Vera Sidika azawadiwa gari lenye thamani ya zaidi ya billion 5 za kitanzania!

Poker

JF-Expert Member
Oct 7, 2016
5,279
14,058
Ndiyo muite queen vee bosset amezawadiwa mercedes benz pullman na mume wake lenye thamani ya zaidi ya shillingi za kitanzania bilioni 5.

Screenshot_20220107-164955.png

Wadada wa humu ndani iwe funzo kwenu na sio kuhongwa viiphone mnajiona mmefika! Angalieni mwenzenu vera anaenjoy maisha ana hela sio nyie waganga njaa wa jijini!

Screenshot_20220107-164833.png
 
Ndiyo muite queen vee bosset amezawadiwa mercedes benz pullman na mume wake lenye thamani ya zaidi ya shillingi za kitanzania bilioni 5. View attachment 2072188wadada wa humu ndani iwe funzo kwenu na sio kuhongwa viiphone mnajiona mmefika! Angalieni mwenzenu vera anaenjoy maisha ana hela sio nyie waganga njaa wa jijini!View attachment 2072189
I hope wewe sio me,ila kama ni me daaah.......

Kweli akili ni nywele, japo wahenga hawa kusema za eneo gani,ila nina uhakika zako sio za kichwani.
 
Ndiyo muite queen vee bosset amezawadiwa mercedes benz pullman na mume wake lenye thamani ya zaidi ya shillingi za kitanzania bilioni 5. View attachment 2072188wadada wa humu ndani iwe funzo kwenu na sio kuhongwa viiphone mnajiona mmefika! Angalieni mwenzenu vera anaenjoy maisha ana hela sio nyie waganga njaa wa jijini!View attachment 2072189
Sms yako inaonyesha unatetea kuhongwa!!

Vijana mna upuuzi mwingi Sana na pia hakuna hiyo gari ya B5 usitudanganye hapa shenzi
 
Ndiyo muite queen vee bosset amezawadiwa mercedes benz pullman na mume wake lenye thamani ya zaidi ya shillingi za kitanzania bilioni 5. View attachment 2072188wadada wa humu ndani iwe funzo kwenu na sio kuhongwa viiphone mnajiona mmefika! Angalieni mwenzenu vera anaenjoy maisha ana hela sio nyie waganga njaa wa jijini!View attachment 2072189
Dunia ya limousines ilisha pitwa na wakati
 
Back
Top Bottom