Ni nini kimempata Askofu Gwajima?

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
tunaangalia live on youtube askofu Gwajima anahubiri
nashangaa sana Askofu anahubiri kwa upole sana,kwa uangalifu sana,je Askofu ni mgonjwa???
nafikri Gwajima ana matatizo kutokana na uwezo wangu wa kuangalia mambo
na huko ccm alifata nini?alikuwa mwanaharakati wakati wa Dr Slaa
aliifata ccm ili atimize lile neno linalosema if you dont beat them join them???ana mambo mengi ya siri moyoni mwake
je ccm wameshamweka kati???time will tell
 
serekali uionayo madarakani ina uungu ndani yake iheshimu unless utapata tabu sana mbona wenzao wamekaa kimya tu ukimya ni hekima iliyo kuu sana, akae kimya asubiri chanjo ya #covid 19
 
Hana elimu ya juu ndio maana anaongea kama Msukuma. (Mbunge) Hajui kumkashifu mtu kwa kutumia busara, angalia wakati wa Makonda na yule askofu wa Kanisa kubwa.
 
Mkuu huyo ni msanii tu kama wasanii wengine, hivyo asikufanye uwaze chochote kikubwa.
 
tunaangalia live on youtube askofu Gwajima anahubiri
nashangaa sana Askofu anahubiri kwa upole sana,kwa uangalifu sana,je Askofu ni mgonjwa???
nafikri Gwajima ana matatizo kutokana na uwezo wangu wa kuangalia mambo
na huko ccm alifata nini?alikuwa mwanaharakati wakati wa Dr Slaa
aliifata ccm ili atimize lile neno linalosema if you dont beat them join them???ana mambo mengi ya siri moyoni mwake
je ccm wameshamweka kati???time will tell

Kompromat​

Kompromat​

Kompromat​

Umesahau ile clip ya porn aliyocheza bado iko mikononi mwao na akileta za kuleta anaweza kufikishwa mahakamani kwa uhalifu wa mtandao wa kupiga na kusambaza picha za ngono?
 
Hana elimu ya juu ndio maana anaongea kama Msukuma. (Mbunge) Hajui kumkashifu mtu kwa kutumia busara, angalia wakati wa Makonda na yule askofu wa Kanisa kubwa.
Kwa hiyo ukiongea kama msukuma unakuwa huna elimu ya juu? Unataka aongee kama mwingeleza au siyo?! Lunatic
 
Back
Top Bottom