Dorothy Onesphoro Gwajima also known Gwajima Dorothy is a Tanzanian CCM politician and a nominated cabinet member since 2020. She was appointed by President John Magufuli into the Magufuli cabinet and still presenlty serves as a Minister of Health, Community Development, Gender, Elders and Children under Suluhu Cabinet.
Jana alisema leo Saa 5 atakuwa na jambo lake..
Hata hivyo ameahirisha ghafla mpaka Saa 9 alasiri..
Hii inanipeleka nyuma wakati Nape aliitisha press kama hii baada ya kuvuliwa uwaziri..
Baada ya kuzuiwa kutoa hotuba yake ndioo akawa hana namna isipokuwa kuitolea akiwa kwenye gari...
Na hata...
WAZIRI DK DOROTHY GWAJIMA AZINDUA MPANGO WA JAMII HARAKISHI NA SHIRIKISHI WA CHANJO YA COVID -19 AWAMU YA PILI
===
Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima amezindua Kampeni Harakishi na Shirikishi kwa Jamii awamu ya pili na kusema, changamoto za...
Kama kuna mtu muongo, msema ovyo na generally haaminiki, basi ni huyu Askofu Gwajima.
Kuna video nyingi akiongea vitu tofauti, kuna wakati lisema ananunua helikopta, mara atawapeleka wana Kawe Birmingham, Marekani.
Uongo mwiingi
"....Mfalme hata akivimba wewe mwache avimbe lililo kuu songambele." Askofu Gwajima.
"....muulizeni tuedit maandiko Matakatifu?!" Askofu Gwajima.
"....Corona niliipinga kabla hata ya Ubunge na kamwe sitorudi nyuma." Amesema Askofu Gwajima.
"Mungu akikupa amekupa, Wanadamu wakikupa ukiwapingapinga kidogo wanasema tukunyang'anye tulichokupa, heri kupewa na Mungu kuliko kupewa na Wanadamu,mimi hunitishi kitu kwasababu kila nilichonacho nimepewa na Mungu" Mhe. Josephat Gwajima, mbunge wa Kawe kuptia CCM
https://t.co/08EMrlwm6
Jerry Slaa ni kijana wa CCM aliyelelewa na kufundishwa maadili ya CCM, makosa aliyofanya hakujua madhara yake,
Kwa sisi wakongwe ni kuwa Jerry Slaa alifanya utoto na naamini baada ya kuitwa kwenye Halmashauri Kuu ya CCM ametubu,
hivyo adhabu yake yaweza kuwa ya kawaida.
Gwajima-huyu...
Tena Mwenyekiti Taifa CCM ( Rais Samia ) kama Wasaidizi wako wanakuficha sasa Mimi GENTAMYCINE leo 'nakuchana' Mubashara hapa hapa kuwa kwa 85% unazungukwa na Wanafiki na Maadui zako ambao tayari wameshakupima na Kukuona ni Mwepesi kwa Mipango yao 'Ovu' Kwako hivyo shtuka mapema kabla yale ya...
UCHAMBUZI; HUYU AMALEK ANAYEZUNGUMZIWA NA GWAJIMA NI NANI HASA?
Anaandika, Robert Heriel.
Leo ni Sabato, nitazungumza Kwa uchache Sana nisichoshe watu. Ingawaje napendelea maandiko marefu mno.
Tumesikia kuna Mfungo wa Masaa 72 yakumtoa Amalek katika Nchi, mfungo huo umehusishwa na Gwajima...
Ndugu wanabodi naomba niwaulize swali la mtazamo tu. Na hii ni kutokana na waswahili wasemao dalili ya mvua ni mawingu, kwamba kutokana na maamuzi ya vikao vya ccm leo ikiwa vitaamua mbunge wa kawe avuliwa ubunge wake na kutokana pia na historia ya kisiasa ya jimbo la kawe unadhani ni chama gani...
Saa chache kabla ya kwenda kuhojiwa na Kamati ya nidhamu ya chama chake (CCM), Mchungaji Josephat Gwajima ametangaza mfungo wa saa 72 kwa ajili ya kumng'oa (mtawala) Amaleki katika nchi.
kwani Amaleki mwenyewe anasemaje?
Wana JF
Ukisikia mbunge kukosa meno kwa kile kilichoamuliwa na serikali ndio hiki. Tarehe 22 juzi Gwajima Boy alifika kushuhudia nyumba zikivunjwa kwa wale wote waliojenga mabondeni, risasi zililindima kama tupo Kandahar, vilio vilitawala kwa akina mama na baba wakina mabangaloo yakiangishwa...
Habarini wana JF,
Nmekutana na huduma mpya ya huyu mtumishi ambaye juzi kati alikasimishwa madaraka ya kusimamia makanisa ya Ufufuo na Uzima Dar.
Nmeona kama ana ameanzisha huduma nyingine inaitwa Clinic ya mwanakondoo, sasa sjui wamezinguana vipi na ASKOFU Gwajima wakati huyu alikuwa...
Gwajima Atuma Wafuasi wanitukane What's App FaceBook na Twitter.
Tafadhali Msimtukane. Mkishindwa kabisa kuvumilia Mwiteni BIBLIA WEWE au TENZI ZA ROHONI WEWE.
Au mwekee wimbo huu ausikilize.
MIMI NIMEMUULIZA
Kawe ya Askofu Gwajima mzee wa Connection iko vipi?
Alisema akipata ubunge kawe...
Waziri wa Afya Dr Gwajima Katika hotuba yake aliyoitoa kwa watumishi ambapo aliwaonya kuhusu kununua damu au kwa watumishi kuuza damu na kudsi ni kosa hivyo anatoa eti mwezi kwa yoyote atakayebainika atachukuliwa hatua kali za kisheria.
Cha Ajabu akiwa kama Waziri wa Afya kwanza Watumishi Wote...
Wakuu jana nilishudia askari wa uhamiaji wakifanya ambush kukamata wafanya biashara wadogo wadogo pale mbuyuni. Picha lilianza baada ya bus moja likiwa na watu walio valia sare za uhamiaji kufika km vile picha ya MAFIA VS NINJA likisdinidkizwa na gari ndogo. Walipofika waliwaweka chini ya...
Habari JF
Serikali kupitia Wizara ya Afya ilitoa taarifa kuwa ipo katika hatua za mwisho kuwachukulia hatua wote watakaobainika walihusika katika kuvujisha mtihani wa kitaaluma wa mwaka wa pili wa matabibu pindi tu ripoti ya uchunguzi itakapokamilika na kuwasilishwa.
Hayo yamesemwa na Waziri...
Mambo yanakwenda kwa Kasi sana!
Miezi miwili iliyopita Baba Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima(sijui upi) alikuwa gumzo kitokana na Kupinga chanjo ya Corona.
Kabla ya hapo pia alikuwa ni Kama anapinga uwepo wa Corona na jitihada zote zilizokuwa zikifanywa , kwa kuwaaminisha Waumini wake kuwa...
Kufuatia ripoti kuhusu Watoto kukimbia Shuleni, Waziri wa Afya, Dkt. Dorothy Gwajima amesisitiza Chanjo dhidi ya COVID19 zitatolewa na wenye umri wa zaidi ya miaka 18 pekee
Ameeleza, "Hakuna mtoto aliye chini ya miaka 18 ambaye atachanjwa. Na hawa wa miaka 18 na kuendelea watachanjwa kwa hiari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.