichafua taifa lao.

“Biblia inasema wakati wapo Adam na Eva alitokea nyoka, hata katika maisha yetu ya kawaida nyoka wapo.

“Nyie waandishi wa habari ni watu wazuri sana lakini ni watu wabaya sana, Waandishi ni watu muhimu sana pia ni wabaya sana, katika bustani ya edeni Shetani alikuwa mwandishi wa habari lakini ni mbaya

“Mambo yote mazuri au mabaya Duniani huwa yanaanzishwa na mtu mmoja kisha yanasambaa,” - Mwamposa.

Chanzo: Bongo 5
 
Anajihami mapema.. maana siri zake siku sio nyingi zitamwagika kwa umma, hapo ameanza kuwaandaa kondoo wake kisaikolojia yani

Hao watu siku wakigundua uzwazwa wanaofanyiwa watalia na kusaga meno.

Kikubwa imani yao isife tu.. kwasababu Mungu yupo na kwenye matendo yake huwa hawai wala hachelewi.. so
Tumpe muda huyu anae sema shetani alikuwa muandishi wa habari.. sijui alikuwa ni wa radio ipi ama TV ipi!!
 
Tumepigwa
 
Matamshi tata, kuwajua hawa wahubiri inahitaji upembuzi yakinifu jinsi ya kupambanua wanayoyatamka yana mukhtadha gani
 
Anajihami mapema.. maana siri zake siku sio nyingi zitamwagika kwa umma, hapo ameanza kuwaandaa kondoo wake kisaikolojia yani

Hao watu siku wakigundua uzwazwa wanaofanyiwa watalia na kusaga meno.

Kikubwa imani yao isife tu.. kwasababu Mungu yupo na kwenye matendo yake huwa hawai wala hachelewi.. so
Tumpe muda huyu anae sema shetani alikuwa muandishi wa habari.. sijui alikuwa ni wa radio ipi ama TV ipi!!
MUULIZE Mange kimambi yaliyomkuta baada ya kutoa Kauli ya kitisho Kama hii.
 
We na pastor wako wote ni machoko.. na kama anayo hiyo nguvu ajaribu hata kuomba nipate kilema cha nywele lofa wewe

Huwa sitishiwi kabisa.. linapokuja swala la haki huwa sirudi nyuma
 
Back
Top Bottom