gharama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Mbowe usimwachie Lissu chama kwa utovu huu wa nidhamu, afadhali kifie mikononi mwako maana kilitokana na mikono yako na wananchi wenye nidhamu

    Kwa mwendo huu wa Lisu, atakiuza chama kwa Msigwa. Usiachie chama , lilwalo na liwe. Aanzishe chake na Heche wake! Na kwa kuropoka kwake, kutokuwa na kaba ya ulimi dola itakifuta. Samia atakifuta kwa sababu ambazo kila mmoja atazikubali na si kukionea. TULIPOFIKIA SASA YOU ARE THE LAST LINE OF...
  2. Now and then

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa kaka yangu wa kwanza (First born) amebamiza 'A' za kutosha za darasa la nne mpaka nimeogopa sana, tutafute pesa Elimu nzuri ni gharama

    Wakuu this is the first time nashuhudia kijana wa kaka yangu anafanya maajabu kama haya. Kiufupi nimefurahi sana huyu angekuwa st kayumba sijui kama angepata hata A moja Elimu nzuri ni gharama wakuu. Kila mwaka inatoka mil 5 Ila matunda ni mazuri. Ukiachana na hilo anaongea kiingereza Kama...
  3. Nelson Kileo

    JamiiForums Tanzania KERO Utaratibu wa gharama za parking ni mbovu sana kwa Arusha

    Inakuaje mtu hupatiwi ticket ? wanapita na machine kwenye magari wanakatisha parking lakini hawaweki karatasi kumjulisha mwenye gari kua amekatiwa Parking. Hii inasabaabisha madeni makubwa ambayo kiuhalisia mtu alikua hajui kama anadaiwa. Inasababisha Usumbufu mkubwa sana.
  4. trust 1

    JamiiForums Tanzania Gharama za sikukuu

    Wakuu mambo ni vipi!! Natumai mmemaliza msimu wa sikuu kwa nguvu zote!! Nilitaka tushee uzoefu wa matumizi kwa msimu huu wa sikukuu!!! Kwa upande wangu nilipanga kutumia laki 6 tu, ila wiki ya Christmas ikanivurugia hesabu kabisa maana nilikua mji wa masela wangu wengi, kunywa bia sana nakuja...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu gharama za special hire

    Wenye kufahamu gharama za kukodisha hizo gari coaster tokea dar mpaka moshi ,kwenda na kurudi.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa gharama ya msingi wa ghorofa moja

    Habarini ndugu zangu, Naomba kujua makisio ya gharama ya msingi na first floor kwa square meter. Naelewa gharama ya msingi inatofautiana na mambo mengi,ila kwa sasa nataka kujua makisio tu ya karibu na gharama halisi. Asanteni sana kwa mda wenu.
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Gharama za Dialisisi zapungua: Mashine mpya SWS 6000 zawezesha unafuu kwa wagonjwa wa Figo

    Ili kukabiliana na gharama kubwa ya huduma ya dialisisi kwa wagonjwa wa figo, Serikali imeingiza nchini mashine mpya aina ya SWS 6000 ambazo zimewezesha zishuke kutoka Sh250,000 mpaka Sh150,000. Mashine hizo moja ina thamani ya Sh31.76 milioni ambazo tayari zimefungwa katika hospitali za rufaa...
  8. MEK_TZ

    JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri katika ufugaji wa nguruwe

    Habari ya leo wana JF matumaini yangu tu wazima kwa uweza wa muumba atutiaye nguvu na uzima. Naomba kurejesha ombi langu juu ya kupata msaada namna gani naweza fanikiwa katika ufugaji wa nguruwe. Niliwahi andika uzi juu ya kutaka ushauri wa biashara ipi itanifaa kupitia mtaji/kiasi nilicho...
  9. F

    JamiiForums Tanzania OMBI MAALUM: Naomba kujulishwa gharama za ujenzi wa Ikulu ya Dodoma.

    Heri ya Krismas. Ikulu kuu ya Taifa ya Chamwino iliyopo Dodoma ni Ikulu namba moja duniani kuwa na eneo kubwa sana la Aridhi. Sijasema ni Ikulu kubwa bali ndiyo namba moja kuwa na aridhi kubwa iliyotengwa kwa eneo la Ikulu tu. Majengo tu yamechukua ekari nane na eneo kubwa sana bado limebaki...
  10. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Kwanini serikali haitaki wananchi wa vijijini wakatumia nishati safi ya kupikia kwa gharama ya shilingi sifuri?

    Tunashuhudia serikali ikigawa mitungi ya gesi vijijini ambako wananchi wanauwezo wa kupata nishati safi bila gharama yoyote. Wafugaji na wakulima wanayo mabaki ya vyakula na samadi ambayo yanaweza kutumika kutengeneza nishati safi, kinachohitajika ni serikali kuwapa vifafaa vinavyohitajika...
  11. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Gharama za kumiliki kifo

    Waswahel wa Pwani waliosema pesa mwanaharamu sijui ninini kiliwapa mpaka kuna na huo usemi Nijuavyo mimi ukiachana na mengine yote. Kuna kitu kinaitwa kichaa cha pesa! Pesa inachizisha watu na kuwafanya wendawazimu kabisa! Hata wewe ukizipata utawehuka hasa zikishakuwa nyingi na ziada kwa ajili...
  12. Nyumba Nafuuu

    JamiiForums Tanzania List y Ramani z Nyumba Zaidi y 450 Unazoweza Jenga TZ na Makadirio Gharama Yake (Nafuu, Kawaida, Bungalow, Ghorofa, Pangisha) Tanzania, Kenya, Uganda

    List hii ya nyumba 400 ambazo unaweza jenga... Vyumba 1, 2,3,4,5... Nyumba za gharama nafuu, kawaida za familia, bungalow, maghorofa, za kupangisha Mwaka Usiishie huja sogea mbele japo hatua moja kati ujenzi wako Piga/WhatsApp: +255-657-685-268 Siwezi Weka Details Zote hapa za nyumba 450 na...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Acheni uongo, nyama ya kuku anayekula majalalani. haiwezi kuwa bora kuzidi anayetunzwa ndani, mlo kamili, maji safi, matibabu,chumba safi cha umeme

    Acheni uongo, nyama ya kuku anayekula majalalani. haiwezi kuwa bora kuzidi anayetunzwa ndani, mlo kamili wa gharama, maji safi na kuhudumiwa kitabibu Kichwa cha habari chahusika Niwatakie siku njema
  14. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Kwanini gharama za kutuma pesa kutoka Akaunti ya benki kwenda mtandao ya simu ni kubwa sana?

    Hili suala limekaaje kitaalamu, mfano benki kama NMB ukitaka kutuma pesa kwa mtu kutoka kwenye Akaunti ya benki kwenda kwa namba yake ya simu Cha mtema Kuni utakiona. Je hii ni sawa wakuu? Kwanza gharama za makato hazionekani kabla ya kutuma pesa, ila utakutana nazo tu ukishatuma tayari. Hii si...
  15. Nyumba Nafuuu

    JamiiForums Tanzania Kabla ya Mwaka Kuisha - Fahamu Makadirio ya Gharama Ujenzi wa ile Nyumba Yako!

    Kwanini Ujenge kwa kukisia kisikisia? Uanze ujenzi wako bila kujua utahitaji nguvu kiasi gani... Utapata stress Kujua makadirio Ujenzi inakusudia kujua unahitaji nguvu kiasi gani kujua gharama Ujenzi kila steji kama msingi, kuta, paa... unapotaka kuomba mkopo benki wanahitaji ili wakupe mkopo...
  16. Optimists

    JamiiForums Tanzania Wakristo kuoa ni gharama sana, pamoja na kukomoana kwenye mahari.

    Nimejichanga nina milion 3 kwenye saving yangu, nilikua na malengo ya kuongeza million 2 nyingine niiwekeze sehemu, harakati fulani, hapa na pale pressure kutoka kwa wazazi juu ya kuoa, kila siku simu zinapigwa kuniulizia naoa lini, kitu ambacho sioni kwamba ni kibaya,.. Sasa kuna binti ambaye...
  17. G

    JamiiForums Tanzania SWALI: MAKADIRIO YA GHARAMA ZA UJENZI

    Ndugu Habari za majukumu? Mwenye uzoefu tafadhali, Je nikiasi gani cha weza kutumika kujenga nyumba yenye frame 3, ikiwa na sifa hizi. upana wa frame uwe wa wastani tofali za block bati za kawaida floor ya cement ceiling board ya kawaida Naomba kuwasilisha.
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Simba yatakiwa kulipa gharama viti kung'olewa kwa Mkapa

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamaganda Kabudi amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo kuwaandikia barua klabu ya Simba kuhusu ung'olewaji wa viti uliofanyika katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jana. Kupitia taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano serikalini...
  19. Ghaysh

    JamiiForums Tanzania OFA KWA WAJASIRIAMALI, TUNACHAPA(PRINTING) PRODUCT LABEL KWA GHARAMA NAFUU

    Je, wewe ni mjasiriamali na unajiuliza ni vipi utaongeza ubora wa bidhaa zako na kuongeza mauzo. Leo Digital Sprayer tunalo jibu la maswali yako. Tumekuletea huduma ya uchapaji(printing) na ubunifu(design) wa label za bidhaa za aina zote kwa gharama nafuu na ubora wa hali ya juu. LABEL NI...
  20. Mzee wa Code

    JamiiForums Tanzania Gharama za Maisha Dodoma: Mabadiliko ya Haraka Yanavyowatesa Wakazi Baada ya Serikali Kuhamia, na Ujio wa Sgr

    Gharama za maisha katika Jiji la Dodoma zimekuwa changamoto kubwa kwa wakazi wa jiji hili, hasa baada ya kutangazwa kwa uhamisho wa serikali kuu kwenda hapa. Hali hii imepelekea mabadiliko makubwa katika uchumi wa jiji, ambapo wenyeji wa zamani wa Dodoma walijikuta wakifurahia faida za muda...
Back
Top Bottom