Gari kuwa na Miss

Wakuu naombeni msaada nifanye Nini kuondoa mis kwenye gari ya Suzuki Swift old model 2001 ilianza baada ya kuosha engine.
Fundi amenishauri nibadilishe plug, pump lakini bado mis ipo vilevile.
Naombeni ushauri wakuu
Nozzle umecheki
 
Kuondoa uchafu mkuu
Hapo ndio hua mnazingua,Nina miaka mingi barabarani na sijawahi kuosha engine hata siku 1 zaidi kuipiga upepo tu na sijawahi kupata tatizo hata 1 kisa engine haijasafishwa.

Learning through the hard way mkuu.
 
Kiukweli mi mwenyewe sijawahi osha,fundi akanishauri tuoshe ili kujua sehemu ambapo oil inavuja mkuu kwenye engine
 
Uwe na asili ya kupeleka garage ambazo zinaweza nyanyua gari juu..mfano pale autoexpress kariakoo nikiendaga gari wakiinyanyua mimi anenda uvunguni naangalia shida shida zipo wapi narekebisha...
 
Wakuu naombeni msaada nifanye Nini kuondoa mis kwenye gari ya Suzuki Swift old model 2001 ilianza baada ya kuosha engine.
Fundi amenishauri nibadilishe plug, pump lakini bado mis ipo vilevile.
Naombeni ushauri wakuu
Mwambie fundi wako atoe ig coil zote kisha zipigwe upepo coz inawezekana zilipata maji pemben kule kpnd mnaosha engine. Ig coil hata zikiwa na matone ya mafuta au kimiminika chochote huwa inasababisha mis sometimes.
 
Back
Top Bottom