Je, ninunue gari gani kati VW Tuareg, VW Tiguan, Audi Q5 ama Toyota Fortuner?

The Evil Genius

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
5,469
17,309
JF magari, habari?

Heri ya mwaka mpya wakuu.

Mwaka umeanza, moja wapo ya malengo yangu ni kua na gari mpya(mpya kwangu ila wengine washaitumia)

Nafikiria kununua gari mojawapo ya hizi, VW Tuareg, VW Tiguan, Audi Q5 ama Toyota Fortuner.

Gari zote ni angalau kuanzia 2011.

Naomba maoni yenu wakuu, nivute chuma gani hapo?

Ahsante.
 
Chukua unayoipenda ww
 
Audi Q5 first choice

VW Toureg second choice

Toyota Fortuner

Hapo hakuna gari ya bei rahisi. Hiyo fortuner yenyewe kwa miaka hiyo unayotaja bado bei yake ya spears siyo ya kinyonge.

Toureg zipo nyingi mtaani.

Japo Audi na VW wanashare spears nyingi as ni subsidiary companies.
 
Back
Top Bottom