BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,355
8,043
1663572645976.png


Kamanda Kikosi cha Usalama Barabarani cha Shirikisho (FRSC), huko Cross River, Maikano Hassan, amesema mwanamke huyo wa makamo alipata ajali hiyo na kupoteza maisha huko Calabar siku ya Jumapili baada ya kuwa katika ugomvi mzito na mwanamke aliyedaiwa kuwa ni mchepuko wa mume wake.

1663573369856.png


Alisema tukio lililohusisha gari la Toyota Highlander lililotokea katika Barabara Kuu ya Muritala Mohammed huko Calabar liligharimu maisha ya dereva wa kike ambaye alitoka nje ya barabara na kuingia kwenye mtaro kando ya barabara.

Maneno yake : "Ingawa mwanamke huyo alikimbizwa mara moja katika hospitali ya karibu, lakini ilisemekana alifariki dakika chache baadaye kutokana na jeraha alilolipata kutokana na tukio hilo."

Imeelezwa kuwa mwanamke huyo alikuwa anamfukuza mumewe ambaye alidaiwa kuwa na "side chick" kwenye gari lake kisha akashidnwa kulidhibiti gari lake na kupinduka kwenye harakati hizo.

=====================

Maikano Hassan, Sector Commander of the Federal Road Safety Corps (FRSC) in Cross River, has confirmed a single incident that killed a middle-aged woman in Calabar on Sunday while she was pursuing her husband over his “mistress.”

The incident was caused by overspeeding, according to the Sector Commander who spoke on Sunday night.

He stated that an accident involving a Toyota Highlander on the Muritala Mohammed Highway in Calabar claimed the life of the lone female driver, who veered off the road and into a ditch by the road.

“Though the woman was immediately rushed to a nearby hospital, she was said to have died a few minutes later due to the injury sustained from the incident,” he says.

It was gathered that the woman was said to be in pursuit of her husband who was alleged to be with a “side chick” in his car when she lost control of her vehicle , killing herself in the process.

A source who didn’t want her name in print stated that woman sighted her husband leaving SPAR shopping Mall in the company of another female when she tried to block her husband’s car with the Toyota Highlander she was driving in.

“Her husband was said to have maneuvered his vehicle out of the attempted blockade then took the Murtala Muhammed highway, with his wife is serious pursuit.

“In a bid to outrun her husband, she lost control of the speeding vehicle, veered off the road and slammed the vehicle, head long, into a tree, damaging the vehicle beyond repairs and also killing herself,” the source revealed.

METRO
 
Mwanamke mmoja nchini Nigeria amepoteza uhai baada ya gari yake kupata ajali akiwa kwenye harakati za kuifukuzia gari ya mmewe anayedaiwa kuwa alikuwa amebeba mwanamke wa pembeni (Mchepuko).

1CF630AF-03E5-43D8-BE78-9954EF796493.jpeg


Kwa mujibu wa msamaria mwema ambaye hakutaka jina lake liwekwe wazi, mwanamke huyo mwenye umri wa makamo alimuona mmewe akitoka kwenye duka moja huku akiwa na mwanamke mwingine ambaye waliambatana pamoja kwenye gari, jambo lililomfanya aendeshe gari yake kwa mwendo mkubwa ili aweze kuwakamata, hali liyosababisha apate ajali na kupoteza maisha muda mchache baada ya kufikishwa hospitalini.

Mamlaka za nchi hiyo zimethibitisha kutokea kwa tukio hili jumapili ya Septemba 18, 2022.

TVN
 
Hujaelewa wewe
tatizo sio kucheat
tatizo ni maamuzi baada ya mwenzio kucheat
Maonyesho yote ya "Cheaters" huishia na mlalamikaji kupelekwa kuwafumania mwenza na mchepuko wake; na yote huishia kwa kupigana kwa wahusika. Sasa nini tofauti na huyu mama aliyekuwa akitaka kumkamata mmewe akiwa na mchepuko wake? Aidha, Uafrika unakujaje hapo?
 
Sasa rasmi kabisa mchepuko kapata kibali cha kuwa mke

Mume analindwa kwa maombi, heshima na upendo

Barikiwa sana,,, naomba ukawaeleze hayo Walau Mabinti 10 tu,,, utakuwa umeokoa ndoa nyingi sana hapa Mjini...

HESHIMA ndio kitu pekee kilichokosekana kwa Mabinti wengi wa siku hizi,,,, Japo wengi hawajui kuwa hawana heshima...

Blame Society
 
Aibu za kujitakia, Sijui atamwangalia vip Mungu wake huko usoni
Sidhani kama atahukumiwa kwa tendo Hilo. Maana ni mume ana stahiki zote. Ila huku duniani ndio itabaki kuwa aibu mbele za watu kwa kumuona amefanya tendo la kujitakia.
 
Barikiwa sana,,, naomba ukawaeleze hayo Walau Mabinti 10 tu,,, utakuwa umeokoa ndoa nyingi sana hapa Mjini...

HESHIMA ndio kitu pekee kilichokosekana kwa Mabinti wengi wa siku hizi,,,, Japo wengi hawajui kuwa hawana heshima...

Blame Society
Hiyo heshima mnayoitafuta. Ndiyo hiyo baadhi yenu mnaitumia kama udhaifu kwa hao wanawake. ..mwengine unaweza mpa hiyo heshima na akazid kucheat kwa kuwa anajua huna cha kufanya, atakugeuza kama samaki tu.. ni wanaume baadhi wanaojitambua, kuona kuwa heshima ya mwanamke kumfanya yeye akatulia. Dawa ni kumuignore tu. Huku ukijikita ktk maombi.
 
Sidhani kama atahukumiwa kwa tendo Hilo. Maana ni mume ana stahiki zote. Ila huku duniani ndio itabaki kuwa aibu mbele za watu kwa kumuona amefanya tendo la kujitakia.
Kweli,maana alikuwa analinda chake
 
Hiyo heshima mnayoitafuta. Ndiyo hiyo baadhi yenu mnaitumia kama udhaifu kwa hao wanawake. ..mwengine unaweza mpa hiyo heshima na akazid kucheat kwa kuwa anajua huna cha kufanya, atakugeuza kama samaki tu.. ni wanaume baadhi wanaojitambua, kuona kuwa heshima ya mwanamke kumfanya yeye akatulia. Dawa ni kumuignore tu. Huku ukijikita ktk maombi.
Umeanza na Mashambulizi ila nimependa ulivyomalizia kwa Busara..,, hao Wachache wasikufanye ukaacha kuwa na HESHIMA,,, hio ndio Silaha pekee ya kuishinda hio vita....

Barikiwa pia,,, Unaonyesha bado unaijua thamani ya Mume...
 
Hiyo heshima mnayoitafuta. Ndiyo hiyo baadhi yenu mnaitumia kama udhaifu kwa hao wanawake. ..mwengine unaweza mpa hiyo heshima na akazid kucheat kwa kuwa anajua huna cha kufanya, atakugeuza kama samaki tu.. ni wanaume baadhi wanaojitambua, kuona kuwa heshima ya mwanamke kumfanya yeye akatulia. Dawa ni kumuignore tu. Huku ukijikita ktk maombi
Ni kweli ila mwanamke akiwa na heshima hata niki cheat ntajitahidi usijue na itakua mara chache sana ukilinganisha na ukiwa hauna heshima.
 
Back
Top Bottom