ghafla

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ghafla iran imeanza kuchangamka! Tazama waalivyoishambulia ndege ya kivita ya IAF kwa ujasiri

    min -me secretarybird naona mmeamka sasa😁
  2. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Week hii imechangamka ghafla sana. Huku Israel na Irani wanadundana, ukiangalia kule Pakistan na Afghanistan napo pamoto.

    Warmongers msiishiwe mabando tu ila kazi kwenu😂😂
  3. Albano Daud

    JamiiForums Tanzania Ni nini maana ya T-shirt ya Mwakinyo..??

    Wana jamii wenzangu naombeni tafsiri ya ile T-shirt ya mwakinyo. Kwanini upande wa mbele na upande wa nyuma aweke picha tofauti.!?
  4. P

    JamiiForums Tanzania Miaka 12 na Renata: Safari ya Mapenzi iliyofika mwisho ghafla....

    Miaka 12 ya mapenzi, visa na mikasa nikiwa na Renata Sehemu ya kwanza Wadau kwa kuwa ni mwisho wa mwaka na nimeanza likizo nikaona bora niweke bandiko langu hapa jukwaani kuhusu mahusiano yangu yaliyodumu kwa miaka 12 na mwanamke aliyeitwa Renata lakini hatukufikia kwenye ndoa. Unajua...
  5. ngara23

    JamiiForums Tanzania Kushitakiwa kwa Mange, makosa ya uchumi, anaweza kurudishwa Tanzania kuhukumiwa na Mahakama zetu

    Inasemekana Mange wameshtakiwa hapo Kisutu Kwa makosa ya kiuchumi. Kumbuka Ahadi ya kwanza ya mwanasheria mkuu wa serikali ilikuwa kumrudisha na kumkamata Mange ambaye anaishi. USA na Sasa ni raia wa Marekani Sijui sheria za kimataifa zikoje, ikiwa nchi x itamtaka raia wako afike kushitakiwa...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Plate za SSH 2025-2030 zimepotea ghafla

    Hizi gari zenye plate Number pendwa sijui zimepotelea wapi
  7. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo Mwigulu leo ghafla pesa zimeacha kuwa za Samia na kuwa pesa wananchi? Gen-Z hakuna kulegeza kamba

    Wakuu Kila pesa ilikuwa ya Samia, samia kanunua hiki Samia kanunua kile, Samia kajengga SGR, Samia kajenga madaraja, Samia kajenga barabara, baada ya wananchi "kukiwasha" ndio mnajua kwamba hela ni za Watanzania? Leo ndio mnajua kwamba mwananchi ndio kila kitu baada ya kuona wananchi...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Ivii Umewai kujiuliza Internet Shutdown Inavyofanya Kazi Yaani kujiuliza Kwanini ghafla unakuta WhatsApp, Insta au net nzima Imekata Internet Shut

    Ivii Umewai kujiuliza Internet Shutdown Inavyofanya Kazi Yaani kujiuliza Kwanini ghafla unakuta WhatsApp, Insta au net nzima Imekata Internet Shutdowns ni moja ya silaha ya serikali nyingi za Afrika. Hii siyo net tu kukatika, ni maamuzi ya makusudi kudhibiti taarifa au kukata mtiririko wa...
  9. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Baada ya hotuba ya Polepole, ghafla video hii ya Magufuli inatrend...

    Baad ya hotuba ya Humphrey Polepole usiku wa Jana, video hii ya John Pombe Magufuli imetrend Sana..
  10. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya Mzize kukosa goli la wazi ndipo dili la nje likafutika ghafla

    Inasemekana timu iliyokuwa inamuhitaji ilikatisha ghafla mazungumzo na mipango ya kumchukuwa BAAADA YA KUONA KIJANA WETU AMEKOSA GOLI LA WAZI KWENYE MECHI YA TAIFA STAR Vs MOROCCO .
  11. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Nimepata furaha ya ghafla baada ya Morocco kuwatoa Taifa stars kwenye robo fainali ya CHAN 2024

    Naamini sio mimi tu, tupo wengi, ghafla tu nimepata furaha na faraja kubwa baada ya kushuhudia Taifa stars ikipata kipigo mbele ya Morocco baada ya kuchapwa goli moja kwa bila na kutolewa hatua ya robo fainali ya CHAN 2024. Hata sijui ni kwanini, lakini hii hali imetokea automatic tu. Natamani...
  12. Youbettersleep

    JamiiForums Tanzania Tulikuwa safarini kuelelea Kanani ghafla Mussa akafia jangwani..Watch hundreds ameturudisha misri kufyatua matofali ya prymd

    Matajiri waliokuwa na pesa za uhalali hukuwahi wasikia wakimlaumu huyu Mzee...Waliokuwa wanasema Mzee Magu hapatani na matajiri walikuwa hawamalizii ni matajiri wa aina gani. Magu ukimsifia saana anaanza kuwa na mashaka na ww. Mzee alikuwa hana chawa ila kazi yke ndio ilikuwa chawa. Leo Mkuu wa...
  13. whitehorse

    JamiiForums Tanzania Ujasiri umejipotea ghafla

    Hello Chit Chats Jamani jamani K kumbe inasura mbaya nina kastory kananiumiza kichwa nimevurugwa kisaikolojia kutokana maumbile ya hii eskanunu ahahahahah Yaani mimi K yangu imejaa mashavu ni manene mwili wangu kwa sasa ni wakawaida ila huwa nanenepa na kuna wakati huwa napungua ila K yangu...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Maziwa ya mama kukata ghafla

    Habari wanajamvi. Kuna mama ana mtoto wa miezi 4 na amepatwa na hali ya ajabu maziwa ya kumnyonyesha mtoto yamekata ghafla. Hii hali inasababishwa na kitu gani maziwa ya mama yakate ghafla?
  15. D

    JamiiForums Tanzania Kwa FX traders, mmeona dollar ilivyoanguka ghafla?

    Aisee, leo dollar imeanguka ghafla kwa yeyote ambaye alikuwa ana trade pair yoyote yenye dollar iwe gold, au currency kama alicheza vizuri atakuwa amekula profit kinoma. Sijui ni tarriff za bwana trump au aje maana imeruka kinoma.
  16. A

    JamiiForums Tanzania Leo ilibaki kidogo Hakimu aifute kesi ya Lissu, ila ghafla akapata hofu

    Leo wakati nafuatilia kesi ya uhaini dhidi ya Lissu, kutokana na hoja nzito za kisheria alizokuja nazo Lissu , ilifanya hoja za upande wa Jamhuri ukiongozwa na Bwn. Katuga, kuonekana hazina mashiko kabisa, hali hii ilimfanya hakimu aone kabisa kesi hii inafaa kufutiliwa mbali Leo hii, ila ghafla...
  17. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Nimewaharau ghafla Tupac na P Diddy ni baada ya kugundua ni mabingwa wa sampling

    Wakati Tupac anauliwa nilikuwa kidato cha pili,kwa umri huo nilikuwa navaa mlegezo na kitambaa kichwani,wenzangu walienda mbali kwa kutoboa masikio na kujichora tatoo Nilimkubali sana japo alisababisha nisifanye vizuri darasani kwa kukariri nyimbo zake badala ya masomo Miaka kadhaa nilibaini P...
  18. Determinantor

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kukatishwa ghafla kwa Mkutano wa CCM, Makala aliwekewe majina "feki"

    Habari nilizopata muda huu ni kwamba, Kikao hewa cha Makala kutangaza Majina feki ya wagombea feki kilikatizwa ghafla baada ya kutonywa kuwa :"Mkeka" aliokua anatakiwa KUSOMA ulikua sio wenyewe uliokuwa umeandaliwa.... Aliyeuza cheni feki kapewa pesa feki, Ngoma droo. haya majitu ni majizi proMax
  19. Nikola24

    JamiiForums Tanzania Nimeota ndoto ghafla nikaanza kucheka sana nikiwa usingizini.Nisaidieni kutafsiri

    Niliota Kuna mwanamume shupavu amebeba bunduki.Nikajifanya nimekufa lakini huyo mwanaume alijaribu kunipiga risasi ya mguu. Nilisimama ghafla na kuanza kukimbia. Mwanaume yule alivyatua risasi ila nilizikwepa. Nikashangaa Kuna wanaume wengine wawili walinizunguka wakinipiga risasi lakini nilizi...
  20. RoadLofa

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna madhara gani kuacha pombe ghafla?

    Mambo vipi wadau? Kama mnakumbuka kwenye tar 16/2025 nilileta uzi wa kuomba msaada wa kuacha pombe ,sasa kuanzia siku iyo sijanywa pombe baada ya kuzamilia kuacha kabisa ila sasa kuna shida imejitokeza yaani nasikia homa ,kichwa kuuma ,usiku nikilala ndoto kibao za ajabu ajabu , mwilini naskia...
Back
Top Bottom