Dorothy Onesphoro Gwajima also known Gwajima Dorothy is a Tanzanian CCM politician and a nominated cabinet member since 2020. She was appointed by President John Magufuli into the Magufuli cabinet and still presenlty serves as a Minister of Health, Community Development, Gender, Elders and Children under Suluhu Cabinet.
Kauli za Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima, Bungeni leo Juni 21, 2022
"Inapotokea utawala mmoja unamaliza na kuingia utawala mwingine, na kwa sababu mtazamo wa utawala uliopita ni tofauti na unaokuja, inabidi viongozi wengi sana wabadilike kwa sababu inaonekana kwamba maono mapya yanaingia...
Mbunge wetu Kawe Nd Gwajima sasa anafanya kazi ya wananchi.
Kwa muda mrefu sana wananchi wa eneo la Mbezi Jogoo, nyuma ya viwanda vya COTEX, tume,uwa tukisumbuliwa na matapeli kwa miaka mingi.
Watu wako eneo hili toka miaka ya 70 au 80, mimi nipo hapo toka mwanzoni mwa miaka ya 90.
Eneo letu ni...
Mbunge wa Kawe akiwa bungeni, Joseph Gwajima amesema kwa miaka mitano Taifa limelipa fedha za kigeni dola za kimarekani bilioni 2.2 kununua chuma, Gwajima amesema kwa mtu yoyote mwenye akili na anajua kuzitumia jambo hili hawezi kuruhusu kufanyika.
Gwajima amesema nchi imeanza na reli ambayo...
Mbunge wa Kawe Askofu Josephat Gwajima, ametoa pole ya shilingi laki moja kwa kila mwananchi aliyekatwa mapanga na vijana wanaodaiwa kuwa ni Panya road katika mtaa wa Mtongani Kunduchi usiku wa kuamkia Mei 2, 2022. Jumla ya wananchi 19 walijeruhiwa kwa mapanga.
Inawezekana hii haizungumzwi sana katika vyombo vya habari kwa kuwa wanahabari wengi wanatazama kinyume chake lakini ukweli ni kuwa kuna tatizo limekuwa likiibuka la watoto kufanyiana ukatili wao kwa wao.
Tunajua kuwa asilimia kubwa ukatili kwa asilimia kubwa umekuwa ukifanywa na watu wazima...
Tangu ile video yake ya ngono ivuje aliyokua anatikisa mauno nimekua nikimuona wa hovyo sana, ila kwenye ujumbe wa hii video yake, katiririka hoja zenye mashiko, anaeleza kile ambacho kimewakwamisha Watanzania kwamba kila rais anakuja na maono yake na mambo yake, hamna maono au dira ya taifa...
Maono ya taifa ni makubaliano ya jumla ya taifa kuhusu uelekeo wa wanakotaka kufika na kujiona wamefika huko wanakotamani kufika miaka kadhaa (mingi) ijayo. Makubaliano ya aina hii ni lazima yatengenezewe mikakati ya kufika huko tunakotamani tufike kama taifa. Mkakati huo lazima utekelezwe na...
Askofu Gwajima ambaye ni Mbunge wa Kawe kasema nchi imekosa maono kwa kuwa kila Rais akiingia madarakani anaachana na ya mtangulizi wake, kuongeza hilo kamwe halitaweza kutuletea maendeleo
Gwajima amesema nchi inatakiwa kuwa na mikakati yake ya muda mrefu na kila rais anayeingia madarakani...
Chanjo yaanza kubadilisha utu wa binadamu. Ni kipindi cha ukweli na uwazi. Msiwafanye Watanzania mazezeta ama kwa makusudi, ama kwa kutokujua kwenu, ama kwa vyoyote vile.
Kama mnavyotoa takwimu za wachanjwaji, mnaweza kutoa takwimu za kweli za wahanga wanaoganda damu na madhara mengine...
Picha Dkt. Dorothy Gwajima
Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Makundi Maaalum Dkt. Dorothy Gwajima, amesema, masuala ya changamoto za Machinga ikiwemo kuhamahama, watazungumza na Mamlaka za Mikoa ili kuona namna Bora ya kutatua tatizo hilo, na hii itakuwa ni kwa nchi nzima.
Waziri...
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima, amewapongeza Ngariba walioacha kufanya ukeketaji na kugeuka kuwa wanaharakati wa kukemea vitendo vinavyo dhalilisha utu wa mtoto wa kike na kumuachia maumivu makali.
“Tuwavushe mabinti zetu kutoka usichana...
Kwenye interview ya Furaha, amemchanachana Askofu Gwajima kwa kusema kuwa ni MNAFIKI na MUONGO. Kazungumzia vipi alivyowatapeli wananchi wa Kawe kwa kudai kuwa ndani ya siku 100 atawajengea wana Kawe Barabara na kuwapeleka Birmingham.
Kwa kweli Gwajima amekuwa Muongo kwa siku nyingi sana...
Kwenye usiku wa kuuaga mwaka 2016 na kuukaribisha mwaka 2017, mtumishi wa Mungu, Askofu Gwajima kupitia madhabahu ya kanisa lake la Uzima na Ufufuo aliitangazia dunia kuwa kanunua treni yake, tena kanunua kwa pesa taslimu.
Ndugu Watanzania wenzangu, naomba kujulishwa hiyo treni wanapandia wapi...
Mu hali gani!
Mama is so smart sisi wataalamu wa movies za kungu fu tunamwita master.
Alipoingia wengi ,hasa mm tulimdharau kuwa yuko soft anadhani uraisi ni kikoba.
Muda ukaenda akachagua mbwa mbalimbali madarakani ,ndo nikajuta hata kuwa CCM nkasema huyu naee ,yeye pia muhanga wa lile...
Huyu mchungaji awali aliwahi pambana na makonda ,aisee mpaka mpambano unaisha makonda alilambishwa sakafu kila round hatimaye akautwaa mkanda, Mwanabongofleva Diamond akataka kuomba pambano ila kabla mpambano haujaanza mzee wa ufufuo akafufua udhaifu wa huyu mbana pua, kuona hivyo mbana pua...
Gwajima kwenye press conference yake leo amesema mwanzoni alipomsikiliza Ndugai aliona ni kama hoja vile. Akamtumia Ndugai text “this is Ndugai I know”. Ndugai akamwambia mtani mimi nimechanja lakini naumwa. Gwajima akamwambia “mtani hautakufa mpaka tumalize safari…maana yake tufike 2025”
Je...
Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima amemshauri Spika wa Bunge, Job Ndugai ajiuzulu kutokana na mpasuko ambao amesema anauona
Gwajima amesema anaona Ndugai anataka kuchonganisha wananchi na serikali kwa kauli yake ya kusema '2025 mkimuweka mwingine sawa'
Aidha amesema suala la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.