Habari picha

Habari picha

Wizara ya Ardhi

Govt Institution
Joined
May 14, 2024
Posts
202
Reaction score
132
1a9573e7-a278-47b2-92b7-61e22f79b1ac.jpeg

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt Leonard Akwilapo leo Sept 16, 2026 ameongoza kikao cha kutafuta ufumbuzi wa mgogoro wa ardhi katika eneo la Litingi lilipo kata ya Mitengo katika halmashauri ya manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara.

Mgogoro huo unahusisha wananchi waliofanya maendelezo katika eneo la Litingi ambalo halmashauri ya Manispaa ya Mtwara Mikindani imetoa notisi kwa wananchi kuondoa maendelezo yao katika eneo.
 
Back
Top Bottom