Hii ni press conference muhimu sana sio ya kukosa, haswa kwa kuzingatia, mzungumzaji anaishi Sea Cleef Hotel, 5 Star, press conference Golden Tulip 5 star, ingeendeshewa Chadema ingekuwa no cost involved, hivyo waandishi wa habari pia tutaangaliwa ki Golden Tulip!. Sikosi!Kesho saa sita mchana nitakuwa na mkutano na waandishi wa habari katika Hotel ya Golden Tulip.
Waandishi wa habari wote mnakaribishwa.
Karibuni sana.
Hakika.Hii ni press conference muhimu sana sio ya kukosa
P
Another big mistake na inaonyesha kuna ''kitu''. Mwenyekiti yuko mahakamani na yeye anaamua kwenda kufanya mengine. Kwa nini asingefanya jioni baada ya kesi kuisha?Kesho saa sita mchana nitakuwa na mkutano na waandishi wa habari katika Hotel ya Golden Tulip.
Waandishi wa habari wote mnakaribishwa.
Karibuni sana.
Ni mambo Mawili tofautiAnother big mistake na inaonyesha kuna ''kitu''. Mwenyekiti yuko mahakamani na yeye anaamua kwenda kufanya mengine. Kwa nini asingefanya jioni baada ya kesi kuisha?
Wewe ndiye unaona hivyo. Lakini mimi naona yana relate.Ni mambo Mawili tofauti
Lema kama unaona utaweka moto kwenye petrol chama kikose muelekeo..bora usiitishe press, people will never forgive you. Step down with dignity intact..
Kwa ukongwe wako bila shaka utakuwa na maswali ya dodoso kwake, atufafanulie yale atakayokuwa ameongea.Hii ni press conference muhimu sana sio ya kukosa, haswa kwa kuzingatia, mzungumzaji anaishi Sea Cleef Hotel, 5 Star, press conference Golden Tulip 5 star, ingeendeshewa Chadema ingekuwa no cost involved, hivyo waandishi wa habari pia tutaangaliwa ki Golden Tulip!. Sikosi!
P
Kesho saa sita mchana nitakuwa na mkutano na waandishi wa habari katika Hotel ya Golden Tulip.
Waandishi wa habari wote mnakaribishwa.
Karibuni sana. Godbless Lema.
Aachwe aongee, ndio njia nzuri ya kuweza kumpima kama yuko na wenzake kwenye chama, au ni msaliti.Another big mistake na inaonyesha kuna ''kitu''. Mwenyekiti yuko mahakamani na yeye anaamua kwenda kufanya mengine. Kwa nini asingefanya jioni baada ya kesi kuisha?
Na ZittoLema atakuja kufanana na Mrema wa TLP
Mtonyo upoHii ni press conference muhimu sana sio ya kukosa, haswa kwa kuzingatia, mzungumzaji anaishi Sea Cleef Hotel, 5 Star, press conference Golden Tulip 5 star, ingeendeshewa Chadema ingekuwa no cost involved, hivyo waandishi wa habari pia tutaangaliwa ki Golden Tulip!. Sikosi!
P
Zitto alitoka chadema akaanzisha chama, akashinda ubunge na kuongoza halmashauri ya manispaa.Na Zitto
Mayalla kwenye pay roliHii ni press conference muhimu sana sio ya kukosa, haswa kwa kuzingatia, mzungumzaji anaishi Sea Cleef Hotel, 5 Star, press conference Golden Tulip 5 star, ingeendeshewa Chadema ingekuwa no cost involved, hivyo waandishi wa habari pia tutaangaliwa ki Golden Tulip!. Sikosi!
P