Binafsi. Natumia mbinu zifuatazo:
1. Sipigi simu ovyo unless kuwe na ishu ya msingi
2. Situmi hela kabisa kwa mitandao pia itokee dharura sana
3. Luku sijui nini naenda kununua physically kwa wakala
4. Hi mambo ya simu banking nimetoa kabisa
5. Nikitaka 50,000 natoka 400,000 mpunga naweka home...