Wazee tafuteni hela mnunue magari,ni muhimu sana kuliko mnavyochukulia.
Siku moja niko zangu club moja hapa mji pendwa unaoongoza kwa raha za kila aina hapa Tanzania.Mara hatua kama 5 hivi nikamuona mrembo matata mwenye shepu ya kike hasa, sura yenye kuvutia na rangi ya kichaga kaketi pekee...