gari

  1. Je, Sokoine alikufa kwa ajali ya gari, Au aliuawa kwa kupigwa risasi 18 kifuani?

    Je, nani anasema ukweli kuhusu kifo cha Sokoine.!? Ni Nyerere aliyedai alikufa kwa ajali ya gari, lakini hakutaka kabisa watu wahoji wala kuchunguza ajali hiyo ilikuwaje au tumuamini Dr. Shaba aliyewahi kudai kwamba wakati anamfanyia postmortem alitoa risasi 18 kifuani..!? Nani alisema ukweli na...
  2. F

    Wazoefu wa Bima ya Magari: Je, ukinunua online sticker unafata wapi?

    Habari wadau.. Gari limeisha bima leo na niko bush hakuna ofisi za kampuni za bima.. nataka ninunue online kwa sim banking.. Ila najiuliza sticker naipataje? Maana kesho narudi mjini sitaki usumbufu wa traffic njiani
  3. M

    Natafuta gari kati ya aina ya corola (toleo lolote zile old model)

    Natafuta gari kati ya aina ya corola (toleo lolote zile old model), toyota duet, carina old model, vitz zile za zamani au aina yoyote ile namba A, B au C itakayokua ya bei rahisi (3-2 mil), kwa mwenye nayo na akikubali malipo kidogo kidogo tuwasiliane 0688066177
  4. TANZIA Padri Baptist Mapunda afariki dunia kwa ajali ya gari

    Wapendwa katika imani tumsifu Yesu kristo. Father Baptist Mapunda wa Kanisa Katoliki Parokia ya bikra Maria Usagara Jimbo Kuu la Mwanza amefariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea huko Usagara nje kidogo ya jiji la Mwanza. Fr Mapunda alifikwa na umauti huo tarehe 3 ya mwezi huu na mazishi...
  5. Naomba Kujua Ipi ni Injini Nzuri ya gari kati ya Petrol ama Diesel

    Wakuu Salaam. Naomba Kujua Faida za Injini ya Petrol pia za Diesel. Na Je, ni Injini ipi bora kati ya hiz mbili. Interms of Durability na Performance. Naombeni Michango yenu.
  6. Je, na umekuwa ukiipuzia taa ya tahadhali kwenye gari yako?

    JE? WEWE NI MIONGONI MWA WANAOZIPUUZA TAA YOYOTE YA TAHADHALI KWENYE GARI YAKO. ✓Taa ya tahadhali Ni aina ya taa inayowaka katika gari yako inayotumika kukupa taarifa ufanyaji kazi usiokiwa wa kawaida(mbaya) katika gari yako mapema ili uweze kuchukua hatua. Mfano wa taa hizo Ni Kama taa ya check...
  7. Kwanini madereva wa mabasi ya mikoa wanasimamisha gari za abiria hotel za bei mbaya?

    Serikali yetu hembu tusaidieni sisi wanyonge na hii tabia ya madereva inazidi shamiri sna kwa wale ndugu zetu wanao safiri mikoa ya mbali #Dar_to_mwnza, #Dar_to_mbya, #Dar_to_kgma, #Dar_to_Arusha kuna tabia na utaratibu wa mabasi walio jiwekea bila kuhofia abiria wao na sio rafiki kabisa...
  8. Tahadhari: Mbinu wanayotumia vibaka kufanya uhalifu kwenye sherehe, hasa harusi

    Kwenye Sherehe za harusi na mikusanyiko ya jamii, vibaka sasa wanakwenda kwa Mshehereshaji kutangaza matangazo kama vile "gari yenye usajili namba fulani imezuia njia" Unapotoka kwenda nje ya gari lako unakuta watu wenye bunduki wakijua kuwa una funguo za gari, wanakuamrisha kuendesha gari nje...
  9. Zifahamu sababu chache za gari zinazitumia Diesel kuwa bei juu

    SABABU ZA GARI YA DIESEL KUA BEI JUU KULIKO PETROL Na Kimomwe Motors (T) Ltd- Waagizaji Magari 1. Uzito wa mafuta ya Diesel unaopelekea gari kutumia mafuta chini zaidi kwa wastani wa asilimia 15 mpaka 20 kulinganisha na gari za Petrol. Mfano, BMW X5 ya Diesel Cc 3000 inakadiriwa kwenda km 11...
  10. Mvua ikinyesha utakimbilia nini kati ya hivi viwili?

    Kuna upendo wa ukweli ila kuna vitu lazima uweke upendo kati ukajisitiri. Mvua kubwa inanyesha ukapewa lift na bado mchumba au mume anamwamvuli utaenda na gari au na mwavuli na mpenzi wako.
  11. M

    Natafuta gari ndogo

    Habarini wanaJf, natumai mu wazima wa afya. MwanaJf mwenzenu ninatafuta gari ya kufanyia biashara ya kusafirisha abiria kwa njia ya mtandao, lengo ni kujikwamua kiuchumi kwa kipato cha halali kama kijana. Leseni na account za uber, bolt na nyinginezo, ninazo, na napatikana Daresalaam...
  12. Kipi kimesababisha bei za mafuta kupaa hivi?

    Huko uliko bei ya mafuta ya petrol ni Tsh ngapi? Hali imeanza kuwa Tete baada ya kupanda Kwa bei ya mafuta. Hali ikiendelea hivi, tutamkumbuka Magufuli mara kumi. Serikali isipo angalia jambo hili, tunaelekea kusikojulikana.
  13. TBS bila rushwa gari lako halitoki bandarini

    Viongozi husika mtazame hili sula sasa imekuwa too much ukiagiza gari kwenye ukaguzi bandarini TBS lazima waandike dosari eti ukarekebishe ndio wakupe kibali lakini hata urekebishe vipi bado watakosoa Hawa watu wameanzisha kamfumo hako lengo uwape rushwa tu na rushwa wanajia nyingi za kupokea...
  14. H

    Natafuta gari ya kuendesha kama uber driver

    Salaam wakuu. Mimi ni kijana wa umri wa miaka 24. Naishi Dar es salaam, natafuta mtu mwenye gari ndogo ambaye anaweza kufanyia biashara ya uber. Uaminifu na juhudi ya kazi hapa ndio mahala pake.kwa yeyote anayehitaji dereva wa kazi hiyo anitafute kwa namba 0759429980. Shukran.
  15. Gari hii inafaa?

    Naomba wataalam mje hapa uimara wake uko vipi na mapungufu ya hii gani na vipi road Ina balance hata ukiwa kwa mwendo mkubwa?
  16. Sahihi kwa Askari kukagua Gari likiwa gereji?

    Hawa jamaa Askari wa usalama barabarani sasa wamehamia Gereji kabisa wanakagua madeni ya magari imekuwa kero kwa mafundi ni kwa vile tu hawana pakusema, wakikuta linadaiwa wanakomaa na fundi muhusika anauelitengeneza. Kwakweli nimewashuhudia Gereji mara nyingi sana na mafundi wamekuwa...
  17. M

    Natafuta Tajiri wa Gari ndogo

    Habarini humu ndani, Mimi ni dereva natafuta tajiri mwenye gari ndogo, nifanye nae kazi mkataba ama hesabu ya siku. Asanteni
  18. Mwenye uzoefu na gari hizi: Raum New Model, Suzuki swift, Ist. Anitajie changamoto zake

    Mwenye uzoefu na gari tajwa hapo juu, naomba anitajiechangamoto zake. Nataka kununua miongoni mwa gari hizo. Najua humu wapo wazoefu na ambao wamewahitumia miongoni mwa gari hizo. Nawasilisha
  19. D

    Nwezaje kuagiza nchini gari bovu kwa ajili ya kukata na kupata spares?

    Niko nchi fulani ambako kuna salvage cars. Nia yangu ni ku deal na spare Tanzania, hivyo nafikiria kusafirisha haya magari hadi Tanzania na kuyakata ili kupata vipuri. Kutenganisha vipuri nikiwa huku kutanigharimu sana kwenye gharama za kutenganisha na usafiri. Inatakiwa nifanyeje? TRA...
  20. Zipi ni Spark Plug sahihi kwa gari lako?

    Zipo spark plug za aina nyingi sana. Yapo mambo mengi sana yanayoweza kutofautisha spark plug za gari na gari jingine. Mambo hayo ni 1.Material yaliyotengeneza hizo plug (iridium copper n.k) 2. Urefu wa thread (nyingine zinakuwa na thread ndefu nyingine fupi) 3. Gap (nyingi zina gap la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…