Serikali imetoa wito kwa wananchi kubadilika na kuwekeza katika bima ya afya kama njia ya kujiandaa na changamoto za kiafya, ikiwemo gharama kubwa za matibabu ya magonjwa kama saratani.
Wito huo umetolewa Bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, alipokuwa akijibu swali...
Habari wana Jamii Forums,
Kama wewe ni mfugaji wa kuku au unapenda kujaribu idea mpya ili kukuza ufugaji wako kuwa wa kibiashara inayolipa, basi hii post ni kwa ajili yako.
Leo nakushirikisha kuhusu kifaa kinachoitwa W1219 Digital Temperature Controller — ambacho kinasaidia sana kutengeneza...
GHARAMA ZA KUTOKA NA MCHEPUKO
1.Usafiri 10,000
2.Chumba Lodge 30,000
3.Chakula + Vinywaji 30,000
4.Asante Kwa Kuja 50,000
Jumla 120,000 Brother Unaongeza Umasikini Tu Nyumbani Mpe Mke Hii 120,00 Uone Utakavyo Ombewa Na Kupata Zaidi Na Zaidi.
Aina ya Gari ni Toyota Premio
Body uya gari ipo fresh kabisa
Gari lilikuwa limekaa miaka mitatu bila kutumika, rangi imefubaa.
Makadirio ni bei gani, inaweza chukua muda gani, tagadhari, n.k.
Ni Jumamosi nyingine tena mamia ya maelfu ya wanaume wajinga duniani kote wanawafanya wanawake used kuwa wake zao kwa sherehe za mamilioni ya pesa.
Wanaume kadhaa walishaichapa bure kabisa na wanajua kuwa she ain't valuable for marriage.
Ila kuna simp leo anamfanya kuwa mke na kuspend millions...
https://youtu.be/Kf2DhWBoXUA
Katika mazingira ambayo wengi huamini kuwa "ufugaji wa kisasa ni kwa matajiri," Mzee Hashimu – afisa mstaafu kutoka Mwanza – anathibitisha kinyume chake. Akiwa na uzoefu wa maisha na ujasiri wa kujaribu vitu vipya, leo anafuga kuku wa Sasso kwa kutumia cage...
🗻✨ Unasikia wito wa Uhuru Peak? ✨🗻
Safari ya maisha yako inakusubiri… Mlima Kilimanjaro kwa siku 6 tu!
Kwa gharama ya Tsh 900,000 tu, Mtanzania unapata nafasi ya:
✅ Kupanda mlima mrefu zaidi Afrika 🌍
✅ Kuweka historia yako mwenyewe 📸
✅ Kukutana na marafiki wapya wa roho ya adventure 🤝
✅ Kuonja...
Tutakua wa mwisho kujibu matusi yenu dhidi ya Taifa letu na tutakua wa mwisho kuchukua hatua dhidi ya uchokozi wenu wa kichochezi dhidi ya amani yetu, but ni vizuri mkafahamu,
Kwa vivu mkubwa na uzalendo wa kiwango cha juu sana, tutailinda amani, umoja na usalama wa Taifa letu Tanzania bila...
Kama huu uwanja ni billion 12 na unabeba watu 16,000 na upo kenya
Basi kwa Tanzania tunaweza jenga kila mkoa mfano wa hiki kiwanja na tukafanya kikawa kizuri zaidi
Tufanye ni billion 16 kwa uwanja mmoja tuna mikoa 31 jumla ni sh billion 496,000,000,000/= hii inawezekana kabisa
Mimi nikiwa...
Faida za bando kuwa chini ni kubwa sana kuliko kuwa juu
Elimu kubwa sana itatolewa kwa wananchi namna ya kutumia Internet kwa mambo ya msingi na ya kuwafaidisha
RAIS DKT. MWINYI ABEBA GHARAMA ZOTE UWANJA WA AMAAN COMPLEX MECHI YA SIMBA DHIDI YA RS BERKANE
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametoa Zawadi Maalum kwa timu ya Simba Sports Club kwa kugharamia matumizi ya Uwanja wa New Amaan Complex bila...
Mfumo Nest ni mzuri sana sababu tenda zinakuwa wazi na nyaraka za tenda zinakuwa nazo wazi.
Ila gharama za ku apply tenda ndio zinaumiza sababu wazabuni wanakuwa wengi na hukikosa pesa imekwenda.
Kitu kingine mumeweza kuingiza shule nao wapitie kuomba kwenye Nest.
Ila tenda za walimu unakuta...
Habari wadau,
Wakubwa shikamoni, wengine habari zenu!
Naomba kujua gharama ya kusafirisha tani( 1000kgs) ya mchele kutoka Mbeya kwenda Kampala.
Na pia kama kuna mtu anafanya hii biashara genuinely na anatafuta soko nchini Uganda, tunaweza kuzungumza na kushauriana.
Asanteni.
Katika Maeneo yananipasua Kichwa eneo la Finishing ya nyumba ni Milango.
Yani kuna wakati natamani kuweka hata mabati, ilimradi Mlango
Naomba Wazoefu eneo hili mnisaidie Huwa mnafanyaje mkifika eneo la KUWEKA milango nyumba.
Gharama za mlango Mmoja Wa Mbao ya Mkongo inafika hadi 1m na zaidi...
Nina utamaduni wa kutembelea wagonjwa Hospitalini na katika jamii inayonizunguka. Katika hali iyo nimekuwa nakutana na wagonjwa wenye Changamoto mbalimbali.
Changamoto ya hivi punde ni Gharana za Upasuaji kwa wagonjwa waliopata ajali Na kuvunjika viungo Hospotari ya Rufaa Dodoma (General...
Hili jambo linahitaji tafakuri ya kutosha.
Kwanza, nianze kwa kusema kwa mtazamo wangu faida kubwa ya Simba kupata ndege kubwa ya serikali kwenda Morocco haipo kwenye kupeleka mashabiki au kupunguza ungaunga za njiani wakati wa kwenda Morocco. Faida ipo kwenye kurudi baada tu ya mechi na kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.