AZAM TV, ubora na gharama zenu haviendani

Bakulutu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
2,595
Reaction score
1,863
azamtvtz mnachotufanyia wateja wenu sio sawa, mumepandisha gharama za vifurushi mara dufu ila ubora wa picha ni ovyo kabisa sio HD kabisa , ukiangalia mpira ovyo kabisa hakuna ubora kabisa ni janja njaja. Pia kwenye mpira kuna tatizo la kamera zenu hazionyeshi matukio kila kona hasa offside.

Msitufanyie ubabe kwa sababu hamna mshindani kwenye matangazo ya mpira wa Tanzania, maisha yana badilika . Hiyo HD yenu ni uongo kabisa na muone aibu.
 
Game nyingi za mikoani camera zinatumika chache
 
Walugaluga tu hao nao,, niliacha kulipia liking'amuzi lao na tamthilia zao za kituruki, niliteseka kwwnye maandamano ila dstv ni the best picha zao ni HD haswa itabidi niunge juhudi huko multichoice
 
Game nyingi za mikoani camera zinatumika chache
Azam kuna namna wanazingua, mechi za simba na Yanga ikifanyika kwa mkapa wanaenda na camera nyingi japokuwa kuna namna wanazingua hasa kwenye position mana Kuna shots muhimu zinakosekana hasa za offside na goli la utata likitokea mfano ile mpira umeingia ndani ya goli na kurudi uwanjani bila kugusa nyavu.

Mechi za mikoani hasa hizi timu ndogo ndogo ndo upuuzi kabisa, wanakwenda na camera tatu tuu.
 
azamtvtz mnachotufanyia wateja wenu sio sawa, mumepandisha gharama za vifurushi mara dufu ila ubora wa picha ni ovyo kabisa sio HD kabisa , ukiangalia mpira ovyo kabisa hakuna ubora kabisa ni janja njaja. Pia kwenye mpira kuna tatizo la kamera zenu hazionyeshi matukio kila kona hasa offside.

Msitufanyie ubabe kwa sababu hamna mshindani kwenye matangazo ya mpira wa Tanzania, maisha yana badilika . Hiyo HD yenu ni uongo kabisa na muone aibu.
Pole sana mkuu, miswahili ndivyo ilivyo....haina customer care inayoeleweka. Mpira wa Yanga leo saa ngapi?
 
Hee juzi tu si mlisema azam picha zake ni hd, itv na eatv camera zao za zamani, ghafla sahivi imekuaje tena camera za azam zishapitwa na wakati
 
Hakuna majabu, mwanzo walianza kidogo vizuri wakaoandisha bei ya vifurushi . Sahivi hakuna HD kabisa ile quality ni below 1080 kabisa
 
azamtvtz mnachotufanyia wateja wenu sio sawa, mumepandisha gharama za vifurushi mara dufu ila ubora wa picha ni ovyo kabisa sio HD kabisa , ukiangalia mpira ovyo kabisa hakuna ubora kabisa ni janja njaja. Pia kwenye mpira kuna tatizo la kamera zenu hazionyeshi matukio kila kona hasa offside.

Msitufanyie ubabe kwa sababu hamna mshindani kwenye matangazo ya mpira wa Tanzania, maisha yana badilika . Hiyo HD yenu ni uongo kabisa na muone aibu.
Na ni majizi kwa sasa ukilipia kifurushi hayakupi huduma
 
Sionagi channel za maana kwao zile za tamthilia zenyewe zimejaa udini.

Ligi ya bongo sio mfatiliaji labda mashindano ya caf na yenyewe uzuri dstv wanaonyesha.

Bongo movie🚮
 
Back
Top Bottom