Msaada: Nimepata google adsense lakini sipati ads kwa sababu ya lugha

dvj nasmiletz

JF-Expert Member
Jul 23, 2018
2,020
2,157
Wakuu, nimepata google adsense lakini sipati ads kwa sababu ya lugha nifanye nini ku switch toka Swahili to English?

Blog yangu ni ya Kiswahili, sasa baada wao kureview inaleta ujumbe wa kutopata ads kwa sababu ya lugha, naombeni msaada wenu.

"Your blog isn't ready to show ads and needs attention. You need to fix some things before we can connect AdSense to your blog. Check your email or go to AdSense to find out how to fix the issue"
 

We found some policy violations​


Make sure that your site follows the AdSense programme policies. After you've fixed the violation, you can request a review of your site.

Unsupported language​


We do not allow content that:
  • is not principally in one of the supported languages.
Review the full policy (including examples) in the Help Centre.
 
Kwanini utumie Adsense wakati old post ni za kiswahili ?
itakulazimu ufix manually au utumie Ezoic ni the best watakupa ads za adsense
 
Kwanini utumie Adsense wakati old post ni za kiswahili ?
itakulazimu ufix manually au utumie Ezoic ni the best watakupa ads za adsense
Manually una maanisha niziupdate old post zote ziwe kiingereza? na hiyo ezoic ni nini.naomba muongozo mkuu
 
Manually una maanisha niziupdate old post zote ziwe kiingereza? na hiyo ezoic ni nini.naomba muongozo mkuu
Ezoic ni Technical ad platform inatoa matangazo kwa google ad lakini inatumia matangazo ya adsense kwa kupitia AI.
kwahiyo Ezoic sio Ad platform ni technical ad na inalipa vizuri pengine kuliko adsense, haichagui lugha
 
Back
Top Bottom