Twaha Kiduku aondoka na gari baada ya kumtwanga Dullah Mbabe

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,007
9,873
Leo kama kawa nitakuwa nawaletea updates za pambano hili ambalo kimsingi mmoja ataondoka na gari. Aidha kutakuwa na mapambano kadhaa ya utangulizi.

===
TWAHA KIDUKU AMTWANGA DULLAH MBABE, AJINYAKULIA GARI

Bondia Twaha Lubaha maarufu Twaha Kiduku amejinyakulia gari baada ya kumtwanga Abdallah Pazi maarufu Dullah Mbabe. Lilikuwa pambano la round 10 na Twaha ameshinda kwa pointi

Pambano ni la marudio baada ya Dullah kuona alipigwa kwa bahati mbaya Morogoro


1629478581742.png
 
Back
Top Bottom