peleka kwa miguu au kata nauliYaani laki 2 ya kutoa ni 6,000 ? Aisee tuacheni kutumia haya mambo ni gharama sana kutuma pesa kwa mitandao
View attachment 3387022
Watanzania wengi sana hawalipi kodi, biashara nyingi sana hazilipi kodi,zilipishwe kodi,pesa ikibadili mikono sharti pawe na kodi, niliona sehemu black market economy tz 44% ya gdp,just imagine!Kuna namna viongozi wetu wamewishiwa ubunifu WA mapato