habari

  1. H

    Ni aibu kubwa sana kwa waandishi wa habari kukubali kujidhalilisha kwa kudhalilisha taaluma yenu

    Nimefuatilia siku hizi mbili tatu za sakata la uuzwaji wa bandari ya tanganyika, kwa waarabu wa dubai, kazi wanayoifanya waandishi wa habari ni ya kipuuzi sana, ni bora wangechagua kukaa kimya kuliko kupotosha habari. Kiufupi dunia imebadilika sana na watu wanachagua source ya kuwabarisha...
  2. S

    Msukuma, watanzania wa leo hawasubiri kusimuliwa na waandishi wa habari

    Nimemsikia Mbunge Msukuma akisema eti wengi tunaojadili suala la bandari hatulijui kwa sababu hatujasafiri kwenda Dubai na Uingereza, Singapore ambako wamepiga hatua kwenye sekta ya bandari. Tunachokwambia Msukuma watanzania wa leo hawasubiri kusimuliwa na waandishi wa habari wewe ungejibu...
  3. F

    Watanzania tuweke attention yetu kwenye suala la kubinafsishwa kwa bandari, habari za uteuzi wa makatibu na wakurugenzi wa halmashauri sio ishu kubwa

    Kuna uteuzi na kuhamishwa vituo kwa makatibu na wakurugenzi wa halmashauri mbalimbali nchini. Watanzania tusipotezwe maboya, tupeleke mbele mjadala wa kubinafsishwa kwa bandari ya Dar es Salaam. Hili ndio lango kuu la Tanzania, tukikosea hapa ndio tumeharibu kila kitu humu ndani. Uteuzi wa...
  4. Majambazi ya Burundi ni habari nyingine

    Kwanza hawa jamaa huwa hayavunji milango kuiba tv, hawafanyi huo utopolo. Show zao huwa yanaiba maduka Hadi 30 kwa wakati mmoja, yanafunga mitaa kadhaa. Ukishindwa kuwapa wanachotaka yatakumaliza na ukiwa yatakumaliza. Yakifanya mauaji yatahakikisha hata msibani kwako watu washindwe kukuaga...
  5. R

    Matumizi ya neno KUWEZA kwenye vyombo vya habari yamekaaje?

    Ukisikiliza vyombo vya habari vikiripoti matukio ya vifo au majeruhi utasikia Kwa mfano " watu wawili wameweza kupoteza maisha" au " mtu mmoja aliweza kujeruhiwa". Haya ni matumizi sahihi ya kitenzi hiki? Nimejifunza lugha za mataifa mengine na msaada mkubwa kwenye kujifunza ilikuwa kusikiliza...
  6. D

    Kipindi cha Hayati Magufuli ufisadi ulikuwa wa kutisha ila bahati yake tu alizima Vyombo vya Habari kumulika Ufisadi huo

    Hebu angalia watu kama akina mpina wanadhulumi ardhi waziwazi halafu waandishi wanazuiwa kuhoji chochote na ukihiji unapotezwa. Leo wananchi wameandamana kwamba walidhulumiwa enzi ja jpm. Makonda ameliza wengi ikiwemo clouds. Leo hii anamiliki manumba na apartments kibao huko madale na...
  7. Naomba kufahamishwa kazi ya Katibu Msaidizi wa Bunge Sosholojia

    Habari samahani naomba mnisaidie kujua zaidi kuhusu kazi ya katibu msaidizi wa Bunge sosholojia.
  8. SoC03 Turuhusu uhuru wa habari utuwajibishe

    Utangulizi Binadamu tumeumbwa na tabia ya “kushangaa”. Tunayoyaona au kuyasikia kwa mara ya kwanza yanatushangaza. Tunaposikia au kuona jambo ambalo hatuna taarifa zinazolihusu, ni kawaida “kushangaa”. Baada ya kuwa na ujuzi juu ya jambo hilo, halitushangazi tena. “Tutakushangaa”...
  9. M

    Wana habari wengi wa media za Bongo ni mashabiki wa Simba wamejaa fitina

    Mafanikio ya Yanga Mwaka huu hasa katika mashindano ya kimataifa yamedhihirisha jinsi wana habari wengi walivyo mashabiki wa Simba hadi wanashindwa kuficha hisia zao, chuki na wivu kwa mafanikio ya Yanga. Wamekuwa wakijificha kwa kile wanachokiita uchambuzi lakini ukifuatilia chambuzi zao...
  10. Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imeomba Bajeti ya Tsh. Bilioni 212.4 kwa mwaka 2023/24

    Mheshimiwa Spika, kufuatia taarifa iliyowasilishwa humu Bungeni na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, ninaomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu likubali kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango na Bajeti ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari...
  11. SoC03 Uandishi wa habari za uchunguzi Kama kichocheo Cha utawala Bora Tanzania

    Picha na mtandao Habari za uchunguzi tunaweza kueleza kuwa ni zile habari ambazo mwandishi hufanya uchunguzi wa kina juu ya jambo fulani, na kuja na ripoti inayojitosheleza kuhusu jambo hilo pamoja na ushahidi. Uandishi huu hukusudia kufichua maovu au uhalifu uliofichwa kwa makusudi na kuufua...
  12. TAKUKURU Singida imebaini kuwepo kwa mianya ya rushwa katika baadhi ya halmashauri ikihusishwa na ukusanyaji wa michango

    Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Singida, Mzalendo Widege, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akitoa taarifa ya utendaji kazi wa taasisi hiyo ya kipindi cha Januari hadi Machi 2023, katika mkutano uliofanyika leo May 18, 2023. Na Dotto...
  13. Tunisia: Waandishi wa Habari waandamana kupinga Sheria za kupambana na ugaidi

    Waandishi hao wa Habari wanapinga kile wanachosema kuwa ni Sheria kandamizi dhidi ya ugaidi iliyoundwa kuvitisha vyombo vya habari. Wameandamana wakiwa na mabango nje ya makao makuu ya muungano wa Wanahabari wa Kitaifa, wakitangaza kuwa uhuru unategemea uhuru wa vyombo vya habari. Mei 16...
  14. Balozi Humphrey Polepole ateuliwe Waziri wa Habari

    Great thinkers kama tunavyofahamu tukio la msiba mkubwa wa taifa wa Mh. Membe bado kama taifa tunaomboleza. Ninashauri Rais Dkt Samia akitaka mambo yake ya 2025 yaende amteue Mh. Balozi Polepole kwa nafasi wa Waziri wa Habari. Werevu na hekima ya Polepole ni muhimu ktk kipindi hiki ambapo...
  15. UTEUZI: Amos Makalla ahamishiwa Mwanza, Chalamila apelekwa Dar

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uhamisho wa baadhi ya Wakuu wa Mikoa kama ifuatavyo: 1. Bw. Amos Gabriel Makalla amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza. Alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam. 2. Bw. Adam Kighoma Malima amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa...
  16. Magufuli kwa ukali: " Wewe RM yaani unazidiwa kuamua na mwandishi wa habari Msigwa, kweli?!

    Kisa kingine cha kweli acha niwashirikishe kuhusu JPM kipindi alipokuwa W UJ. Kama sikosei ilikuwa mwaka 2013 kipindi hicho miradi miwili ya barabara kuanzia Songea mjini hadi Namtumbo na Likuyu hadi Mbinga ilikuwa inatekelezwa kwa ufadhili wa MCC. Songea - Namtumbo Mkandarasi wake ilikuwa...
  17. A

    DTB Graduate 2023

    Habari kuna ambae amefanikiwa kufanya interview ya DTB graduate management trainee mwaka huu?
  18. A

    SoC03 Andiko kuhusiana na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano

    Utawala bora na uwajibikaji ni mambo muhimu sana katika maendeleo ya kiuchumi na kijamii ya nchi yetu. Hata hivyo, katika enzi hii ya teknolojia ya habari na mawasiliano, changamoto mpya zimeibuka katika suala la utawala bora na uwajibikaji. Kwa hiyo, ni muhimu kuchukua hatua za haraka za...
  19. Ukosefu wa taaluma katika vyombo vya habari vya dini

    Vipindi vingi vya Dini hususani vya Kikristo katika radio mbalimbali nchini vinaendeshwa na watangazaji ama wasemaji wasioweza kuzungumza lugha fasaha ya kiswahili. Inaonyesha hata wanao wasaili hawajui kama hawajui kiswahili Sanifu. Mfano, Unakuta mtangazani anatakiwa aseme Roho Mtakatifu...
  20. B

    Star TV na wasomaji wa taarifa ya habari

    Kwa kweli baadhi ya vyombo vya habari Tanzania kikiwemo Star TV bado Wana changamoto ya waandishi na wasomaji wa habari. Yani mtu anasoma habari kama anaogopa studio au kawekewa bunduki kichwani. Kituo kikubwa kama Star TV kweli wanakosa wasomaji wa habari walio mahiri. Huyu mdada aliesoma leo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…