gari

  1. IamBrianLeeSnr

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Gari aina ya Daf XF Euro 5 inauzwa, kibini ipo separates na chesesi

    Gari aina ya DAF XF EURO5 engine ya paccar inauzwa ipo separate kibini pamoja na chesesi, Engine inahitaji matengenezo. TAJIRI anahitaji milioni kumi na tano(15) kwa mawasiliano piga namba +255 763 363 536, +255 683 067 976 Gari inapatikana DAR ES SALAAM, TANZANIA Kibini ipo sawa kabisa ni...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ushawahi panda gari za kusafirisha magazeti ?

    Aiseee zile gari acha kabisa Yani kabla hujakaa tayari upo Kibaha mana Dar - Moro ni lisaa tu 😂😂😂😂 Kupanda zile gari inahitaji uwe na roho ya paka 😆😆😆 Sishauri kabisa wanawake kupanda zile gari mana sisi wanaume tu tunapanda kwa dharura Embu tupe uzoefu wako mara ya kwanza kupanda zile gari...
  3. Iziwari

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kusikia kidonge cha kupunguza matumizi ya mafuta kwenye gari na vyombo vya moto. Kimekufikia

    kidonge kinaitwa Govvi petrol pill Kimeshatumika sana duniani na kimeshafanyiwa tafiti nyingi na kuonekana kuwa kinafanya kazi. Uki youtube au ku google kidonge hiki utakikuta kinajulikana sana. Na sasa kuna watu hapa Tanzania wanakitumia. Utaweka petrol kidogo kwenye gari au chombo chako cha...
  4. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Dashboard ya gari inaandika "Change Engine"

  5. The Tactician

    JamiiForums Tanzania Gari ya kukodi inatafutwa

    Habari zenu wakuu, Nahitaji kukodi gari zifuatazo kwa ajili ya mizunguko ya hapa na pale ndani ya jiji la Dar es Salaam. Yoyote mwenye moja kati ya hizi au zote kwa pamoja naomba aipost gari hapa tujadili au anicheki kupitia +255627315218 niione gari, kisha tu jadili gharama na maandikishano...
  6. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Gari zuri Toyota Crown namba D inauzwa

    Gari nzuri ipo mwanza mjini ni Toyota crown namba D..rangi ya silver ipo katika hali nzuri bei ni millioni 10 japo maongezi yapo..0769344686 nipigie tuzungumze.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Gari ya milioni 60

    Wakuu, salama? Nimeombwa ushauri hapa wa gari nzuri ya kununua isiyozidi milioni 60. Rafiki yangu mmoja yuko huko kwenye machimbo Geita kapata pesa anata gari nzuri. Vile mimi sio mtaalamu wa hayo mambo nikaona niombe ushauri humu kwa niaba yake. Gari anayotaka ni ya kutembelea. Shukrani sana.
  8. The Tactician

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari ya kukodi

    Habari zenu wakuu, Nahitaji kukodi gari zifuatazo, kwa ajili ya mizunguko ya hapa na pale ndani ya jiji la Dar es Salaam. Yoyote mwenye moja kati ya hizi gari au zote kwa pamoja naomba aipost gari hapa tujadili au anicheki kupitia +255627315218 niione gari, kisha tuanze jadili gharama na...
  9. NUNEZ DIAZ

    JamiiForums Tanzania Gari yangu ya kwanza nimenunua, Nissan Dualis

    Habari wana JF, Kwa mara ya kwanza kwenye maisha yangu nimenunua na kumiliki gari yangu ya kwanza nissan dualis, kusema ukweli sijui vitu vingu kuhusu magari nafahamu vitu vichache sana. Naombeni msaada jinsi ya kuitunza hii gari angalau idumu napokea maoni na ushauri jamani, gari nimeipokea...
  10. The Tactician

    JamiiForums Tanzania Gari ya kukodi inahitajika

    Habari zenu wakuu, Nahitaji kukodi gari zifuatazo, kwa ajili ya mizunguko ya hapa na pale ndani ya jiji la Dar es Salaam. Yoyote mwenye moja kati ya hizi gari au zote kwa pamoja naomba aipost gari hapa tujadili au anicheki kupitia +255627315218 niione gari, kisha tuanze jadili gharama na...
  11. co fm

    JamiiForums Tanzania Gari linanitesa

    Habarini humu wanajf, kuna kipindi niliwahi kuomba ushauri humu kuhusu kununua gari kisa tu wenzangu wote hapa home wana magari yao nakuwa kama mnyonge. Sasa nikajichanga nikanunua gari kwa mtu kama milioni sita hivi IST number D, toka ninunue hili gari kila mwezi lazima initoke kuanzia laki...
  12. dracular

    JamiiForums Tanzania Gharama za usajili wa gari aina ya townace kutoka Japan

    Habarini za majukumu ndugu zangu wa Jf. Bila kupoteza muda twende kwenye maada moja kwa moja.. Nina mpango wa kuagiza gari aina ya townace kwa ajili ya biashara nilikuwa naomba kujua kuhusu gharama za usajili ikifika hapa Tanzania mpaka iweze kuingia barabarani inaweza gharimu kiasi gani...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Nina Gari lenye Friji, natafuta kazi

    Kuna gari nnayo hapa sasa natafuta tenda za nyama au kubeba mboga mboga au vitu ambavyo vinahitaji friji na tenda iwe ya Kila siku au mwezi au hata alie na Connection ya kazi hizo tunaweza kuwa wote kwenye gari hyo
  14. KndNo1

    JamiiForums Tanzania Gari za Toyota na kuishiwa mafuta barabarani

    Kwa miaka yangu mingi barabarani.. Gari zinazoongoza kuishiwa na mafuta njiani ni Toyota hasa hasa hizi wanasema zinanusa tuu mafuta.. Yaani mafuta yanaisha yote mpaka tank inanukia kutu.. Pump inashindwa kunusa inakata.. Gari inanusa tuu mafuta ila bado dereva anatembea na kidumu..taa ya low...
  15. Ibrahim augustine

    JamiiForums Tanzania Je unauza au kukodisha Gari na umekosa wateja Tumia njia hii ni bure

    Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza watu wengi sana wamekua wakipata ugumu Hasa linapokuja swala zima la kutafuta mnunuzi au mtu anayetaka kukodisha gari yake. sasa leo Nitakufahamisha njia rahisi sana ambayo haihitaji gharama yoyote ile. sio kwamba hakuna wateja lahasha bali unakosa mbinu...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Kwa nini tunaagiza magari kwa zaidi ya M300 na kisha kuyauza kwa M5 tena ndani ya mwaka?

    Tusiwe wanafiki, Elimu zetu mmiliki wake huwenda ni shetani! Na Kwa bahati mbaya shetani hana mazoea na watu eti waishi vizuri na Kwa raha! Serikali zetu endapo watu wake wangelikuwa na nia ya kuzitoa nchi zetu kwenye Lindi la umasikini wa watu wao! Basi kusingelikuwepo na matumizi makubwa...
  17. Empty containers Tanzania

    JamiiForums Tanzania Kwa gari hii niliyonunua jinsi watu wanavyonipa heshima, sasa sijui ingekuaje ningenunua BIMA!

    Umasikini ni kitu hatari Sana yaani nimenunua gari ya-kawaida lakini huku mtaani watu wananipa heshima kubwa Sana. Hii Chuma ni normal kwa kijana yoyote Mpambanaji asiyeendekeza Ngono na Pombe anaweza nunua tu. Sasa Kama mnashangaa hivi je ningenunua BIMA ingekuaje? Watoto wa kike mtapewa...
  18. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Kwa Tanzania kama pesa yako ni ya kuunga unga, usinunue gari zaidi ya Toyota, hii itakuhakikishia a good resale value

    Kwa Tanzania kama uchumi wako sio wa walamba asali, wala keki ya taifa usinunue brand nyingine ya gari zaidi ya Toyota. Kununua Toyota ni kujihakikishia uwepo wa wateja na pia kupata thamani nzuri ya gari yako pale utakapoamua kuiuza. Kuna watu wapumbavu huwa wanauliza eti kwani unanunua gari...
  19. Msolid1990

    JamiiForums Tanzania Tambua namna ya kujua uhalali wa mileage ya gari unalonunua Yard au kwa mtu

    Wakuu Habari, Leo nimeona nielezee kidogo kwa namna gani unaweza kujua uhalali wa kilometer zinazosoma kwenye gari unalotaka kununua either mkononi kwa mtu ama yard. Hii njia haitaweza kuapply kwa magari yote kwa sababu mbali mbali ikiwemo kwamba kipindi fulani hapa nyuma magari yalikuwa...
  20. Tanzania Nchi Yetu Sote

    JamiiForums Tanzania Gari lililotumiwa na watu wengi halifai kwa matumizi

    Gari lililopata kumilikiwa na watu wengi si zuri kwa matumizi, maana kila utakapopita nalo, basi ni lazima tuu utakutana na watu wanaojitapa kulijua vizuri kwa sababu walipata kulitumia. Wapo watakaoelezea namna walivyokuwa wakiliburuza kwa mwendokasi, wengine wakijinasifu kwa mitindo...
Back
Top Bottom