gharama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Kama gharama za Ujenzi wa huu uwanja ni 12 Bilion za Kitanzania, basi nikiwa Rais kila mkoa utajengwa uwanja kama huu

    Kama huu uwanja ni billion 12 na unabeba watu 16,000 na upo kenya Basi kwa Tanzania tunaweza jenga kila mkoa mfano wa hiki kiwanja na tukafanya kikawa kizuri zaidi Tufanye ni billion 16 kwa uwanja mmoja tuna mikoa 31 jumla ni sh billion 496,000,000,000/= hii inawezekana kabisa Mimi nikiwa...
  2. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nikiwa Rais nitashusha gharama za bando kwa sh 500 utapata GB 1

    Faida za bando kuwa chini ni kubwa sana kuliko kuwa juu Elimu kubwa sana itatolewa kwa wananchi namna ya kutumia Internet kwa mambo ya msingi na ya kuwafaidisha
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi asema atabeba gharama zote za Uwanja wa Amaan katika Fainali ya Simba Vs RS Berkane

    RAIS DKT. MWINYI ABEBA GHARAMA ZOTE UWANJA WA AMAAN COMPLEX MECHI YA SIMBA DHIDI YA RS BERKANE Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametoa Zawadi Maalum kwa timu ya Simba Sports Club kwa kugharamia matumizi ya Uwanja wa New Amaan Complex bila...
  4. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Huyu demu nitampata kwa gharama yoyote ile

    Nimesha mdm tayari. Ni Mganda yupo Kampala. # Nilizaliwa kwa ajili ya kufanya starehe. # I am living my life to the fullest
  5. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa Nest jaribuni kupunguza gharama za malipo mnaumiza wazabuni wenu na nyiwe wenyewe

    Mfumo Nest ni mzuri sana sababu tenda zinakuwa wazi na nyaraka za tenda zinakuwa nazo wazi. Ila gharama za ku apply tenda ndio zinaumiza sababu wazabuni wanakuwa wengi na hukikosa pesa imekwenda. Kitu kingine mumeweza kuingiza shule nao wapitie kuomba kwenye Nest. Ila tenda za walimu unakuta...
  6. suzie _barbie

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua gharama ya kusafirisha tani (1000kgs)ya mchele kutoka Mbeya kwenda Kampala(Uganda)

    Habari wadau, Wakubwa shikamoni, wengine habari zenu! Naomba kujua gharama ya kusafirisha tani( 1000kgs) ya mchele kutoka Mbeya kwenda Kampala. Na pia kama kuna mtu anafanya hii biashara genuinely na anatafuta soko nchini Uganda, tunaweza kuzungumza na kushauriana. Asanteni.
  7. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Eti wakuu mbona miundo ya aina hii ya valenda watu hawaitengenezi tena, ni issue ya gharama au ni mabadiriko ya trend?

  8. CONTROLA

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje Kupunguza Gharama za Milango?

    Katika Maeneo yananipasua Kichwa eneo la Finishing ya nyumba ni Milango. Yani kuna wakati natamani kuweka hata mabati, ilimradi Mlango Naomba Wazoefu eneo hili mnisaidie Huwa mnafanyaje mkifika eneo la KUWEKA milango nyumba. Gharama za mlango Mmoja Wa Mbao ya Mkongo inafika hadi 1m na zaidi...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Tunauza Samsung A05 mpya kabisa kwa 225,000/= tu

    Karibu ujipatie simu aina ya samsung A05 mpya kabisa kwa gharama ya 225,000/= tu, Tunafanya delivery. Mawasiliano: 0748270719 Specifications Display Size: 6.7 inches, 108.4 cm2 (~82.1% screen-to-body ratio) Memory: 64GB + 4GB RAM Processor: Octa-Core Front Camera: 8MP Rear Camera: 50MP + 2MP...
  10. Chendembe

    JamiiForums Tanzania Mamlaka angalieni Changamoto ya Gharana za Upasuaji wa wagonjwa wa mifupa kwenye Hospitali za Umma.

    Nina utamaduni wa kutembelea wagonjwa Hospitalini na katika jamii inayonizunguka. Katika hali iyo nimekuwa nakutana na wagonjwa wenye Changamoto mbalimbali. Changamoto ya hivi punde ni Gharana za Upasuaji kwa wagonjwa waliopata ajali Na kuvunjika viungo Hospotari ya Rufaa Dodoma (General...
  11. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Je, mashabiki wa Simba wanaolalamika gharama za safari kwenda Morocco wana hoja?

    Hili jambo linahitaji tafakuri ya kutosha. Kwanza, nianze kwa kusema kwa mtazamo wangu faida kubwa ya Simba kupata ndege kubwa ya serikali kwenda Morocco haipo kwenye kupeleka mashabiki au kupunguza ungaunga za njiani wakati wa kwenda Morocco. Faida ipo kwenye kurudi baada tu ya mechi na kuwa...
  12. jerry spare parts service

    JamiiForums Tanzania Matengenezo ya magari na upatikanaji wa spare parts: Je, ni magari yapi yana gharama nafuu kuyahudumia Tanzania?

    Katika mazingira ya sasa ya kiuchumi, kumiliki gari kunahitaji uamuzi wa busara unaozingatia zaidi ya bei ya ununuzi. Gharama za matengenezo na upatikanaji wa vipuri (spare parts) ni mambo muhimu yanayopaswa kuzingatiwa kabla ya kufanya maamuzi. Ni aina gani ya magari ambayo kwa uzoefu wenu...
  13. M

    JamiiForums Tanzania KATA BIMA YA CHOMBO CHA USAFIRI KWA GHARAMA NAFUU

    0686153806 Kwa mawaailiano zaidi
  14. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua gharama za kupata hati ya kiwanja

    Natumaini nyote wazima, naomba kujua gharama za kupatata Hati ya kiwanja ambacho kimeshapimwa na kupatiwa block number, kiwanja kipo chanika. Au kama kuna mtu anaweza nisaidia nikapata nitashukuru Natanguliza shukrani
  15. B

    JamiiForums Tanzania Napenda kufahamu GHARAMA za kufyatua PAVEMENTS na kununua. Ipi ni nafuu?

    Wadau napenda kufahamu GHARAMA za kufyatua PAVEMENTS na kununua. Ipi ni nafuu. Je kwa kununua bei ya pavement moja ikoje.
  16. L

    JamiiForums Tanzania Nataka kiwanja cha hati lakini gharama za kufanya transfer naskia ni kubwa naomba ushauri

    Naomba ushauri kuna kiwanja nimekipenda kununua kina hati miliki lakini naskia gharama za kufanya transfer ni kubwa je nifanyeje ili kupunguza gharama au nitafute ambacho hakina hati militias nipime nitafute hati miliki
  17. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Kwa trend ya gharama za hospitali binafsi za Tanzania ikiendelea hivi tutawakaribia marekani ilihali sisi ni nchi maskini

    Mwaka jana kuna mtu kaenda kujifungua hospitali binafsi sitaitaja jina ila gharama zinawezafika hadi million 20 kuna mda unajiuliza tunaelekea wapi mbona wamepewa uhuru mkubwa sana Kumbuka hata marekani walianza hivi hivi sahivi ni kilio kwenye gharama za afya maelezo mengine yapo kwenye video
  18. B

    JamiiForums Tanzania Anaejua gharama na taratibu za kukodi ukumbi wa Nkurumah Hall kwa ajili ya social event

    Kwa anaejua gharama za kukodi ukumbi wa Nkrumah Hall pamoja na taratibu zake. With much thanks in advance
  19. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Vitu vinavyo ongeza gharama za ujenzi

    Gharama za ujenzi wa nyumba zinaweza kuongezeka kutokana na mambo kadhaa, kama vile aina ya udongo, muundo wa nyumba, na upatikanaji wa vifaa vya ujenzi. Pia, mipangilio ya kiwanja na miundombinu inaweza kuathiri gharama hizo. Mambo Yanayoongeza Gharama za Ujenzi wa Nyumba - Aina ya Kiwanja...
  20. Damaso

    JamiiForums Tanzania Gharama za kuweka Wallpaper ziwe za moja kwa moja

    Habari wanajukwaa! Poleni na hongera kwa harakati za maisha. Kuna jambo ningependa sana kulileta ili tutazame namna ya kupeana ushauri kuhusu biashara. Hivi karibuni kumekuwa na watu wengi wanaofanya biashara ya kutoa huduma ya kuweka ama kubandika wallpaper kwenye kuta ndani ya nyumba ama...
Back
Top Bottom