gharama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Siasa isiingilie Uber na Bolt zipunguze gharama kwa wateja

    Tunajua Serikali inataka kupata mapato lakini kuna huduma mhimu kama usafirishaji na nishati nashauri zisingeguswa! Mfano Bolt miezi michache iliyopita mtu ukiwa na 20,000 unaweza kufanya safari 5 au 6 , kwa sasa 20,000 ni safari 1 tu na chenji inabaki kidogo ambayo huwezi itumia kwa safari...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Makadirio ya gharama na mapato ya ekari moja ya mkonge

    -Gharama za kuzalisha mkonge kwa ekari moja -Tathmini ya mapato kwa mavuno ya mwaka wa I -Tathmini ya mapato kwa mavuno ya mwaka wa II -Kipindi cha marejesho (Payback period) Kilimo-Biashara -Kilimo biashara ni nini? Kilimo-Biashara ni neno moja linalo unganishwa na maneno mawili neno KILIMO...
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Kwanini NHIF huwa haiendi na wakati linapokuja suala la gharama za matibabu?

    Gharama za matibabu huwa zinabadirika mara kwa mara kulingana na gharama za maisha zinavyobadiriki na Kinachopandisha gharama za maisha ni bidhaa muhimu kupanda gharama hususani mafuta ya dizeli na petroli. Mfano ni hii ya sasa kabla ya 2021 lita ya mafuta ya petrol haikuzidi 2300-2600. Kwa...
  4. Mwalimu interprises

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kupata mafanikio kwenye ufugaji wa kuku wa mayai

    Cage za kuku wa mayai. Layers Cage. ¹kutokana na mfumo wa cage zetu ulivyo boreshwa kuku watakuwa salama saana na kuepuka magonjwa kwa asilimia zaidi ya 85%. ²Usalama wa mayai ni 100% mfumo uliowekwa ni wa kisasa na kumfanya kuku asiyakalibie mayai. ³utafuga kuku wengi saana katika eneo...
  5. mngony

    JamiiForums Tanzania Mabango ya picha ya Rais kwenye shughuli mbalimbali haukuwepo kabla ya 2015. Uondolewe kupunguza gharama?

    Habari wakubwa, Kwa kumbukumbu zangu kama sijakosea kuanzia awamu ya 5 na hii ya sasa tuliyonayo shughuli za kitaifa anazohudhuria Rais zinambatana na mabago 'banners' makubwa yenye picha ya Rais pamoja jumbe au kaulimbiu kulingana na shughuli husika iwe maadhimisho, sikukuu za kitaifa na...
  6. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Joyce Kiria afunguka kusuka nywele kwa Tsh. milioni 5 na mumewe ndio hulipia gharama hizo

    Mwanaharakati wa masuala ya Wanawake Joyce Kiria amefunguka kuwa baada ya ndoa yake ya kwanza kuvunjika alisema hatoingia tena kwenye mahusiano ambayo yeye atakuwa na jukumu la kumtunza mume bali ni mwendo wa check ufike akupe matumizi kuanzia nyumba anayoishi, saa, nywele n.k Check uje hapa...
  7. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Uungwana: Rejesha gharama za kufanikisha mkopo uliopatiwa na rafiki, ndugu au jamaa

    Salaam Wakuu, Nataka nizungumzie tu chembe ya uungwana ambayo inaweza kuwa na manufaa makubwa maishani mwetu. Ni vema kuonesha uungwana unapopatiwa mkopo wa fedha na ndugu, jamaa au rafiki. Uungwana wa kwanza ni kuhakikisha una dhamira ya kulipa pindi unapokopa, kisha kupambana juu chini...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Gharama za kufanya finishing chumba kimoja (self contained)

    Naomba kujua makadirio ya gharama za kufanya finishing chumba kimoja Vitu vya kufanya Rough Floor Mlango wa mbao Mlango wa Alminium kwa ajili ya toilet Plaster Skimming Blandering Gypsum board Rangi Tiles chumbani Tiles toilet - juu na ukutano (toilet ina ukubwa wa 2.5m x 2.7m) Choo cha kukaa...
  9. Ilitara kimura

    JamiiForums Tanzania Gharama vifaa vya umeme kwa Dar es Salaam

    Habari zenu wana jamii naomba mnisaidie bei za hivi vifaa vya umeme kwa Daresalaam. Na kama naweza kuelekezwa duka specific linalouza jumla.
  10. H

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa TLS: Sungusia apinga Mawakili kupunguziwa gharama

    Sikiliza mahojiano yake kuhusu Mawakili kupunguziwa gharama, asema ni uamuzi wa kukurupuka
  11. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Mercedes-Benz yauza gari lenye gharama kubwa zaidi duniani (Tsh. Bilioni 330)

    Kampuni ya Mercedes-Benz, Ijumaa ya Mei 20, 2022 iliweka rekodi ya kuuza gari la gharama zaidi Duniani, ambalo ni Mercedes-Benz 300 SLR ‘Uhlenhaut Coupe’ ya mwaka 1956 kwa kiasi cha dola milioni 142.7 sawa na Tsh. bilioni 330. Kabla ya hapo gari aina ya Ferrari 250 GTO ya mwaka 1963 ndilo...
  12. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ya ushirikina yana gharama kubwa

    Ni huyu jirani yangu mama Sikujua hapa Kwamtogole. Alikwenda kwa mganga ili kumuweka sawa baba Sikujua asifurukute. Maganga alimpa mama Sikujua dawa ya kuweka kwenye maji ya kuoga. Siku ya tukio mama sikujua aliamka alfajiri na kupasha maji moto. Aliyapeleka bafuni akitangulia na sabuni ya...
  13. Stroke

    JamiiForums Tanzania Gharama ya chumba kwa siku ni Milioni 1.7 kwa Hoteli ya the Ritz Carlton iliyotumika na Msafara wa Royal Tour Marekani

    Msafara wa Royal Tour ulibahatika kufika New York Marekani katika hoteli ya the Ritza Carlton. Gharama kwa chumba cha kawaida kama ukikaa kwa siku zaidi ya moja ni dola mia saba sawa na shilingi za kitanzania milioni moja na laki saba. Ila kama ni usiku mmoja tu ni sawa na dola mia tisa ambazo...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Gharama za kupata kibali cha kusafirisha cereals kwenda nje ya nchi

    Salaam wakuu Naomba kujua makadirio ya gharama za kupata kibali kuweza kusafirisha cereals kwenda nje ya nchi. Je ni gharama gani naweza kuingia katika kufuatilia suala hili. Kama Kuna mtu ameshawahi kufanya hili au anafanya export hiyo naomba mrejesho wa gharama zake.
  15. C

    JamiiForums Tanzania Anayehitaji kujenga kwa gharama nafuu na kitaalamu bila kuibiwa naandaa BOQ/ makadirio kwa gharama nafuu

    Mimi Ni Quantity Surveyor au mtaalamu wa gharama za ujenzi . Tafadhali anayehitaji kujenga Kama tayari una ramani yako au utahitaji tu Nikuchoree na nikuandalie BOQ yaan makadirio ya materials yanayohitajika na gharama zake ili kuepuka kuingia gharama na kuibiwa na mafundi au kununua material...
  16. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania UVCCM tupo upande gani wa mjadala wa gharama za maisha?

    UVCCM KWENYE VITA YA MAFUTA TUPO UPANDE GANI? Na Elius Ndabila 0768239284 Mjadala mkubwa kwa Taifa letu ambao unashika kasi kila kuitwapo leo ni kupanda Kwa gharama ya maisha kuliko sababishwa na ongezeko la mafuta mara dufu. Mjadala huu umepamba moto Kwa miezi miwili na ushea sasa. Lakini...
  17. Planet FSD

    JamiiForums Tanzania Gharama za imported goods kuwa chini kati ya Tanganyika na Zanzibar sio jambo jipya

    Leo nimeona mjadala mkubwa umekuwa ukiendelea kuhusiana na utofauti wa bei ya lita moja ya mafuta kati ya Zanzibar na Tanganyika. Na picha zikisambaa mitandaoni kuonesha Zanzibar lita moja ni 2600+ TZS wakati Tanganyika ni 3100+ TZS, huku swali kubwa likiwa inakuaje bei iko chini Zanzibar...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa gharama za shimo la Choo

    Poleni na majukumu wa JF! Naombeni msaada wa kujua gharama za kujenga Shimo la Choo.
  19. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Serikali inatafuta njia mbadala za kupunguza gharama za maisha

    SERIKALI INATAFUTA NJIA MBADALA ZA KUPUNGUZA GHARAMA ZA MAISHA - MAJALIWA *Aitisha kikao cha kutathmini bei ya mafuta WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali inaendelea kutafuta njia mbadala ambazo zitapunguza gharama ya maisha kwa Watanzania kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta katika...
  20. tzhosts

    JamiiForums Tanzania Pata Websites pamoja na Email 5 kwa gharama 199,000/= kwa miaka 2

    Je, biashara yako IPO Mtandaoni? Tunatengeneza SIMPLE websites maalum kwa ajili ya Biashara ndogo ndogo. Kwa mwezi huu wa wafanyakazi unapata website pamoja na EMAIL 5 kwa gharama ya shilingi 199,000.Tovuti yako itakuwa hewani kwa muda wa miaka 2 na baada ya hapo utakuwa na unafanya malipo ya...
Back
Top Bottom