Mtumishi Boniface Mwamposa amesema shetani alikuwa Mwandishi wa habari, wanaoandika habari mbaya wapo upande wa shetani, ameyasema hayo Agosti 15, wakati wa uzinduzi wa Taasisi ya Wananchi Wazalendo Tanzania (TWWT).
Mwamposa amezungumza hayo na kuwaomba waandishi wa habari kuwa waandike habari...
MWENYEKITI wa Jukwaa la Wahariri (TEF), Deodatus Balile amesema kuwa bado kuna maeneo katika vifungu vya Sheria ya Habari vimekuwa vikwazo na vinahitaji kufanyiwa marekebisho.
Hayo ameyasema jana katika kipindi cha Kipima Joto kinachorushwa na Televisheni ya ITV kuhusiana na Marekebisho ya...
Virusi vya homa ya ini vipo vya aina 5 (A, B, C, D,E). Aina mbili za virusi (B Na C) zimetajwa kuwa ndio sababu kuu za ugonjwa wa homa ya ini ambayo husambaa kupitia damu na majimaji ya mwili.
Wataalamu wa afya wanasema virusi hivi vina uwezo wa kusambaa na kuambukiza mtu mara 100 zaidi ya...
Popote mlipo, vyombo vya Habari na waandishi wote wa Habari nchini hamjatumia weledi katika kuripoti Habari ya Mandonga. Hamjatusaidia na wala hamjatupa elimu ya kutosha katika hili. Mmekuwa kama kasuku. Lakini ni kawaida yenu. Imefika hatua sasa, kila mtu anataka kuwa hodari wa kuelezea jinsi...
Toka juzi vyombo vya habari nchini Kenya viliweza kurusha matokeo ya urais. Leo asubuhi wameacha kuonyesha. Hii ni kwa vyombo vyote, Kilichobaki tu ni kuonyesha matokeo ya kila Kaunti. Nashindwa kuelewa shida nini maana tumekuwa tunafuatilia kwa urahisi.
Sasa, Shida ni nini?
Ni kweli mtandao...
Wana JF nisaidieni.
Asubuhi mchana usiku taarifa za maendeleo ya Uchaguzi Kenya katika vyombo vya habari hapa Tz hadi kushangaza. Labda niko nyuma ya wengine lakini najiuliza ni lipi hasa la kutufanya tushabikie na kushobokea uchaguzi wa wenzetu kwa kiasi hicho?
Ingelikuwa Marekani ama...
Masharti kwa waandishi wa habari katika nchi zenye changamoto ya utawala wa kiimla. Upatikanaji wa habari ni mdogo zaidi na waandishi wa habari wanaweza kupata udhibiti, mateso, na vitisho kwa Maisha yao. Nchini Urusi, kwa mfano, uvamizi wa Ukraine umesababisha sheria mpya inayozuia uhuru wa...
Habari wakuu!
Najua kwa siku mbili tatu baadhii yetu tumekuwa tukifuatilia kile kinachoendelea katika uchaguzi wa Majirani zetu Kenya. Kwa tathmini fupi utabaini kwamba watu wengi nchini kenya na Tanzania wamepongeza kile ambacho IEBC imefanya kwa kuruhusu vyombo vya habari kujumlisha na...
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), Wafula Chebukati, amevitaka Vyombo vya Habari kuongeza kasi ya kujumlisha matokeo na kuyawasilisha kwa wakati.
Vyombo vya habari vimeonesha takwimu tofauti za matokeo ya Uchaguzi wa Rais, na kusababisha wasiwasi kuhusu hitilafu hizo...
Kitengo cha Habari na Mawasiliano cha Klabu ya Simba kimelalamikiwa kwa kitendo chake cha ubaguzi na kutoa kauli chafu dhidi ya wanahabari kitendo kilitafsiriwa kuwa ni ukandamizaji wa tasnia ya habari.
Hayo yamejili jana katika uwanja wa Benjamini Mkapa, lilipokuwa likiendeshwa zoezi la...
CHAMA CHA MAPINDUZI KUVIFANYIA MABORESHO VYOMBO VYAKE VYA HABARI
Katibu wa Halmashauri Kuu CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka (leo) Jumamosi 06 Agosti 2022 amekutana na kufanya kikao kazi na viongozi na watumishi wa vyombovya Habari vya Chama Cha Mapinduzi katika ukumbi wa mikutano...
Habari,
Wadau naomba kuuliza hivi hawa Wakala wa Viwanja vya Ndege - TAA wameshaita watu waliochaguliwa kwa ajili ya usaili?
Maana tokea nilivyoomba hamna updte yoyote ile mwezi wa pili sasa huu
Jana nimefunga mita ya maji yaani maunganisho mapya kwa mara ya kwanza. Cha ajabu na cha kushangaza mita inaonesha nimetumia unit mbili.
Sasa nikamuuliza fundi kuwa hizo unit 2 zimetokea wapi wakati mita ni mpya..Akanijibu kuwa hizo unit 2 ni yale maji yaliyokuwa yanamwagika wakati wanatest...
Baraza la Habari Tanzania (MCT) limetoa taarifa ya tathmini ya uhuru wa vyombo vya habari nchini kati ya kipindi cha mwezi Januari hadi Juai 2022.
Taarifa hiyo imeeleza kupungua kwa kiasi kikubwa kwa matukio ya ukiukwaji wa haki za waandishi wa habari ukilinganisha na miaka iliyopita...
Msingi wa shida zote ni serikali za mitaa, na hizi karibu zote zilipita bila kupingwa,
Sasa hapa Kariakoo misheni kota yaani utafikiri uko sijui kwenye viwanda vya kutengezea malori, yaani mitaa yote kuanzia Ndanda hadi Muheza, Narun'gombe, Magira, Masasi na Aggrey street hapajulikani ni jiji...
UBORESHAJI WA ELIMU TANZANIA
Elimu nchini Tanzania ilianzia enzi za kabla na baada ya ukoloni. Elimu kabla ya mkoloni ilikua unapewa kazi za jamii kutokana na umri kuna waliolioma, kufuga, kuchunga na kupika kutokana na umri wao. Elimu baada ya mkoloni ilikua pia kutokana na umri lakini...
Habari Wana jamii forums
Mimi ni kijana wa kitanzania na pia ni muhitimu wa chuo kikuu Cha Iringa.
Nilipokuwa masomoni nilibahatika kukutana na Idea mbalimbali za kutafuta pesa na hii yote ni katika kujiandaa kwamba nitafanya shughuli gani pindi nitakapo maliza masomo, ndio nilipokutana na hii...
Watetezi wa Binadamu wa Human Rights Watch( HRW) wamesema Morocco inawafunga waandishi wa habari kwa mashtaka yasiyo ya kisiasa ili kuwanyamazisha, baada ya Omar Radi na Soulaimane Raissouni, kuhukumiwa karibu miaka 5 jela kwa makosa ya unyanyasaji wa kingono
Pia mwaka 2018 Taoufik Bouachrine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.