Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,762
- 4,905
.
DuuhHII NI HABARI YA KWELI HAINA UONGO HATA KIDOGO😭😭😭
----------------------------------------
👉Humphuray polepole nimepata maono jana usiku yupo chumba Cha pili Baada ya Tundu Lissu hapo gerezani😭😭BAADA YA CHUMBA CHA TUNDULISU YUPO HUMPREY POLEPOLE CHUMBA KINACHOFUATA
Nawaomba sana maaskari magereza mumpatie sabuni na Maji ya kuoga pamoja na nguo zinazo stahili ambazo ni safi maana amechakaa sana😭😭
👉Pia ana nywele Chafu sana hadi zimekuwa rasta😭😭
na amekonda vibaya sana😭😭
Tafadhali 🙏Nawaomba sana mwachieni mtu huyu adhabu mliyo mpatia inatosha Sasa😭😭🙏NGUO ZAKE NI CHAFU SANA NA HAPATI NAMNA YOYOTE YA KUJISAFISHA NA HAWARUHUSU KUINGIA NA SIMU AU CHOMBO CHOCHOTE CHA MAWASILIANO ISIPOKUWA RADIOCALL😭😭
👉Najua Kuna watu fudenge watasema nazua taharuki lakini huo ndio ukweli.
Tunzeni hii post endapo siku wakimwachia mtakuja kuthibitisha ukweli huu😭😭
#Tutaelewanatu🥱🤫🇹🇿
Mida kidogo narudi zangu ujinini.
Hawezi kuwa hai, Kwa sababu Hawawezi kumshikilia Mpaka mwisho wa CCM.PolePole inajulikana yupo hai, nashangaa watu wanao shupaza shingo kuwa kafa.
Copy and paste 😂 😂 tapeli weweHII NI HABARI YA KWELI HAINA UONGO HATA KIDOGO😭😭😭
----------------------------------------
👉Humphuray polepole nimepata maono jana usiku yupo chumba Cha pili Baada ya Tundu Lissu hapo gerezani😭😭BAADA YA CHUMBA CHA TUNDULISU YUPO HUMPREY POLEPOLE CHUMBA KINACHOFUATA
Nawaomba sana maaskari magereza mumpatie sabuni na Maji ya kuoga pamoja na nguo zinazo stahili ambazo ni safi maana amechakaa sana😭😭
👉Pia ana nywele Chafu sana hadi zimekuwa rasta😭😭
na amekonda vibaya sana😭😭
Tafadhali 🙏Nawaomba sana mwachieni mtu huyu adhabu mliyo mpatia inatosha Sasa😭😭🙏NGUO ZAKE NI CHAFU SANA NA HAPATI NAMNA YOYOTE YA KUJISAFISHA NA HAWARUHUSU KUINGIA NA SIMU AU CHOMBO CHOCHOTE CHA MAWASILIANO ISIPOKUWA RADIOCALL😭😭
👉Najua Kuna watu fudenge watasema nazua taharuki lakini huo ndio ukweli.
Tunzeni hii post endapo siku wakimwachia mtakuja kuthibitisha ukweli huu😭😭
#Tutaelewanatu🥱🤫🇹🇿
Mida kidogo narudi zangu ujinini.
Sawa , sikupingi. Kila mmoja abaki na anacho amini na anachojuaHawezi kuwa hai, Kwa sababu Hawawezi kumshikilia Mpaka mwisho wa CCM.
kutoka wapi tukaone original yakeCopy and paste 😂 😂 tapeli wewe