gwajima

Dorothy Onesphoro Gwajima also known Gwajima Dorothy is a Tanzanian CCM politician and a nominated cabinet member since 2020. She was appointed by President John Magufuli into the Magufuli cabinet and still presenlty serves as a Minister of Health, Community Development, Gender, Elders and Children under Suluhu Cabinet.

View More On Wikipedia.org
  1. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania What is going on? Wachangiaji wa hoja ya mashtaka ya Mch. Gwajima (MB) na Jerry Silaa (MB) wote ni wajumbe wa ile kamati iliyowahoji..!!

    Mimi nashangaa kidogo jinsi mambo yanavyokwenda dhidi ya mashtaka ya wabunge Mch. Gwajima (Kawe - CCM) na Jerry Silaa (Ukonga - CCM) ambapo mjadala unaendelea hata sasa niandikapo hoja hii... Tayari m/kiti wa kamati ya "kuhoji" wenzake ameshasoma taarifa ya mahojiano na mapendekezo ya hatua...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima ashindwa kutoa ushahidi wa tuhuma zake dhidi ya chanjo

    Katika kikao kinachoendelea Bungeni leo agosti 31, Kamati ya maadili iliyowahoji Askofu Josephat Gwajima na mbunge Jerry Slaa imetoa ripoti yake na mapendekezo ya adhabu. Kwa upande wa askofu josephat Gwajima, Kamati imesema kua ilimtaka atoe evidence juu ya zile tuhuma alizokua...
  3. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Gwajima, kwa hoja umeishinda kamati ila kwa nguvu wamekushinda

    Hii kamati ilikuwa ya kipuuzi na imenisikitisha. Yaani wamepigwa KO nzuri tu. Hamna lolote ambalo wamelitamka kisomi,kisheria ,kisayansi kuwa ndiyo kosa la Gwajima. HAMNA NI BLAH BLAH tu na kumpa Sifa za Kipuuzi Gwajima. Nlitegemea hapa ndipo ambapo wangemwangusha vibaya Bwana Gwajima (huwa...
  4. tpaul

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima anatafuta umaarufu wa kisiasa au kidini?

    Mnamo tarehe 29/08/2020 Askofu Josephat Gwajima aliwaeleza waumini wake kuwa ana ‘kitu’ ndani yake kilichomuambia asikalie kiti na kutumia kipaza sauti alichokuwa amepangiwa na mwenyekiti wa kamati ya wa Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge. Kwa tafsiri nyingine ni kuwa Kamati ya Bunge...
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Kumbe askofu Gwajima aweza kuwa sahihi: Tangia chanjo ya COVID-19 inatolewa mpaka tarehe 23 Agosti ilikuwa partially approved kutolewa kwa binadamu

    Swali ni je imekuwa scientifically approved au politically approved? The F.D.A. approved full licensure of the Pfizer vaccine this morning and has also, I’m sure you’re aware, back in August on the 9th, the secretary articulated that it was his intent to mandate Covid-19 vaccines upon F.D.A...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima ampa pole Rais Samia na IGP Sirro kufuatia vifo vya askari polisi waliouawa na Hamza, awaonya wanaofurahia!

    Askofu Gwajima amesema asikitishwa sana na vifo vya askari polisi waliouliwa na Hamza pale daraja la Sarenda. Gwajima ametuma salamu za pole kwa Rais Samia na IGP Sirro kufuatia vifo hivyo. Kadhalika askofu Gwajima amewaonya watu wanaofurahia vifo vya askari hai kwamba hilo siyo jambo jema...
  7. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima hajui kwamba raia wanapaswa ku- clip mabawa yao ili kiongozi awe kiongozi

    Katika nchi hii,hasa kwa vile sasa hivi alikuwepo dikteta,na yule dikteta ameondoka,yule dikteta ndiye alikuwa analeta mshikamano,centrifugal force.d Sasa yule dikteta ameondoka,ipo centripetal force watu wanachukua silaha wanaingia barabarani wanaleta vitisho. Unaonaje mantiki yangu ilivyokuwa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Gwajima alifuata ushauri wangu kukataa kujibu maswali ya kamati ya bunge. Bunge halina mamlaka hayo

    Siku moja kabla Askofu Gwajoma hajahojiwa na kamati ya bunge niliibua uzi unaosema bunge halina mamlaka ya kumuhoji alichoongea kanisani. Hivyo nikashauri Gwajima akatae kujibu swali lolote atakaloulizwa. Nilisema wazi ninampinga Gwajima msimamo wake wa kutotaka watu wachanjwe kwani mimi...
  9. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima keshakuwa nuksi Kawe

    Mategemeo ya wana Kawe kuwa wamepata mkombozi atakayewatetea juu ya kero za jimbo la Kawe zimeanza kuporomoka kwa kasi ya ajabu. Wengine wanasemma kawe tuna mkosi , katika kupata wabunge wa kututetea. Wana Kawe wengi wanajiuliza Askofu Gwajima ataingia ofisi ipi ya serikali kuipiia magoti ili...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Bishop Gwajima kuweka mahojiano yake wazi kesho. Anadai amewafumba midomo waovu

    Jana rafiki yangu ambaye ni kabila moja na mimi na Bishop Gwajima pia amenimegea stori ndogo kuhusu Bishop Gwajima kuwa aligoma kujibu maswali yoyote yaliyohusu na mahubiri yake kanisani kwake akisema hayo ni mambo ya kiimani na hawezi kujibia kitu akiwa bungeni. Ameendelea kuwaeleza kuwa ya...
  11. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima na Jerry Silaa wasimamishwa Ujumbe wa Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge

    Wakuu Wabunge Josephat Gwajima (CCM, Kawe) na Jerry Silaa (CCM, Ukonga) ambao ni wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge wameondolewa kwenye kamati hiyo hadi itakapoamuliwa vinginevyo. Nini Kitatokea mbeleni Tungoje, Kwa Mtindo Huu Wanaweza Hata Kupewa Adhabu ya...
  12. MWALLA

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima alikataa kutumia kiti alichoandaliwa kukwepa mtego au ndio hofu tu ilimjaa?

    Nimejaribu kujjifikirisha kuhusu hili la Askofu Gwajima kukwepa kutumia kiti alichoandaliwa na pia kukataa kutumia microphone katika kikao alichoitwa hapo mjini Dodoma kuhusiana na suala la chanjo ya Corona. Je, kuna hisia gani zilimpata bwa Gwajima mpaka kufikia kufanya tofauti na...
  13. Replica

    JamiiForums Tanzania Suleiman Kova: Mtu anayekuwa katika msongo wa mawazo anaweza kufanya kama Askofu Gwajima, hajiamini na haamini wengine

    Suleiman Kova, kamanda wa polisi aliyewahi kutamba kwa kuzuia uhalifu akiwa RPC kwenye mikoa mbalimbali ameongelea hoja ya Gwajima kuomba mabadiliko ya mic na kiti. Amesema kwa uzoefu wake ndani ya Jeshi la Polisi na kuhoji watuhumiwa huwa ni suala la saikolojia kwa mtu mwenye msongo wa mawazo...
  14. Kuchasoni Kuchawangu

    JamiiForums Tanzania Hatmaye Waziri Dorothy Gwajima akubali yaishe. Abadili jina sasa kuitwà Aisha

    Waziri Dorothy Gwajima amesilimu na kubadili jina na kuitwa Aisha.
  15. R

    JamiiForums Tanzania Approach sahihi kwa Askofu Gwajima ilikuwa kumuandalia mdahalo na wataalamu wa tiba wamjibu hoja zake

    Wamekosea sana kumpeleka kuhojiwa kwenye kamati za vitisho na polisi kwa sababu huko ataibuka mshindi tu kwani hawataweza kujibu hoja zake. Na kwa kuwa wameshamtisha na akaonyesha ushupavu wa kutotishika atazidi kuwa maarufu. Na wakikosea zaidi wakamuumiza popote, au hata wakimfukuza ubunge...
  16. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Askofu Gwajima afika Bungeni kuhojiwa na Kamati ya Maadili akiwa na ulinzi wa Polisi

    Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima amefika Bungeni Dodoma muda huu kuitikia wito uliomtaka kufika mbele ya Kamati ya Maadili na Madaraka ya Bunge ili kujibu tuhuma mbalimbali ikiwemo kusema uongo na kushusha hadhi na heshima ya Bunge.
  17. mmh

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, CCM na Serikali Vs Askofu Gwajima

    Huu ni Uzi wa tathimini yangu juu ya yanayoendelea kwa ujumla katika saga la Waziri na Askofu Gwajima. Siku zote CHADEMA wamekuwa wakiwaomba viongozi wa dini kukosoa na kuikemea Serikali ya CCM. Tumeshuhudia maaskofu kama Mwamakua, Shoo na Bagonza wakioneshwa kuwa mashujaa kwa wanachadema kwa...
  18. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Nyumba yetu inazidi. Rais onyesha uwepo wako, Uwezo Wako Anza na Wale Marrionates Wote Wawili Pale Wapumzishe. The Drama King wa Pinga Chanjo Apuuzwe

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nikipata fursa huja na zile makala zangu Kwa Maslahi ya Taifa, ambazo huchapishwa na gazeti la Nipashe la kila siku za Jumapili. Wajameni, ni mimi tuu au na wengine, naona kama Nyumba yetu inazidi makelele, jee tumshinikize Mama aonyeshe uwepo wake, kwa...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima, umekosea kujifanya mwamba na mwanaume, uwe mfano kwa jamii na heshimu familia yako. Uliyofanya na unayoyatetea si sahihi

    Nimefuatilia kwa karibu majibu machafu na ovyo ya huyo Gwajima (siamini kama kweli ni mchungaji au askofu mwenye karama), Kama kweli ni mchungaji kuna ethics zake, ni upumbavu na upuuzi kujitapa kuwa hata kama amelala na mrembo yule kwani kuna shida gani? Hivi ni wewe unayehubiri kanisani neno...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Wito wa maombi: Mwili wa Kristo Tanzania tumwombee Askofu Gwajima

    Mwili wa Kristo uliopo Tanzania kesho katika umoja wetu tumwombee Askofu Gwajima. Tuombe Mungu ampe ujasiri na hekima ambayo hakuna atakayeweza kuhojiana nayo!! Roho Mtakatifu ahusike mwanzo mwisho!! Ikiwezekana baada ya mahojiano kitokee kitu kitakachowashikisha adabu toka kwa mzee wa siku...
Back
Top Bottom