habari

  1. a sinner saved by Christ

    Mchungaji Katekela atakuwepo Dodoma kwa uponyaji

    Mlioko DODOMA yule mtumishi wa Mungu wa ukweli mwenye nguvu kubwa moto wa Mungu unaounguza wachawi wote na kuwafungua wale wote waliotupiwa uchawi,majini ,mapepo ,laana na kuibiwa nyota zao...vichaa wanapona,kansa zinapona,magonjwa ya kichawi yanapona,MAGONJWA YA FIGO,kisukari,presha,ndoto...
  2. 888I

    Kifo cha Uaminifu: Madhara ya Kuminya Habari na Mtego wa "Content Creators"

    Mimi ni Mwanahabari na Mtanzania Nasema ... Kuna huzuni nzito inayotanda ndani ya vyumba vya habari nchini,siyo huzuni ya kukosa vifaa au teknolojia, bali ni huzuni ya kuona taaluma yetu ikigeuzwa kuwa "kipaza sauti" cha upande mmoja, huku misingi ya uhuru wa kutoa maoni na kuchambua ukweli...
  3. Pakome

    Hii Habari ni ya kweli? Malalamiko ya baadhi ya waumini wa Kiislamu kufuturishwa Pilao ya Kitimoto na kupewa mawaidha ya Kikristo

    Kuna taarifa inaendelea katika mtandao wa YouTube ikilalamikia kuwepo kwa kundi la baadhi ya Wakristo waliowafuturisha baadhi ya Waislamu kwa kuwakaribisha Pilao ya Kitimoto na mahubiri ya Kikristo https://youtu.be/AUGORT9jeF8?si=mEeR6SdYrf78df_- Imechapishwa na:
  4. A

    KERO Shule ya Msingi Kamara iliyopo Mungonya, Halmashauri ya Kigoma, walimu wamewageuza wanafunzi vibarua wao

    Walimu wamekuwa na tabia ya kuwapeleka wanafunzi muda wa vipindi kufanya kazi za shamba, ikiwamo kulima, kupalilia, kuvuna na kupukuchua mahindi pamoja na kuwachotea na kuwapelekea maji walimu majumbani kwao wale wanaoishi kwenye nyumba za kota za shule. Nyakati nyingine wanafunzi wanarudishwa...
  5. A

    KERO Wazazi tunalazimishwa kuchangia chakula kila siku katika Shule ya Sekondari Ipala

    Kuna kero inawakumba wazazi wenye katika shule ya sekondari Ipala. Mwaka jana serikali ilitoa mahindi kwa ajili ya chakula shuleni na mwanafunzi ikalazimu kwenda na mia sita kila siku kwa ajili ya mboga. Mahindi yameisha wanafunzi wametangaziwa kwenda na 1400/= kila siku kwa ajili ya chakula...
  6. Echolima1

    Kuna Habari za kusikitisha kuhusu Mojtaba Khamenei kiongozi mpya wa Iran!!!

    Baada ya kuponea kwenye tundu la sindano kuuwawa hapo Feb 28,2026 Gaidi Ayatollah Majitaka Khamenei alijeruhiwa vibaya na Hali yake huko alikojificha Inasemekana ni mbaya sana. Taarifa kutoka vyombo mbalimbali huko Israel na Russia zinathibitisha kuwa Hali yake ya ki afya si rafiki kutokana na...
  7. M

    Kalonzo: Tunachunguza kwa umakini mauzo ya hivi karibuni ya hisa za Nation Media Group

    Kalonzo Musyoka ambaye ni kiongozi wa chama cha upinzani cha Wiper Democratic Movement na aliyewahi kuwa Makamu wa Rais wakati wa uongozi wa Mwai Kibaki, amesema wanafanya uchunguzi juu ya mauzo ya hisa yaliyofanyika hivi karibuni kwenye taasisi ya Nation Media Group kwa bwana Rostam Aziz...
  8. A

    KERO Tuliosoma Chuo cha Taifa cha Utalii tuna changamoto ya upataji wa Ajira Serikalini kupitia Mfumo wa Ajira Portal

    Nilikuwa napenda kuwasilisha changamoto yangu kubwa ni upande wa chuo ambacho nimesoma "Chuo cha Taifa cha Utalii/ National College of Tourism- NCT), tumekuwa na changamoto kubwa ya upataji wa Ajira Serikali kupitia Mfumo wa Ajira Portal ya Serikali, kutotambua Course ambazo tumezisome katika...
  9. M

    Hizi breaking news za waarabu wa Mbwinde kwamba Netanyahu kauawa, source yake ni wapi ?

    Imekuwa too much sasa, kila kona uwakutapo waarabu wa Mbwinde utawakuta wakipeana habari za Netanyahu kuuawa. Ni wapi wanazitoa hizi habari ?
  10. W

    Kibanda: Kuna 'Watu wasiojulikana' wanatisha Waandishi wa Habari

    "Vyombo vya Habari vya Tanzania Vina hali mbaya kiuchumi ndio maana haviko huru, na kuna kundi la watu yanatisha waandishi wa Habari” Absalom Kibanda Kibanda ameyasema hayo alipokuwa akifanyiwa mahojiano katika medani kuu na mwandishi Chief Odemba
  11. Pascal Mayalla

    Mwaka Mmoja wa Bodi ya Ithbati Waandishi wa Habari: JAB Yafanya Makubwa, Yasajili Waandishi Zaidi ya 3,000 Wakati Enzi za Maelezo, Hawakufika 1,000!

    Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo. Mwezi huu wa March, mwaka 2026, Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari nchini Tanzania, JAB, imetimiza mwaka mmoja tangu kuzinduliwa kwake, ambapo Bodi ilizinduliwa rasmi tarehe 3 March, mwaka 2025, hivyo kufikia tarehe...
  12. U

    Kwa nini Mahitaji ya shule huongezeka baada ya mwanafunzi kuanza?

    Serikali na taasisi zake kwanini wanafanya Mambo kienyeji Sana? Mfano shule zao za o level unapomwanzisha mtoto mahitaji yanakuwa kwenye fomu. Lakini akiwa ameanza mara mtoto atakwambia kuna masomo mawili yameongezeka ambayo kimsingi ktk dunia ya ushindani wa elimu sioni kama yanasaidia. Hata...
  13. A

    KERO NMB, kwanini mtumie saa 24 kushughulikia muamala ambao HAUJAKAMILIKA?

    Nilikuwa natoa hela bila card (PESA FASTA) kwenye ATM ya NMB DODOMA leo, baada ya kumaliza kutoa kwenye simu nikawa nasubiria meseji ya namba ya siri ili iniwezeshe kutoa kwa kwenye ATM lakini nilisubiria kwa zaidi ya dakika 15 lakini sikupata Meseji. Nikawapigia huduma kwa wateja wakaniambia...
  14. Travis Kitengo

    TRA NA JESHI LA POLISI BUNDA MNA HABARI KUHUSU HUYU JAMAA ANAYEUZA STICKER FEKI ZA TRA?

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano.Kati ya maandiko yangu ya siku zilizotangulia niliwahi kugusia bwana mmoja maarufu kwa jina Baraka wasila ambaye ni muasisi wa kuuza dhahabu feki hapa bunda mjini.Niliwahi pia kueleza kwamba licha ya kuwa muuza dhahabu feki mjini aliamua kufungua...
  15. H

    Katibu Mkuu wa (EAC), Bi. Veronica Nduva, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya Mkutano wa 25 wa Wakuu wa (EAC)

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Bi. Veronica Nduva, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya Mkutano wa 25 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya hiyo, unaotarajiwa kufanyika tarehe 7 Machi 2026 jijini Arusha.
  16. Cute Wife

    Jeshi la Polisi fungueni "comment section" tumsifie Mafwele

    Wakuu, Nimekuwa nikifuatilia mwenendo wa Jeshi la Polisi kwenye mitandao yao ya kijamii. Naomba kujikita katika post yao ya jana tarehe 2 Machi 2026 ikimhusu Faustine Mafwele kama kiongozi (Mkuu wa Upelelezi wa makosa ya Jinai Polisi Kanda maalum Dar es Salaam)🌚🌚 Sote tunajua kuwa mtu huyu...
  17. O

    Vyombo vya habari vya serikali ya Iran vinaripoti kwamba binti wa Khamenei ameuawawa.

    Vyombo vya habari vya serikali ya Iran vimeripoti kwamba binti yake Khamenei, mkwe wake wa kiume, mjukuu wake na mkwe wake wa kike wameuawa. Kwa mujibu wa taarifa za awali, vifo hivyo vinadaiwa kutokea kufuatia mashambulizi ya hivi karibuni yaliyoripotiwa kulenga makazi yake. Hata hivyo, maelezo...
  18. D

    Anahitajika Gynaecologists mzuri Jijini Dar

    Habari ya asubuhi wadau. Tafadhali nahitaji msaada wa kufahamu wapi ninapoweza kupata Daktari bingwa mzuri wa magonjwa ya wanawake (Gynaecologists) , either ana hospitali binafsi , Polyclinic au anahudumu katika hospitali binafsi au serikali. Nikipata Jina au hata mawasiliano yake nitashukuru...
  19. Equation x

    Huu mchepuko umenipa habari njema

    Kwa uzee wangu huu wa miaka 72, sijawahi kuwa na watoto mapacha ingawa huwa nawatamani sana. Sasa majuzi, mchepuko wangu ukanijulisha ana ujauzito wa watoto mapacha...
  20. A

    KERO Askari wa Hifadhi ya Taifa, Nyerere tuna UGUMU WA MAISHA na tunadai posho

    Habari; Mimi ni askari wa hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) ninayefanya kazi katika hifadhi ya Taifa Nyerere. Kwa kipindi kilefu askari wa hifadhi tumekuwa tukipitia ugumu wa maisha kutokana na kadhaa kama ifuatavyo I) kutokulipwa staiki zetu Kwa Wakati, lakin pia Malipo ya staiki mbali...
Back
Top Bottom