Athari za kutoa masega kwenye gari (catalytic converter)

JituMirabaMinne

JF-Expert Member
May 4, 2020
3,327
9,325
Bila Catalytic Converter kuna sumu zinazotoka kwenye moshi ambazo zitakuwa zinaingia kwenye hewa.

Sumu hizo hazifanani kulingana na aina ya engine,

Engine za petrol hutoa Hydrocarbons, Carbon monoxide pamoja na Oxygen gas.

Engine za Diesel hutoa NOX, Oxygen gas pamoja na Carbon dioxide kidogo.

Kazi CAT converter huwa ni kuconvert sumu hizi ili kuwa gases ambazo hazina madhara sana.

CAT converter huwa inakuwa na material aina ya Palladium, Platnum au Rhodium.

Kwenye CAT converter huwa zinafanyika reactions za Aina mbili

1. Oxidation
Hapa Hydrocarbons na Carbon monoxide hugeuzwa kuwa Carbon dioxide na maji.

images.png

2. Reduction
Hapa Nitrogen Oxide na Nitrogen dioxide hugeuzwa kuwa Nitrogen gas na Oxygen gas.

images (1).png

ATHARI ZA CAT CONVERTER KUTOLEWA.

Athari za kutoa CAT converter kwenye gari zimegawika katika makundi mawili.

1. Athari kwa mazingira
2. Athari kwenye gari

ATHARI KWA MAZINGIRA

Kwenye gari yoyote ambayo ina CAT converter, kazi yake huwa ni kuchuja hewa chafu ambazo zikiingia kwenye anga zinakuwa na athari kwenye ongezeko la joto duniani hewa hizo ni

1. Carbon monoxide

2. HydroCarbons

3. NOX (Nitrogen monoxide na Nitrogen Dioxide)

Lakini pia zina athari zingine kwa viumbe wanaoishi duniani.

ATHARI UPANDE WA GARI
Kwa gari za petrol, athari hizi zitaonekana kwenye gari ambayo imefungwa Oxygen sensor kwenye CAT converter au baada ya CAT converter.

Uwepo wa Oxygen sensor baada ya catalytic converter inaweza kusense kwamba kiasi kikubwa cha Oxygen gas kinapita iwapo tu catalytic converter itaondolewa (rejea emission inayotoka bila catalytic converter).

Kitendo cha Oxygen gas nyingi kuwa detected kinatafsiriwa na Control Box (ECU) kwamba mafuta mengi yanaingia kwenye engine hivyo ECU itaforce mafuta yanayokuja kwenye engine yapungue (kwa kupunguza muda wa nozzle kuwa wazi).

Ndio maana gari zingine ukitoa masega lazima iwe na misfire.

Kwa gari za Diesel Athari zitaonekana kwenye gari ambayo ina NOX sensor. Mathalani gari zenye mfumo wa Adblue na huo mfumo ukileta shida gari huwa haiwaki.

Karibu tukufanyie Computer diagnosis na tukurekebishie matatizo ya gari lako. Hata kama tatizo umedumu nalo kwa muda mrefu. Gari yoyote ndogo kampuni yoyote.

Instagram: @Car_diagnostic_solutions_tz
Facebook: @Cardiagosticstz

Tupo Dar, Magomeni Mwembechai.

Tupigie 0621 221 606.
 
View attachment 1945071

2. Reduction
Hapa Nitrogen Oxide na Nitrogen dioxide hugeuzwa kuwa Nitrogen gas na Oxygen gas.

View attachment 1945072

hapo napingana na ww kidogo sana ..kwanza kwenye athari ukitoa masega kitakacho tokea air fuel ratio itapotea itakayokuwa inasomwa kwenye gari na oxygen sensor kitakachotokea hapo ECU ita adjust kiasi cha mafuta itaongeza ili kubalance ratio iwe sawa..hapo kwenye upande wa umeme na ecu itakuwa sawa lkn kiuhalisia kuna kuwa na tofauti kidogo ndio maana unakutana na miss

pili kuna faida kubwa sana kutoa masega kuliko yakiwepo..

kwenye gari ambayo imetolewa mafuta ulaji wa mafuta hupungua na nguvu huongezeka ..

boss ukikutana na gari imetolewa masege usipate shida wasiliana nami nitakutolea au kukufanyia CAT OFF/REMOVE kitaalam kabisa kwenye MAP ya ECU yako na hakuna miss wala ulaji wa mafuta...hasa kwenye gari kichaa kama za toyota ecu za DENSO nipo na deal tool..

0717228064.

JO AUTO TECH
 
Hebu twende sawa hapa.
Umesema air fuel ratio ikipotea ECU ita adjust (ongeza) kiasi cha mafuta ili kubalance ratio.
Halafu kwenye faida ya kutoa masega unasema itapunguza ulaji wa mafuta... Is you me? Are me you? I mean are you me, no wait, is you I?
 
Hebu twende sawa hapa.
Umesema air fuel ratio ikipotea ECU ita adjust (ongeza) kiasi cha mafuta ili kubalance ratio.
Halafu kwenye faida ya kutoa masega unasema itapunguza ulaji wa mafuta... Is you me? Are me you? I mean are you me, no wait is you I?
yes yes yes..hapo kwenye kutoa masega .usiumize sana kichwa upo na simu unatumia internet ka google advantege ya kuremove CAT na DPF .

na pia hapo kwenye masega kutoa mm hapo nazungumzia kutoa kitalaam sio kiholela..unatoa masega harafu unakwenda kwenye MAP ya ECU una remove/tune cancel CAT ondoa ocygen sensor..

hapo nilipozungumzia ishu ya ecu kuongeza mafuta nilikuwa namrekebisha fundi wangu kwenye point yake kwamba ecu inapunguza mafuta bali kuwa ikidetect ratio ya hewa ni nyingi basi huwa ina ongeza mafuta na ndio hapo gari zilizotolewa masega bila kufanyiwa tunninga kwenye ecu huwa zinakula mafuta..lkn ukifanya kitalaam utakutana na faidia zaidi mbali ya hasara moja tu ya uharibifu wa mazingira ambayo hiyo huku kwetu haina mashiko.coz gari zote zinazokuja huku kwa wenzetu zishakosa sifa ya point ya mazingira
 
hapo napingana na ww kidogo sana ..kwanza kwenye athari ukitoa masega kitakacho tokea air fuel ratio itapotea itakayokuwa inasomwa kwenye gari na oxygen sensor kitakachotokea hapo ECU ita adjust kiasi cha mafuta itaongeza ili kubalance ratio iwe sawa..hapo kwenye upande wa umeme na ecu itakuwa sawa lkn kiuhalisia kuna kuwa na tofauti kidogo ndio maana unakutana na miss

pili kuna faida kubwa sana kutoa masega kuliko yakiwepo..

kwenye gari ambayo imetolewa mafuta ulaji wa mafuta hupungua na nguvu huongezeka ..

boss ukikutana na gari imetolewa masege usipate shida wasiliana nami nitakutolea au kukufanyia CAT OFF/REMOVE kitaalam kabisa kwenye MAP ya ECU yako na hakuna miss wala ulaji wa mafuta...hasa kwenye gari kichaa kama za toyota ecu za DENSO nipo na deal tool..

0717228064.

JO AUTO TECH

Yes engine inafanya compasation ya mafuta lakini huwa haifanyi compesation ya Hewa au spark.

Ukiadjust mafuta bila kuadjust hewa au spark unacause imbalance kwenye engine.

Kama unabisha tafuta gari yoyote ambayo ni D4 (hizi engine huwa zipo sensitive sana).

Nipigie 0621221606 nije nifanye mojawapo ya vitu ambayo vinafanya system iwe lean.

Halafu uone hiyo compasation inakuwa na msaada gani.

Gari itamisi sana.

Speaking from experience.
 
utakavyo kufanya ww ni hardwere na lazima kitakuwa detected kwamba kuna problem mahali..

control ndio huwa inafanya kazi ya kuadjust mafuta kutokana na taarifa inayopokewa kutoka kwenye oxygen sensor itakachofanya inaongeza kiwango cha mafuta..

so we ukitaka mambo yawe sawa kwenye gari zilizotolewa masege unakwenda kucancel kabisa CAT /oxygen sensor. na mambo yanakuwa sawa kabisa..

ww sio mpaka nikupigie weka hayo majuzi hapa kwa faidia ya wote ..maana kwenye gari matatizo ya umeme sijajua ni shida gani nitashindwa kulekebisha...kama gari za Japan ndio hazisumbui kabisa na ndio gari ngumu kutengeneza sio kama gari za Europe lkn mafundi wengi wanasema na kuchanganya kwamba gari za Europe ni hatari..fundi wa gari za Japan akianza tengeneza gari za Europe anakuwa hatari na mzuri sana lkn fundi wa gari za europe hagusi gari za japan
 
utakavyo kufanya ww ni hardwere na lazima kitakuwa detected kwamba kuna problem mahali..
Hapa nakubaliana na wewe. Ukitoa masega pia kilichofanyika kitakuwa ni hardware, so before hiyo CAT/oxygen sensor off na ndio maana unaweza kuona misfire. Ila siyo kila problem itakuwa detected as you think, I can mess up with O2 sensor ukahangaika na hiyo gari sana.
control ndio huwa inafanya kazi ya kuadjust mafuta kutokana na taarifa inayopokewa kutoka kwenye oxygen sensor itakachofanya inaongeza kiwango cha mafuta..
Okay hapa bado nasisitiza kukiwa na tatizo compasation ya mafuta inafanyika, ila hakuna compasation ya hewa au spark.

ww sio mpaka nikupigie weka hayo majuzi hapa kwa faidia ya wote ..maana kwenye gari matatizo ya umeme sijajua ni shida gani nitashindwa kulekebisha...kama gari za Japan ndio hazisumbui kabisa na ndio gari ngumu kutengeneza sio kama gari za Europe lkn mafundi wengi wanasema na kuchanganya kwamba gari za Europe ni hatari..fundi wa gari za Japan akianza tengeneza gari za Europe anakuwa hatari na mzuri sana lkn fundi wa gari za europe hagusi gari za japan

Kwenye suala la kufanya system kuwa lean au rich suala tu la kucheza na parameters ambazo huwa zinasababisha hayo. Ziko nyingi.

Matatizo ya umeme especially tatizo ambalo mtu amecreate linaweza kukutoa jasho, yes unaweza kusolve ila huenda ikawa kwa maximum resources. Hasa mtu akicreate tatizo ambalo lipo related na system is too lean, system is too rich, au Random misfire.

Yes nimewahi kuongea hicho kitu pia kwamba kuna urahisi wa kurekebisha gari za mzungu ukilinganisha na gari za Asia.
 
Jamaa yangu alikuwa quoted 9000 usd, for a Man truck exhaust box with Nox sensor. Hapo item ipo ulaya haijasafirishwa kuja dar na bado TRA hawajaongea lao.

Huko kwenye malori ndio staki hata kuzungumza....,Maana ni balaa.
 
Jamaa yangu alikuwa quoted 9000 usd, for a Man truck exhaust box with Nox sensor. Hapo item ipo ulaya haijasafirishwa kuja dar na bado TRA hawajaongea lao.
angekuja angefanyiwa kwa bei chee hizo zote unatoa na kuweka off maisha yanasonga
 
Mkuu LEGE leo umenifungua ufahamu kuhusu Oxy sensor.

Kuna jamaa yangu alinunua gari kwa mtu aina ya toyota akakuta wire wa oxygen sensor upo disconnected/ umechomolewa akaurudishia, ila taa ya exhaust ikawa inawaka muda wote.

Kwa mujibu wa maelezo yako itakuwa wali disconnect oxy sensor baada ya masega kuibwa.
 
Yes engine inafanya compasation ya mafuta lakini huwa haifanyi compesation ya Hewa au spark.

Ukiadjust mafuta bila kuadjust hewa au spark unacause imbalance kwenye engine.

Kama unabisha tafuta gari yoyote ambayo ni D4 (hizi engine huwa zipo sensitive sana).

Nipigie 0621221606 nije nifanye mojawapo ya vitu ambayo vinafanya system iwe lean.

Halafu uone hiyo compasation inakuwa na msaada gani.

Gari itamisi sana.

Speaking from experience.
Hukisema gari yeyote ambayo ni D4 una maana gani
 
Back
Top Bottom