habari

  1. JamiiForums Tanzania Wanooeneza Picha na Habari za uongo kuhusu Kijana Joshua aliyeuawa na Hamas wanafaidika Nini?

    Nimeshangaaa kuona baadhi ya watu wanashea habari na picha za uongo kuwa kijana molel alijiunga na jeshi la isael, watu Hawa wasio na akili wamekuwa wakituma picha zilizoeditiwa kiasi Cha Mimi kuzifanyia uchunguzi nikabaini Ni upotoshaji, lakini nikajiuliza wanapata faida gani kufanya hivyo? Au...
  2. JamiiForums Tanzania Habari naomba kuijua Subaru Impreza 2.0i ya 2012

    Nahitaji kununua Gari Wanaoijua Subaru Impreza ya kuanzia 2012 Cc 2000 GP 7 Naomba nijui services,fuel comsuption,spares Naombeni ushauri🙏
  3. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutambua habari na taarifa potofu Mtandaoni-Taarifa tam tam au yenye kutia hasira.-Vidokezo kutoka kwa Wataalamu wa Saikolojia

    Je Ushawahi kukutana na Taarifa tamu tamu mtandaoni au taarifa ambazo zilikufanya ujisikie kutamani, hasira, chuki, au hofu? Basi hauko peke yako. According to Scientist, wataalamu wa saikolojia, watu wengi ni wahanga wa wa habari potofu mtandaoni. Hatahivyo, cha muhimu ni kutokupanic au...
  4. JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari waliogombea Ubunge kupitia CCM 2020 waepukwe kama Ukoma, hawawezi kutenda haki

    Hii ni Taarifa ninayoielekeza kwa CHADEMA, chama Pekee cha Upinzani Nchini Tanzania, kwamba 2020 kwenye ule ulioitwa Uchaguzi waandishi wengi wa habari wa vyombo vinavyoitwa binafsi, waligombea ubunge kupitia CCM , Huku wakiendelea kutumikia vyombo hivyo na wakiendelea kutangaza habari za...
  5. JamiiForums Tanzania CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari wa ndani na Nje ya Nchi 17/12/2023

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) , chama cha siasa kinachotajwa kuungwa mkono na Idadi kubwa ya wananchi kuliko Chama chochote nchini Tanzania , jumapili 17/12/2023 , kitaongea na Waandishi wa Habari wa ndani na nje ya Nchi . Mahali ni pale pale kwenye Makao Makuu ya Chama hicho nje...
  6. JamiiForums Tanzania Mwandishi nguli na Mkuu wa Dawati la Uchunguzi JF, Simon Mkina achaguliwa kushiri mafunzo ya kung’amua na kuzuia Utakatishaji Fedha

    Mkuu wa Dawati la Uchunguzi (Investigative Desk) la JamiiForums, Mwandishi Mwandamizi, Simon Mkina amechaguliwa kushiriki mafunzo maalum ya mwaka mmoja ya kung'amua na kuzuia Utakatishaji Fedha Duniani. Mkina anakuwa mshiriki pekee kutoka Afrika (kwa awamu hii) kati ya Waandishi 12 wa Habari za...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Putin asema vita haitaisha hadi hapo malengo ya Russia yatakapotimizwa

    Raisi Putin aelezea umuhimu wa nchi kuwa huru na kutetea uhuru huo. Pia asema SMO itasita pale tu malengo ya Russia juu ya Ukraine yatapotimizwa ambayo ni kuondoa unazi denazification, uwezo wa kijeshi demilitarizing Ukraine na mwisho kuhakikisha Ukraine yabakia kuwa Neutral bila kujiunga EU na...
  8. JamiiForums Tanzania Nape amung'unya majibu na kutupia lawama Chombo cha Habari. Ni baada ya kusema atawashughulikia wa mtandaoni kuhusu Makamu Rais

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari amesema yeye atawashughulikia wale waliotangaza Msiba mtandaoni wa Makamu wa Rais baada ya Makamu kutoonekana kwa muda Anadai sio kila jambo lazima lisemwe hivyo kwa wakati ule hakukuwa na sababu ya kusema alipo Makamu wa Rais. Anaendelea...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kushirikiana naye mradi wa kilimo

    Habari ya sasa hivi Nina project ya Agriculture inajihusisha na wakulima wadogo, natafuta mtu ambaye tunaweza kufanya naye (partner) Document zote zipo vigezo financial free pia awe na interest na kilimo Mawasiliano 0757279834 0657888494 whatsap dgtafrica@gmail.com
  10. T

    JamiiForums Tanzania Habari njema kwa wagonjwa wa Sickle Cell, Dawa ya kutibu imeidhinishwa Marekani

    Hii ni habari njema kwa wagonjwa wa seli mundu ama Sickle Cell. Shirika la Madawa Marekani la FDA limeruhusu dawa ya kutibu ugonjwa wa seli mundu ianze kutumika. Kwa sasa gharama ya kutibu mtu mmoja bado iko juu lakini wanasayansi wamesema wanajitahidi kuhakikisha bei inashuka na kuwafikia...
  11. JamiiForums Tanzania Ess portal watumishi imekuwa habari ya mujini

    Wale makiwadi watakosa kazi. Maafisa elimu ni kama makuadi mfumo ukitulia waturudi kufundisha mamamina. Jamani watumishi wenzangu. Huu mfumo kwa sie pangu pakavu tunasabmit bila baadhi ya taarifa kukamilika...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wanasheria wakuu wa States mbalimbali za Marekani wavipiga mkwara vyombo vya habari visiripoti habari za HAMAS

    Hili ni somo kwa wote wanaodhani Marekani ni kiota cha freedom of speech! Iko hivi baada ya serikali za Magaharibi kuona kuwa public opinion inashift kwa kasi, ambapo raia wengi waliokuwa gizani juu ya ukatili wa Waisrael kwa wapalestina kwa miaka zaidi ya 70 kuanza kuamka. Wenye nguvu ndani...
  13. JamiiForums Tanzania Engine ya Toyota inayoweza kuvaa kwenye TATA PICK-UP

    Waungwana habari zenu. Naombeni ushauri,nina gari yangu TATA XENON DICOR 3.0L. Nahitaji kuibali Engine niweke injini ya Toyota. Je niweke injini gani inaweza kuwa poa.?
  14. JamiiForums Tanzania Manyara UPDATE: Waliofariki kwa Mafuriko Wilayani Hanang wafikia 80 na Majeruhii 133

    Serikali imetoa taarifa kuhusu maendeleo ya hali baada ya maafa ya maporomoko ya tope, mawe, magogo na mawe kutoka mlima Hanang Wilayani Hanang Mkoa wa Manyara, ambapo imesema hadi kufikiasaa 6:00 mchana leo December 08,2023 idadi ya vifo imefikia 80 (Watu wazima ni 48 wakiwemo Wanaume 19 na...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Wanaotaka kuzua taaruki kuhusu Afya ya Makamu wa Rais wapuuzwe sawa na wanaozusha kujiuzulu kwa KM CCM

    Kuelekea kikao cha Mkutano Mkuu wa CCm kuna propaganda zinaendelea zikisema Mzee Mpango anaumwa wakati huohuo zikidai KM CCM amejiuzulu Hawa watu wa tweeter wapuuzwe, tufike wakati tubaki na verified information tu. Tunapokuwa na viongozi wa kisiasa wanaoandika na kupost kila kinachovumishwa...
  16. JamiiForums Tanzania Habari zenu, habari zenu, habari zenu tena!?

    Hahah mtag mwana JF anaeonakana ana pigo kama za huyu jamaa alafu ana mwanya kama pengo haha
  17. JamiiForums Tanzania CPJ: Hadi sasa Waandishi wa habari na wafanyakazi wa vyombo vya habari 57 wamefariki: 50 Wapalestina, 4 Waisraeli, na 3 Walebanoni

    Vita vya Israel-Gaza vimeleta madhara makubwa kwa waandishi wa habari tangu Hamas ilipoanzisha shambulio lisilotarajiwa dhidi ya Israel mnamo Oktoba 7 na Israel kutangaza vita dhidi ya kundi la Wapalestina lenye itikadi kali, likifanya mashambulizi katika Ukanda wa Gaza uliowekwa vizuizi. CPJ...
  18. JamiiForums Tanzania CPJ: Mamlaka za Burkina Faso zihakikishe usalama wa mwandishi wa habari Boureima Ouedraogo kutokana na vitisho vya kutekwa nyara

    Mamlaka nchini Burkina Faso inapaswa kurejesha agizo la kuwajumuisha kijeshi waandishi wa habari Issaka Lingani na Yacouba Ladji Bama na kuhakikisha usalama wa mwandishi wa habari Boureima Ouedraogo kutokana na vitisho vya kutekwa nyara, Kamati ya Kulinda Waandishi wa Habari ilisema Jumatano...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Millard Ayo kashapotea kwenye ramani ya vyombo vya habari kwa sababu ya siasa zisizotaka usawa

    Kijana huyu nilidhani atafika mbali lakini kwa sasa naamini kazi anazofanya ni zile za kutegemea wanasiasa walipe. Changamoto ya kazi hizi ni kwamba unafanya kazi kubwa ujira kidogo na wakati mwingine mikopo. Alipokuwa neutral kwenye online TV alipata wafuasi na mafanikio yakaonekana. Soon...
  20. JamiiForums Tanzania Habari Njema: JF ina Jukwaa la kufichua maovu, Wafichuaji hawatajulikana

    Tunashukuru sana kwa kuongezewa eneo lingine la kuanikia uchafu . ====== Maxence Melo: JamiiForums Tumetengeneza "Jukwaa Maalum" la kusaidia wananchi kupaza sauti zao bila kuweka wazi utambulisho wao. Jukwaa hili linaitwa "Fichua Uovu" Mwananchi yeyote anayetaka kutoa taarifa ya Uovu wowote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…