Naomba kujua kuhusu hizi gari

John120

Senior Member
Jun 13, 2021
135
279
 Wataalamu na wajuvi wa magari,naomba mwenye kujua kuhusu hizi gari kwenye maeneo haya yafuatayo:
1.comfortability yake.
2.fuel consumption
3.Availability of spare part zake.
4.Durability
5.Stability yake.
6.Changamoto zake.
na mengine mengi unayoyajua kuhusu chuma hii.

Asanteni sana
IMG_20221106_170753.jpg
 
BMW Mini Cooper iko poa katika vigezo vyako kasoro 3, 4 na 6.

Nakushauri tafuta gari nyingine. Kama unapenda tudude twa shape iyo cheki Suzuki Swift Sport.
 
Back
Top Bottom