Ni usiku mida ya saa 2 usiku,namsikia mke wangu akimwambia mdada wa kazi fungua geti,akaenda kufungua,gari nyeupe ikaaingia.Sikuwa najua ni kina nani,ghafla naona watoto 2 mmoja wa kike na mmoja wakiume wanashuka kwenye gari,acha nishangae.Hamad,ni watoto wa binti yangu,na mama yao na mumewe...