gharama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The introvert

    JamiiForums Tanzania Kupanda kwa gharama za vifurushi vya intanenti (2021) mpaka sasa

    Habari za muda huu wajuzi wa mambo. Sote tunajua ya kwamba teknolojia ndiyo kichocheo cha ukuaji wa kidijitali. Kwa sasa nchi yetu ni miongoni mwa nchi zenye idadi kubwa ya watumiaji wa intaneti hasa katika upande wa mitandao ya kijamii kwa miktadha mbalimbali. Kumbukumbu zinaonesha kuwa...
  2. 100 others

    JamiiForums Tanzania Sio Tamaa ya Madaraka, Bali Hofu ya Kulipa Gharama za Uovu

    Mtandao wa ufisadi, mauaji, wizi , utekaji, madili feki na kila aina ya uchafu ni mkubwa sana, ni chain ndefu na network kubwa sana. Na wanaofanya hivyo ni wanufaika ambao ni mawaziri, wakurugenzi, wabunge, wakubwa wa vyombo vya ulinzi na usalama , wafanya biashara wakubwa, makada, viongozi wa...
  3. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Gharama za iPhone mpya kuanzia 2007-2025!

    Hapo mwanzo, iPhone zilikua na bei ya kawaida tu. Ila sahivi.
  4. OLS

    JamiiForums Tanzania Je wajua kwa nchi zilizoendelea, kukopa na kununua kwa fedha taslim gharama ni sawa?

    Bongo imekuja huduma ya kukopa simu kwa sasa ambapo simu hizo zinalipwa kwa siku. Hili suala la kulipa kwa siku lenyewe kwanza ni mtihani lakini pia gharama ya simu inaongezeka mara dufu. Hivyo anayekopa hakuna kitu anaepuka, maana kama unalipa 2100 kwa siku ujumlishe na hela ya kifurushi maana...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Msaada gharama za kuanza clinic

    Gharama za kuanza clinic kwa mjamzito ni sh ngapi kwa dar na nkienda bila mwenza ntapokelewa? NB mwenza wangu alienda Congo hajrudi huu mwezi wa 5😭
  6. N

    JamiiForums Tanzania Ni chuma ulete ama ni gharama za maisha zimepanda? Sielewi

    Jamani najiuliza ni kwamba nimefungiwa jini chuma ulete ama ni gharama za maisha zimepanda mara dufu? Yani mpaka sasa hivi nimeshatumia elfu 17 na sijafanya anasa yoyote. Nimenuna sukari 500 Maandazi 2000 Majani ya chai 100 Mkaa 1200. Watoto hawajala mayai miezi sita na mmoja ni mgonjwa...
  7. Damaso

    JamiiForums Tanzania Gharama za michango ya harusi na sintofahamu ya chakula

    Hivi karibuni kwenye mijadala ya harusi, gumzo limekuwa kadi za mchango. Ukitazama kadi, single unachangia elfu 50, double elfu 90. Hapo mtu anajisikia kama amenunua Tiketi ya Mechi fulani, kumbe unakwenda kuwapiga tafu watu katika harusi yao. Lakini ukifika, unakutana na ujumbe kuwa: “Chakula...
  8. Heritage123

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyogundua machimbo yaliyofichwa Kariakoo na kuanza biashara yangu bila kuwa na stoki, duka wala gharama

    “Kariakoo sio soko. Ni vita ya akili. Wachache wanaotoka na faida ni wale wanaojua wapi pa kuchimba.” — Sehemu ya maneno niliyosikia kwa fundi mmoja nikiwa nimepotea Kariakoo mwaka 2019. KILICHONIKUTA SIKU YA KWANZA KARIAKOO Mwaka 2019 nilikuwa na wazo tu la biashara — kuuza viatu mtandaoni...
  9. Mad Max

    JamiiForums Tanzania EV zina gharama ndogo za uendeshaji kuliko magari ya ICE. Sema ngumu sana kumshawishi Mtanzania

    Wakuu, nimekutana na mjadala wa magari ya EV (electric vehicles) vs ICE (internal combustion engine) kwamba ipi ni afadhali kwa mtu mwenye mizunguko mingi (~km 50 hivi kwa siku). Mabishano yakikua kwenye issue kuu tatu, gharama za matengenezo, uendeshaji na uwoga wa battery kuchakaa. Najua kwa...
  10. AskariKanzu

    JamiiForums Tanzania KULEA MTOTO WA KIKE NI GHARAMA ZAIDI KULIKO WAKIUME

    Takwimu za Britain sainsbury bank, zinasema kuwa wazazi wenye watoto wa kike wanatumia zaidi ya dola 400 toka kuzaliwa mbaka umri wa miaka mitano tofauti na wazazi wenye watoto wa kiume. Sababu kubwa ni mavazi. Mavazi ya kike ni gharama zaidi ukilinganisha na yakiume mfano gauni, viatu, kofia...
  11. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Vyama vyaaswa kuzingatia sheria ya gharama za uchaguzi mkuu

    Akizungumza Jumatatu Agosti 18, 2025 Mwenyekiti wa baraza la vyama vya siasa Juma Khatibu katika Mafunzo kuhusu Sheria ya Gharama za Uchaguzi yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), mkoani Dar es Salaam, Khatibu amempongeza Msajili wa Vyama vya...
  12. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nakusanya Majina na viwango vyote vya fedha vya watu walioichangia CCM, nitayafikisha majina yao kwenye mamlaka zinazohusika na financial crimes

    Niko nakusanya Majina na viwango vyote vya fedha vya watu walioichangia CCM, kila mtu aliyesikika na atakayekuwepo humo ni complicity wa Ukiukwaji wote wa haki, Nikishakusanya hawa watu wote nitayafikisha majina yao kwenye mamlaka zinazohusika na financial crimes katika mataifa ya Ulaya na...
  13. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Maigizo Tanzania: CCM-A Vs CCM-B gharama Billion 700!

    Wana mtandao wa CCM wamefanikiwa kuteka taifa letu Sasa kwa gharama ya bilioni 700 za walala hoi muda ambao hakuna pesa za kuwalipa makandarasi wa barabara na reli nchi inaenda kwenye chaguzi za maigizo za chama tawala na chama sindikizi ambacho kilitengenezwa na mwana mtandao asilia Uchaguzi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kwa gharama nilizoingia kwenye vifurushi vya internet najilaumu sana kwanini sikutilia umakini kununua router za unlimited Internet

    Sijawahi kuwa na uhuru wa kutumia internet kama sasa baada ya kununua unlimited internet, Sina hofu ya kumaliza MB, sina haja ya kupunguza ubora wa video, siogopi video calls, sizikwepi post zeny video kwenye mitandao ya kijamii, n.k. kuna muda nilikuwa najiunga mpaka kifurushi cha elf 5 kwa...
  15. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Manispaa ya Kibaha Yapandisha Gharama za Vibali vya Sherehe Kuanzia Agosti 6

    Manispaa ya Kibaha imetangaza rasmi mabadiliko ya gharama za vibali kwa shughuli zote za sherehe na burudani zinazofanyika kwenye kumbi, ambapo kuanzia Agosti 6, 2025, wamiliki wa kumbi na waandaaji wa matukio watalazimika kulipia huduma mbalimbali kwa viwango vipya. Kwa mujibu wa tangazo...
  16. O

    JamiiForums Tanzania Gharama za kufanya sherehe zinazidi kuchangamka

    Barua hii inajieleza yenyewe.
  17. Knock life

    JamiiForums Tanzania Hivi gharama zilizotumika kuchora mawe nchi nzima. Je, hizo pesa alipata wapi?

    Yule jamaa aliyechora mawe nchi nzima , zile pesa alizipata wapi ?.
  18. Mangwea1900

    JamiiForums Tanzania Gharama kwa kila kosa

    Kanuni za dunia tunayoishi sio rahisi kuzielewa na wakati mwingine inachukua muda hasa baada ya kupitia mengi. Sasa nimeelewa ukweli wa kanuni hii "Every mistake has consequences". Hakuna kosa utakalofanya kwenye maisha yako lisiwe na gharama ya kulipa hata kama utatubu na kusamehewa na...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Watoto hawa niwafanyeje? Baada ya kuharibu TV sasa wamebamiza gari gharama za kurekebisha milioni 3

    Mwaka Juzi walidondosha TV ya Samsung ambayo nilijidunduliza na kujibana sana hadi kuinunua dukani kwa milioni 2 na nusu. Jana siku ya Jumapilii walibaki peke yao nyumbani tukiwa (na mke wangu) tumeenda kwenye shughuli ya kijamii, ufunguo huwa nauficha lakini wakagundua ulipo. Jirani...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Ninawaomba DStv wajitafakari kwa kupandisha gharama zao kila kukicha

    Imekuwa ni tabia ya DSTV kupandisha gharama zao kila kukicha. Juzijuzi kama mtu ulilipia compact ilitakiwa kulipa Tshs.60,000 leo hii malipo ya compact ni Tshs.67,000. Hawa watu wanatuona wajinga kwa kuwa hakuna mshindani. Ninaiomba Kampuni ya AZAM ione uwezekano wa kuchukua nafasi ya DSTV...
Back
Top Bottom