Huyu ndio Askofu Gwajima eti Stocholm ni mji mkuu wa Denmark! Hayo mengine hachapii kweli?

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,342
6,468
Askofu Gwajima mwenye 'upako wa kutosha' aka 'Jasusi wa mbinguni' anawaambia waamini wake kuwa Stocholm ni mji mkuu wa Denmark! Mimi nijuwavyo, Stocholm ni mji mkuu wa Sweden, halafu Copenhagen ndio mji mkuu wa Denmark.

Mbona issue ndogo sana hiyo
 
Askofu Gwajima mwenye 'upako wa kutosha' aka 'Jasusi wa mbinguni' anawaambia waamini wake kuwa Stocholm ni mji mkuu wa Denmark! Mimi nijuwavyo, Stocholm ni mji mkuu wa Sweden, halafu Copenhagen ndio mji mkuu wa Denmark.

Stockholm syndrome kwanini haioni kwake na mwendazake?

Japan wanapo suspend chanjo ni wa maana. Japan wakiendelea na chanjo anafichama haoni.

BBC wakitangaza mafao ya chanjo anafichama.

Kazi kweli kweli!
 
Askofu Gwajima mwenye 'upako wa kutosha' aka 'Jasusi wa mbinguni' anawaambia waamini wake kuwa Stocholm ni mji mkuu wa Denmark! Mimi nijuwavyo, Stocholm ni mji mkuu wa Sweden, halafu Copenhagen ndio mji mkuu wa Denmark.

Nenda huko Sweden kwenye
Askofu Gwajima mwenye 'upako wa kutosha' aka 'Jasusi wa mbinguni' anawaambia waamini wake kuwa Stocholm ni mji mkuu wa Denmark! Mimi nijuwavyo, Stocholm ni mji mkuu wa Sweden, halafu Copenhagen ndio mji mkuu wa Denmark.

Nenda huko Sweden, kaulize mji mkuu wa Tanzania ni ipi? Kati ya watu mmoja tu ndiye atakutajia jibu sahihi kama una bahati. Acha hilo waulize Tanzania iko bara gani. Majibu utakayo pata utajua kumbe Mh Gwajima angalau ana idea.
 
Nadhani aliteleza ulimi tu!
Hata hivyo Hilo haliwezi kuchafua Legacy yake anayotengeneza kutoka na kususia chanjo!
 
Back
Top Bottom