gari

  1. D

    Car4Sale Nauza gari yangu ruksa kuvunja pia

    TOYOTA KLUGER Gari ni yangu mwenyewe haina shida yoyote CC 2360 Millage 92,000km - Original Safari Leather Seat New tyres Sports reams 18.5m-inapungua call/Watsapp 0715140001
  2. M

    Haji Manara amepata ajali usiku wa kuamkia leo

    "Nimenusurika katika Ajali mbaya baada ya Gari yangu Kugongwa vibaya Usiku wa Jana", Haji Manara. === HAJI Manara amepata ajali usiku wa kuamkia leo baada ya gari lake kugongwa na kuharibika "vibaya". "Usiku wa jana nilinusirika na ajali mbaya ya gari baada ya gari yangu kugongwa vibaya na...
  3. Car4Sale Jipatie Gari hii Manual Gear kwa milioni 3.5 tu

    Gari manual ni chache sanaa. wahi hii usiikose. Haina tatizo lolote na inatumika mpaka sasa. Cc 1600 engine 7A full ac. call 0683011003.. Dar es salaam
  4. Ni aibu kubwa sana kwa Wilaya kongwe ya Kyela kukosa gari la Zimamoto

    Kyela ni miongoni mwa Wilaya kongwe kabisa za Tanzania , lakini ni Wilaya ya mwisho kabisa kufaidi keki ya nchi hii , kwa miaka yote tangu uhuru imeongozwa na Wabunge wa ccm tu , akiwemo yule mmoja aliyetamba hadharani kwamba ANAMILIKI DIGRII 4 na wala hana njaa yoyote . Halmashauri ya Wilaya...
  5. Punguza gharama za kutumia mafuta kwenye gari lako. Sasa unaweza kutembea kilomita 180 kwa gharama ya Tsh.15,000 tu

    Kwa wale wamiliki wa magari ikiwa umekuwa ukiwaza ni namna gani utapunguza gharama za matumizi ya mafuta kwenye gari lako BASI UJUMBE HUU UNAKUHUSU. Tumekuwa tukilalamikia juu ya gharama za mafuta katika kuhudumia magari yetu ila kwa sasa mkombozi amewasili. Gharama za maisha zinapanda kila...
  6. R

    Hii gari niliyonunua sijapigwa hapa?

    Sina haja ya kueleza mengi. Mtakumbuka mwanzoni mwa mwezi huu nilikuja hapa kueleza kuwa nina nia ya kununua gari kutoka kampuni ya wauzaji SBT japani. Ni mara ya kwanza kuagiza ktk kampuno hii. Nimezoea Beforward. Baada ya kufanya process zote za malipo na gari yangu kuaninishwa kama tayari...
  7. A

    Kuagiza gari na autocom Japan

    Habarini wana jamvi, Naomba kujua ubora wa gari kutoka kampuni ya autocom japan maana naona bei zao ni nafuu kidogo ukilinganisha na wauzaji wengine (Befoward & sbt). Je, nini kina chagiza hili maana nina hitaji kununua gari kutoka kwao ila nina mshaka nao.
  8. Twaha Kiduku aondoka na gari baada ya kumtwanga Dullah Mbabe

    Leo kama kawa nitakuwa nawaletea updates za pambano hili ambalo kimsingi mmoja ataondoka na gari. Aidha kutakuwa na mapambano kadhaa ya utangulizi. === TWAHA KIDUKU AMTWANGA DULLAH MBABE, AJINYAKULIA GARI Bondia Twaha Lubaha maarufu Twaha Kiduku amejinyakulia gari baada ya kumtwanga Abdallah...
  9. O

    Dereva wa Uber/Bolt (natafuta gari)

    Habari zenu ndugu zangu, Mimi ni kijana mchapakazi, natafuta kazi udereva yani Uber na Bolt. Nina account yangu ipo active pia nina leseni yenye madaraja yanayoruhusu kufanya biashara ya uber/bolt, ninahitaji gari ili tufanye biashara na mmiliki wa gari kwa uaminifu na ushirikiano gari ilo liwe...
  10. Msaada: Tatizo kwenye kadi ya gari

    Wakuu habari za muda huu? Miezi kama 6 iliyopita, nilinunua benz kwa mtu. Gari ni Mercedes E280. Nilikagua chassis number vizuri na kujiridhisha umiliki wake. Nimekaa nayo vizuri bila tatizo. Siku chache zilizopita nikashauriwa niibadilishe umiliki. Katika kuiangalia vizuri kadi ya gari...
  11. M

    Apona ghafla tu baada ya Gari ya Wagonjwa iliyokuwa ikimkimbiza Hospitali kupata Ajali na Kuua Muuguzi na Dereva

    MGONJWA aliyekuwa akiwahishwa katika Hospitali ya Wilaya Same, Ester Paresetwi (35) na gari likapinduka na kuua muuguzi na dereva amepona mara tu baada ya ajali. Katika ajali hiyo ya gari la wagonjwa, muuguzi wa zahanati ya Kisiwani wilayani humo, Joshua Jacob (29) na dereva, Jumanne Makumbe...
  12. Bei ya petrol imepanda tena lini?

    Habari ndugu. Mara ya mwisho naingia filling station bei ya wese ilikua 2,405 karibu sheli zote. Leo nimeingia kujaza wese nakuta bei inasoma 2427 kuna ongezeko la Tshs 22. Nakumbuka jamaa pale sheli alinambia na bado bei itaendelea panda. Tunakoelekea sahivi uchumi utadidimia na sio kukua...
  13. M

    Umuhimu wa kufunga mkanda dereva nusura akanyagwe na tairi la gari

  14. L

    Msaada wa kupata Tyre cover la Gari aina ya RAV 4 kill time

    Wanabodi. Niende moja kwa moja kwenye mada. Natafuta tyre cover ya gari aina ya RAV 4 kill time, milango 5. kwa yeyote anaye uza au kujua zinapo patikana naomba anifahamishe! Asante.
  15. Wizi wa catalytic converter kwenye magari 'Masega'

    Aisee kuna wizi unafanyika kwenye magari. Mafundi wasio waaminifu wanakata exhaust na kuremove unga unga uliopo kwenye exhaust (bomba la moshi). Inasemekana wanauuza huo unga kwa watu wnaorexycle na wanauza kuanzia laki hadi laki tatu kwa kiloSo kuwa makini na mafundi wako. Catalytic converters...
  16. Nahisi nina bahati mbaya, au siyo fungu langu?

    Mie nimehongwa gari bila kadi lakini hata mafuta siwekewi wala sevisi[emoji1751] mimi na jjemba naipenda kwelikweli na tuna mwaka sasa na miez sita lakini hanitrit vizuri hata kidogo..mpaka akiona nataka kumuacha yaani nimemchunia hata meseji situmi wala sionani naye bas hapo atakuja kwa magot...
  17. Natafuta dereva wa kunifundisha gari manual Dar es Salaam

    Habari wakuu. Nimejifunza udereva mikoani, kwa sasa nahitaji mtaalam wa kuendesha town center anipe mafunzo, gari itakuwa yake, kwa sasa bado sijaagiza gari yangu. Malipo maelewano Piga 0713 039 875
  18. Gari aina ya Passo Vits na Ist, Moja kati ya hizo inatafutwa

    Habari wadau wa jukwaa hili adhimu!. Gari lenye ujazo mdogo aina ya Ist, Passo na Vits zinatafutwa. Moja kati ya aina hizo tatu linatakiwa liwe katika hali nzuri na usajili uwe T... D... Bajeti million tano. Karibuni. 0715354646
  19. Unawezaje Kujua Gari yako Inaingiza lita ngapi Ikiwa Full Tank?

    Wakuu heshima kwenu. Well, kama mada inavyojieleza wakuu kama una gari may be umenunua show room au mkononi kwa mtu utajuaje kuwa Inaingiza lita ngapi pale utapokuwa umejaza full tank? Nawasilisha.
  20. Nahitaji Gari ya million 2

    Bila shaka mpo salama. Nipo mkoani na nahitaji kwa bajet tajwa hapo juu, aina ya gari iwe Corola, Carina, Cresta na zingine zenye muundo huo. Kwa mwenye nalo ani pm. NB: Wakosoaji endeleeni kukosoa, kuhusu kipato siku nikikosa hela ya service nitaipaki. NINACHOTAKA GARI.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…