google

  1. JamiiForums Tanzania TANZIA Mtanzania Abraham Mgowano aliyeajiriwa na Google afariki dunia kwa kuanguka kwenye Boti na kuzama

    MAREKANI: Mwili wa Mtanzania Abraham Mgowano aliyekuwa akiishi na kufanya kazi katika Kampuni ya Google kama Mhandisi wa Programu Endeshi (Software Engineer) umepatikana ukielea katika Mto Miami jijini Florida baada ya kuanguka kwenye 'Boti'. Abraham aliripotiwa kupata ajali Februari 24, 2024...
  2. JamiiForums Tanzania Phone4Sale Poogle Pixel for sale

    150,000tsh call 0628 880 380 Pixel 4a 5G kila kitu kipo poa mstari tu umejichoraa
  3. JamiiForums Tanzania Millard Ayo, kimetokea nini? Mbona umefungiwa Google?

    Ukiingia tu kwenye website ya millardayo.com unakutana na message hii.
  4. JamiiForums Tanzania Phone4Sale Google Pixel 4a 5G

    Call 0628880380 OFFER kwa 270tsh Google Pixel 4a 5G-Resolution 1080 x 2340 pixels,-Android 14-128GB storage -6GB RAM
  5. JamiiForums Tanzania Google Pixel 4a 5G 270tsh

    Call 0628880380 OFFER kwa 270tsh Google Pixel 4a 5G-Resolution 1080 x 2340 pixels,-Android 14-128GB storage -6GB RAM
  6. L

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu hasa hii google saved places(visited places)accuracy yake kwenye ramani

    Je hii kitu Ina accuracy kiasi gani? Je, inaweka kumlocate mtu akilala guest flani na hajawahi lala hapo? Je, ukipita mahali hata mara moja kama location ipo on, baadae ukiangalia kwenye ramani itanyesha uliwahi lala hapo?
  7. JamiiForums Tanzania Msaada wa kuverify google admob akaunti

    habari wanajukwaa mimi ni blogger mchanga ninaejaribu kuziendea ndoto zangu nilifungua app siku mingi kidogo hapo nyuma sasa ni zaidi ya miezi miwili nimefikisha usd 10 ambapo kwa sheria za google natakiwa kupokea pin katika sanduku la barua lakini mimi sina naomba msaada yeyote anaeweza...
  8. JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa; Je Google wanapataje mitaa na njia za dunia nzima?

    Moja kwa moja kwenye point. Wajuzi watujuze ni kwa vipi Google inazo barabara na vinjia hata vya vijijini swekeni kabisa. Na mara nyingine wameweka hadi majina ya mitaa.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Google watuhumiwa kuonesha uwezo bandia wa Gemini AI

    Kampuni kongwe katika tasnia ya teknolojia,Google wamepokea maelfu ya lawama kutoka kwa wanajamii wa AI baada ya bidhaa yao mpya ya Gemini AI kudhihirika kuwa na uwezo mdogo tofauti na ilivyooneshwa kwenye demo Mpaka sasa hakuna anaejua sababu halisi za kampuni hiyo kongwe kabisa kufanya...
  10. JamiiForums Tanzania Tips and tricks of Google Compact

    Wakubwa na wa Penzi wa Jukwaa hili natumai hamjambo na mnaendelea vyema na Majukum ya ujenzi wa Nchi na Dunia yetu kwa Ujumla. Leo nimeona Nije na wazo,kwa kila member anae tumia Iterm ya Google aje apande Hapa Jukwaani akisifu ustady wake na jinsi anavyo tumia katika shughuli zake. Mano;wa...
  11. JamiiForums Tanzania Google JamiiForums

    Salamu, wana JF!!! Uzi huu ni makhususi kwa ajili ya marejea au mafafanuzi ya mambo mbalimbali muhimu. (Simply ^kuwekana^ sawa)!!! Hii ni kama Google ndogo -- Google JamiiForums!!! Inaweza tukio au tarehe fulani ya tukio, neno au matumizi yake, habari tata, hoja isiyoeleweka, historia fulani...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini picha ya kujaa Maji Bwawa la Nyerere haionekani google wakati huu, nini shida

    Tangu kuanza kujazwa maji katika bwawa la nyerere ni takribani mwaka mmoja umepita, na maendeleo ya ujenzi wa bwawa la nyerere limefikia asilimia takribani 90. Sasa toka maji yameanza kujazwa disemba 2022 maji yameingia mengi mno, na ujazo umefikia mita takribani 160+, hawa google kwanini...
  13. JamiiForums Tanzania Vinahitajika Vifaa kutoka google pixel

    Habarini za kila mmoja mwenye kusoma uzi huu Kama ilivyo katika kichwa cha habari hapo juu, ni kwamba inahitajika mashine(hapa mafundi simu tu ndo watanielewa zaidi nikisema mashine) ya google pixel 6. Kwa maana ya kwamba mtu anaweza kuwa na google pixel 6 yake mbovu, kwa hivyo anaweza kutupatia...
  14. JamiiForums Tanzania Baada ya kugundua Google chrome inakusanya taarifa zangu nyingi niliwahama, ni mwaka wa pili sasa natumia Brave Browser.

    Yani google ni majasusi waliokubuhu, Sina tatizo kwa google kutunza baadhi ya taarifa zangu kama cintacts zangu lakini kuna muda wanavuka mipaka kuchungulia hata visivyowahusu. Google chrome ukiitumia historia yako ya kila kitu ulichosechi kitaonekana, Google chrome inatunza passwords za...
  15. JamiiForums Tanzania Phone4Sale Google Pixel 4 for sale

    Habari , nauza simu tajwa hapo juu ipp clean mpya ,, sifa za hizi simu picha zake zipo clean as reality...for more ni cheki 067270132...pia po moshi KCMC price 360,000...RAM 6 GB, INT.64 GB
  16. JamiiForums Tanzania Usije uka google dalili za Ukimwi kama unajihisi unao "Utakufa kwa presha"

    Habari zenu wakuu Hope mko powa kabisa. Kwanza naomba ifahamike kabisa kwamba kuwa na UKIMWI sio mwisho wa maisha kwakua wapo watu wengi wanaoishi na ugonjwa huu lakini bado wanaendelea kuishi vizuri kwa kufuata ushauri wa madaktari. Pia uzi huu haupo kwaajiri ya kuwanyanyapaa watu waishio na...
  17. JamiiForums Tanzania Phone4Sale Google Pixel 4a 5G 128GB / 8GB Ram Battery 3885maH

    Jipatie Google Pixel 4a 5G iliyotumika USA (Second Hand) Warranty 6 Months 0764081567 Free Charger Free Cover Free delivery in Dar es salaam
  18. JamiiForums Tanzania Phone4Sale Google Pixel 5 5G 128GB / 8GB Ram BATTERY 4080mah

    Jipatie Google Pixel 5 yenye 5G iliyotumika USA (Second Hand) Warranty 6 Months Imenyooka sana Grade A imetumika kwa upendo sana 0764081567 Free Charger Free Cover Free delivery in Dar es salaam
  19. JamiiForums Tanzania Kinatafutwa kioo Cha google pixel 6 pro

    Kwema MKUU.... Kinatafutwa kioo Cha google pixel 6 pro Njoo DM Kwa biashara.
  20. JamiiForums Tanzania Msaada: Nimepata google adsense lakini sipati ads kwa sababu ya lugha

    Wakuu, nimepata google adsense lakini sipati ads kwa sababu ya lugha nifanye nini ku switch toka Swahili to English? Blog yangu ni ya Kiswahili, sasa baada wao kureview inaleta ujumbe wa kutopata ads kwa sababu ya lugha, naombeni msaada wenu. "Your blog isn't ready to show ads and needs...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…