2015 Nissan X-trail Hybrid Vs 2015 Honda vezel Hybrid gari zinazokuja kuteka soko kila eneo

Giltami

JF-Expert Member
Feb 23, 2017
801
1,081
Nissan x-trail hybrid
Screenshot_2022-11-06-19-29-33-1.png
Screenshot_2022-11-06-19-31-16-1.pngHonda vezel hybrid
Screenshot_2022-11-06-19-50-36-1.png
Screenshot_2022-11-06-19-51-19-1.png
Gari zote ni cc chini ya 2000cc pia ni 4w drive
consumption ya hybrid si chini ya 20km/l so nashauri kama unataka kaagiza gari basi zingatia hybrid cars kama hizo, maoni zaidi yanakaribishwa.
 
Vocal Fremitus

JF-Expert Member
Oct 20, 2016
544
2,482
Vesel kimuonekano kwa mbali ni kama dualis, bahati mbaya kila napoona dualis au gari yoyote yenye muonekano huo namkumbuka marehem Dr. Denis Katatwile. R.I.P mdogo wangu. Uliitendea haki sana tasnia ya medicine. Till we meet again
 
PureView zeiss

JF-Expert Member
Sep 5, 2016
7,411
23,697
Sikuhizi wabongo wanajitahidi kujilipua na magari tofauti na UNIFORM (TOYOTA). Ile dhana ya kuagiza Toyota inaenda kupotea taratibu.
Kwangu mimi naipenda Sana Mitsubishi Outlander new model ni gari Tamu Sana Kwa muonekano
 
GOOGLE

JF-Expert Member
Oct 29, 2012
1,890
1,122
Kwa Fuel efficiency chukua Honda vezel ila kama unagopa spare chukua X-trail Hybrid mana spare zinaingiliana na model ya zile ambazo siyo Hybrid. Ukita kutest X-trail Hybrid nicheki uje uendeshe.
 
Isanga family

JF-Expert Member
Feb 25, 2015
11,494
17,609
Mnyama Honda hapo mchawi spare tu
Hizo gari mnazosema spare zinaharibika kila siku? Usidanganywe kuhusu parts ukihitaji unapata na hizo Honda zina roho ya paka sana mimi mwaka 2002 niliwahi leta Honda ballade ilikua automatic wapo waliosema spare wengine walisema ni gari ya kike kwa sababu ni auto na kipindi hicho gari nyingi zilikua manual nilishindwa kuuza nikaiacha home nipo SA walipoona inatumiwa mbaya wakata niwauzie nikagoma ile gari ilikuja kuuzwa 2010 nadhani...inategemeana na unapochukulia ila kwa gari zunazotoka SA ni ngumu balaa mpaka itake spare umeitumia kweli ila hapa sio kwa Discovery hizi nyingi unakuta wauzaji walishaanza kusumbuliwa na hiyo gari...hapa nazungumzia Ford,Honda,Vw,BMW,Tuccson,Nissan na Toyota za kaburu ambazo parts zake zipo tofauti na gari za Japan..
 
Ngariba1

JF-Expert Member
Jan 12, 2017
1,456
2,974
Kwa Fuel efficiency chukua Honda vezel ila kama unagopa spare chukua X-trail Hybrid mana spare zinaingiliana na model ya zile ambazo siyo Hybrid. Ukita kutest X-trail Hybrid nicheki uje uendeshe.
Mkuu vipi fuel consumption?
 
Ngariba1

JF-Expert Member
Jan 12, 2017
1,456
2,974
Mjini napata 18km/l
High way kama 15km/l
Huwa naenda Arusha kwa laki moja zaidi ya km 500, nawaza tu siku ikizingua sijui nitaipeleka wapi.
Basi iko vizuri sana. Mimi naenda Arusha na Rumion kwa 150K.

Vipi uliichukua kwa bei gani?
 
The Assassin

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
3,694
14,133
Hizo gari mnazosema spare zinaharibika kila siku? Usidanganywe kuhusu parts ukihitaji unapata na hizo Honda zina roho ya paka sana mimi mwaka 2002 niliwahi leta Honda ballade ilikua automatic wapo waliosema spare wengine walisema ni gari ya kike kwa sababu ni auto na kipindi hicho gari nyingi zilikua manual nilishindwa kuuza nikaiacha home nipo SA walipoona inatumiwa mbaya wakata niwauzie nikagoma ile gari ilikuja kuuzwa 2010 nadhani...inategemeana na unapochukulia ila kwa gari zunazotoka SA ni ngumu balaa mpaka itake spare umeitumia kweli ila hapa sio kwa Discovery hizi nyingi unakuta wauzaji walishaanza kusumbuliwa na hiyo gari...hapa nazungumzia Ford,Honda,Vw,BMW,Tuccson,Nissan na Toyota za kaburu ambazo parts zake zipo tofauti na gari za Japan..
Mkuu salama?
Mkuu nawezaje kununua gari ya Kaburu hasa Fortuner iliyotengenezwa kwa Mandela?

Najua zina punguzo la kodi Bongo. Mfano, ukinunua Fortuner ya kuanzia 2015 pamoja na kodi hapa bongo ni zaidi ya 90m ila ukiondoa kodi inaweza kua around 60m.

Natamani sana hiyo gari ila namna ya kuzipata ndio changamoto.
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Top Bottom