gwajima

Dorothy Onesphoro Gwajima also known Gwajima Dorothy is a Tanzanian CCM politician and a nominated cabinet member since 2020. She was appointed by President John Magufuli into the Magufuli cabinet and still presenlty serves as a Minister of Health, Community Development, Gender, Elders and Children under Suluhu Cabinet.

View More On Wikipedia.org
  1. rosemarie

    JamiiForums Tanzania Ni nini kimempata Askofu Gwajima?

    tunaangalia live on youtube askofu Gwajima anahubiri nashangaa sana Askofu anahubiri kwa upole sana,kwa uangalifu sana,je Askofu ni mgonjwa??? nafikri Gwajima ana matatizo kutokana na uwezo wangu wa kuangalia mambo na huko ccm alifata nini?alikuwa mwanaharakati wakati wa Dr Slaa aliifata ccm ili...
  2. The Khoisan

    JamiiForums Tanzania Zoom Meeting ya Askofu Gwajima na Rafiki yake CEO wa Pfizer. Tunaomba marejesho

    Mwezi uliopita Askofu Gwajima Siku ya Jumapili akiwa madhabahuni alidai kuwa Jumanne iliyokuwa inafuata angekuwa na Zoom Meeting na rafiki yake ambaye ni CEO wa Pfizer pamoja na mgunduzi wa technology ya mRNA vaccine ambaye pia ni rafiki yake. Pia alidai kuwa atawapa waumini wake link kupitia...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Kamati ya Bunge imenifanya nionekane kama Jitu baya na Korofi, sasa hili ndio lililojiri kikaoni

    Askofu Gwajima yuko mubashara Rudisha Online tv anatoa ufsfanuzi na kujibu yale yaliyosemwa na kamati e maadili ya bunge. Updates; Niliitwa na kamati ya maadili ya bunge na kunihoji yale niliyohubiri Kanisani nami nikawaambia wao hawana mandate ya kuhoji kile kilichotokea Kanisani ambapo...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Serikali ikimchekea Mchungaji Gwajima yatatokea yale ya Kinjingitile Ngwale na Mchungaji wa Loliondo

    Serikali ikiendelea kumchekea huyu Mhuni Mchungaji Gwajima yatajirudia yale yaliyotokea wakati wa vita vya majimaji wapiganaji walivyopotoshwa na Kinjikitile eti risasi zitageuka maji ambapo watu walipoteza maisha kwa malaki kwa ujinga wa mtu mmoja. Hivi majuzi babu wa Loliondo kama Mchungaji...
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Je, Askofu Gwajima kujivua Uanachama wa CCM kanisani?

    Hili ni swali tu lililotokana na mazingira yanayoonekana , nimechezwa na machale tu , ikumbukwe kwamba Gwajima hakuwahi kuwa MwanaCCM, huyu baadaye alikuja kuwa Mfuasi wa Magufuli kutokana na Makubaliano fulani na sasa Magufuli hayupo na kimsingi yale makubaliano yamekufa kifo cha kawaida. Kama...
  6. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Polepole na Gwajima wanaviburi sababu wanajua ata CCM wakiwavua uanachama Spika hatawanyanganya ubunge Kama Akina Mdee.

    Swala la Gwajima NI wazi kuwa CCM hawana la kufanya zaidi ya kuwatisha tu. Kwani wakiwavua uanachama wataamsha hoja ya akina mdee. Acha Wawavimbie tu
  7. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Hoja ya Polepole na hoja ya Gwajima juu ya chanjo ya Covid-19

    Polepole: Moja, Polepole yeye anasema kuwa corona ni ugonjwa uliotengenezwa na big pharma ili yapige pesa. Kuwa mabeberu wanaachana na kuvamia nchi kuiba mafuta na sasa wanatengeneza magonjwa ili kupiga pesa. Pili, Anasema kuwa kasi ya kirusi kubadilika(ku-mutate) inatia shaka, si ya kawaida...
  8. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima na wewe umechangia kuligharimu taifa hili. Acha tabia hii!

    Nimesikitishwa kwa kiasi kikubwa sana na huyu kiongozi ambaye pia ni mwakilishi wa wananchi wa jimbo la KAWE kwa kauli zake za kuligawa taifa. Ni kama vile mamlaka vinamchekea utafikiri yeye anatembea na pembe. Huyu mtu anatoka hadharani na kudiriki kusema eti Marehemu JPM alimpigia simu na...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Katika mazingira haya, Askofu Gwajima anapaswa kujiuzulu na si tusubiri kuchukuliwa hatua kuthibitisha ubunge kwake sio kitu kama alivyowahi sema

    Pamoja na sababu nyingine zozote, nahisi baadhi ya wabunge na Wana-CCM wengine ndani ya CCM, wanataka kuona kama kweli Gwajima ubunge kwake sio issue. Hivyo, Gwajima asisubiri wanuwahii kwa maana ya kumtimua ubunge kwani wanaweza kuanza kumsuta kwanini hakujiuzul licha ya tuhuma zote huku akiwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hali hii naamini maneno ya Askofu Gwajima kuwa viongozi wamehongwa ili chanjo ije

    Huu ni mkusanyiko wa watu ktk Jimbo la Kawe jijini Dar es Salaam mbele ya Rais 02/09/2021. Halafu bila soni akasisitiza chanjo. Hivi Rais Samia yuko serious na gonjwa hili ama anaongea kuwafurahisha na kuwapumbaza walotoa hela? Wenye akili wameamua kumchana mheshimiwa rais bila woga.
  11. Ngengemkenilomolomo

    JamiiForums Tanzania Tutegemee nini baada ya Rais Samia kusema 'Gwajiboy oyee Tunachanja, hatuchanji' mbele ya Askofu Gwajima?

    Mapema Leo wakati Rais Samia yupo Tegeta jimbo la Kawe kwa Mchungaji Gwajima akiongea na wananchi na wakazi wa Kawe waliojitokeza kumsikiliza ameongea mengi lakini kati ya hayo ni pale aliposema "Gwajiboy oyeee, tunachanja, hatuchanji? Haya mheshimiwa gwajima endelea" Kwa kauli hii Spika na...
  12. Mwanamayu

    JamiiForums Tanzania Huyu ndio Askofu Gwajima eti Stocholm ni mji mkuu wa Denmark! Hayo mengine hachapii kweli?

    Askofu Gwajima mwenye 'upako wa kutosha' aka 'Jasusi wa mbinguni' anawaambia waamini wake kuwa Stocholm ni mji mkuu wa Denmark! Mimi nijuwavyo, Stocholm ni mji mkuu wa Sweden, halafu Copenhagen ndio mji mkuu wa Denmark.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Mbunge Elibariki Kingu alipangwa kumnanga Bishop Gwajima au ndiyo kujipendekeza?

    Huyu alikuwa anaonekana kama mmojawapo wa wabunge wasio na maana sana bungeni. Lakini kwa jana ameonekana kama vile anaanza kutumika kama game changer! Wangeongea aliyanena jana akina Nape na Janauri basi mjadala ungekuwa sio mjadala tena bali mipasho. Huyu EK ni nani? Je uwakilishi wake kwenye...
  14. Sajo

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya Gwajima na Silaa: Je, lilikuwa ni tukio la kupangwa?

    Taarifa ya Kamati ya haki, maadili na Madaraka ya bunge iliungwa mkono na Spika wa Bunge kabla ya kuanza kujadiliwa na bunge (baada tu ya Mwenyekiti wa kamati kutoa hoja). Tafsiri ni kuwa ilielekeza wabunge nini kinachotakiwa na Spika. Muelekeo ulikuwa ni kuunga mkono hoja na sio vinginevyo...
  15. Sajo

    JamiiForums Tanzania Kusimamishwa kwa Askofu Gwajima na Silaa; Je, wana ugomvi binafsi na Spika wa Bunge? Angalia utaratibu uliotumika

    Hivi ndivyo ilivyojiri kikaoni (bungeni) tarehe 31 Agosti 2021 (sio rasmi) Mwenyekiti wa Kamati: (Baada ya kuwasilisha taarifa ya kamati) Mheshimiwa Spika, Natoa Hoja wabunge hao wasimamishwe kuhudhuria mikutano miwili ya bunge Spika Ndugai: Hoja imepokelewa na kuungwa mkono. Spika...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima umekuwa na maadui wengi usisahau kutembea na bastola yako yasije yakajirudia ya kipindi kile

    Kipindi kile mwaka 2015 ulizua taharuki kubwa baada ya kuvunja sheria na kuagiza wasaidizi wako wakuletee bastola yako ukiwa hospitali. Sasa hivi ni wazi kabisa kwa msimamo wako dhidi ya chanjo umeshajenga maadui katika jamii. Kwa sababu na wewe ni muoga kuondokewa na uhai wako basi ni bora...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Gwajima akirudia tutamuita Waziri wa Mambo ya Ndani na kumhoji

    Spika Job Ndugai amesema vyombo vingine vya serikali na chama vinapaswa kumuwajibisha Josephat Gwajima kutokana na kauli zake Amesema kama hatowajibiswa na akarudia makosa aliyokutwa nayo kwenye Kamati ya Maadili ya Bunge watalazimika kuitwa wao Amesema Waziri wa Mambo ya Ndani atapaswa...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Bunge lanuka dhidi ya Gwajima na Jerry Silaa

    BUNGE LANUKA DHIDI YA GWAJIMA NA SILAA WAKATI nchi ikisubiri kwa hamu na ghamu hatima ya tozo za mihamala ya simu, Bunge limewahukumu Wabunge Josephat Gwajima wa Kawe na Jerry Silaa wa Ukonga (wote kutoka CCM). Hii ni kufuatia kauli za kichochezi na uongo uliovuka mawingu. Baada ya kuhojiwa...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima kama una ubavu, anzisha battle na Spika Ndugai kama ulivyohaidi

    kwenye zile biti zake za kanisani Gwajiboy huwa anawadanganya waumini wake kwamba yoyote atakayeinua kichwa atamponda ponda Pia akahaidi hata wasaidizi wa Rais anasubiri ajinue mmoja atamshushia kitu kizito mpaka atawasimulia watoto wa watoto zake, Sasa Basi mweshimiwa Gwajima, Spika Ndugai...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Spika atishia kuwaita IGP Siro, AG, na waziri M.Ndani kamati ya maadili kwa kushindwa kushughulika na Gwajima

    Nafurahi ninapoona mihimili inakinzana na hii inaonesha kweli Kuna separation of power. Nimeshangaa Leo Spika anamlaumu Siro kwa kutokumkamata Gwajima, na ametishia kuwaleta maadili Siro Waziri wa Mambo ya Ndani na Mwanasheria Mkuu, hii ni nzuri kwakuwa mihimili Sasa inanguvu sawa, ndo...
Back
Top Bottom