gari

  1. M

    JamiiForums Tanzania uliwahi kukwaruzwa au kuharibiwa gari na dereva wa bajaji au bodaboda anaeendesha kwa pupa, fujo, uzembe, kutotii sheria, n.k. ?

    Madereva wa bajaji na bodaboda ni moja ya kundi lenye madereva ambao wamekuwa wakilalamikiwa sana kwa kukosa utulivu barabarani. Wengine huendesha kwa pupa kukimbizana na pesa, wengine kwa fujo kuonekana maridadi mbele ya wenzao, wengine hawazijui kabisa sheria za barabarani wanaingia kwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ukiuza gari uliyolipia bima, unaweza kuihamisha bima kwenye gari lengine lisilo na bima

    Mfano gari umeiuza ikiwa na bima iliyobaki miezi 10 hadi kuisha. Je unaweza kuhamisha bima kwenye gari lengine lisilo na bima au kucancel bima na kuomba fidia ?
  3. Farolito

    JamiiForums Tanzania Heche: Gari la Lissu Lilishanunuliwa, lipo na ni Jipya!! Tunasubiri atoke tumkabidhi

    Makamu mwenyekiti wa CHADEMA John Heche amesema kwamba gari ambalo wananchi walikuwa wakimchangia Lissu ili anunue tayari Lilishanunuliwa ni Jipya na akitoka tu gerezani anakabidhiwa. Akizungumza na kituo cha East Afrika katika kipindi cha "The Interview". Heche ametoa taarifa hio baada ya...
  4. Morning Joy Motors

    JamiiForums Tanzania Fahamu kwanini gari zinazotumia Diesel zinadumu kwa muda mrefu zaidi tofauti na za Petrol

    Na Morning Joy Motors +255797113153 Kaloleni, Arusha Tanzania Kama umewahi kusikia sehemu katika pita pita zako watu wakisema kwamba gari zenye engine ya diesel ni bora zaidi kuliko zenye petrol , lakini pengine ikakuwia vigumu kuwaelewa kwa namna moja ama nyingine Basi Leo sisi Morning Joy...
  5. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Gari za UNHCR zitauzwa Kwa mnada Kibondo

    Gari za UNHCR zitauzwa Kwa mnada kibondo Kigoma tarehe 28/2/2026 kuanzia Saa 3 asubuhi.
  6. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Wanaume wawili Zanzibar watekwa kwenye gari aina ya IST

    Kuna habari ya wanaume wawili kutoka Zanzibari ya kuwa wametekwa na watu wawili walio kuwa na gari aina ya IST nauliza kweli wanaume mnatekwa kwenye gari aina hii? Rais wa Zanzibari chukua hatua
  7. Morning Joy Motors

    JamiiForums Tanzania JE WAJUA NI MUDA GANI UNAPASWA KUBADILI OIL FILTER YA GARI YAKO?

    Namna ya kufahamu Oil filter ya Gari yako Oil filters inapaswa kuwa replaced kila baada ya 6,000–8,000 km (ambapo kwa wengi ni 12 months), typically kila unapofanya oil change. Viashiria muhimu vinavyo ashiria oil filter yako kuwa mbovu : Pressure ndogo ya oil Engine kukosa nguvu...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ni kweli mbinu ya pulse and glide, kukanyaga moto kisha uliache gari free kunasaidia kupunguza ulaji wa mafuta ?

    Pulse (Ongeza kasi): Kanyaga accelerator kidogo hadi gari lifikie mfano 50 km/h. (mizunguko ya mjini) Glide (Teleza): Toa mguu kwenye accelerator, acha gari liende taratibu lenyewe Wakati gari limepungua kasi mfano 20 km/h rudia hatua ya kwanza
  9. Dalali wa Mjini

    JamiiForums Tanzania Nauza hii Gari Nissan Pick-Up engine QD32

    Nissan Pick-Up Engine QD32 Cc 3153 Fuel Diesel ⛽ AC ipo Full Document. Location Dar Es Salaam Bei milion 25 maongezi kidogo. Nipigie simu boss ukague hii Chuma 📱0754693556
  10. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Gari analotumia "Makonda" lazua mjadala mitandaoni

    Gari hiyo aina ya Bentley Flying Spur lenye kibao cha namba W HUSM linalodaiwa kutumiwa na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Paul Makonda limezua mjadala hasa katika mtandaow a X, ambapo watu mbalimbali wamehoji kiongozi wa Serikali kutumia gari aina hiyo. Kwa mujibu wa akili mnemba...
  11. jocky187

    JamiiForums Tanzania Gari za Trasnsit

    Mwenye gari za transit kuenda Maamba✅ Lusaka ✅ Naomba tuonge 0620411256
  12. jocky187

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni wadau wenye magari ya transit kwenda Kasumbalesa, Lusaka

    Nisaidieni wadau wenye magari ya transit kwenda kasumbalesa,Lusaka,Maamba Mwenye Conection namba zangu hizo wakuu 0620411256
  13. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Wezi waliojifanya maafisa wa polisi, wamepora pesa kwenye gari la kubeba Pesa huko Italia

    Tukio hili limetokea mchana kwenye barabara moja huko Italia baada ya wezi kuisimamisha gari ya pesa na kuipora.. wawili wamekamatwa... Tukio hili limenikumbusha filamu moja ya Money heist inayoitwa HEAT ============== Genge lenye silaha limefanya shambulio la mchana kwenye gari la...
  14. N

    JamiiForums Tanzania KERO Mitaa ya Mbagala Kuu tuna kero ya takataka, ni zaidi ya miezi mitatu hakuna gari la taka

    Kero ya matakataka Mitaa ya Mbagala Kuu ni zaidi ya miezi mitatu sasa hakuna gari la taka lilopita mtaani kwetu. Matakataka yamezagaa na ukizingatia sehemu za wazi ambazo Watoto wanacheza, Serikali ya Mtaa haijachukua maamuzi yoyote. Ni hatari kwa afya. Maeneo ya Mbagala Kuu ni Mitaa ya Mbagala...
  15. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Manchester United gari imekolea moto au gesi ya presha cooker?

    Hawa jamaa wanatembeza kipigo sahivi EPL pale hadi unaogopa.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Gari unazoweza kukuta ni namba E alafu mmiliki wake anatafuta mteja hata kwa bei chee na bado watu wanaikimbia

    BRAVIS NISSAN DUALIS NISSAN XTRAIL
  17. Kelela

    JamiiForums Tanzania Dar hadi Musoma kwa gari binafsi ni masaa mangapi?

    Wakuu Kwema? Naomba aliyewahi kusafiri kwa gari binafsi Dar to Musoma au Musoma to Dar alitumia masaa mangapi? Nataka kupata experience. Maana nilisafiri kwa Bus nilitumia masaa 22 sio poa.
  18. FabNXTzqEtcgazfbjjfo

    JamiiForums Tanzania Nissan Dualis zimepatwa na nini?

    Habarini za Muda Huu Wana JF Nissan Dualis Imepatwa na Nini Huko mbona Zinauzwa sana hizi Gari watu hawakai Nazo .. Hebu tupeni uzoefu wa Mliotumia Hizi Gari, Changamoto zake ni kiasi kwamba mtu hakai nazo au Zinapendwa sana
  19. M

    JamiiForums Tanzania Gari gani linapaswa kuanza kuondoka?

  20. M

    JamiiForums Tanzania Arusha ipo karibu na Nairobi yenye gereji za kisasa; kwanini bado hata matajiri wanasita kununua magari mapya ya Ulaya (0 km)?

    Kenya watu wanaojiweza wana magari latest kwasababu huduma za gereji zipo za uhakika. Arusha hadi Nairobi ni safari ya masaa tano tu unaweza kwenda na kurudi kwa mafuta lita 50 kwenye chombo kama BENZ gl 300. kwanini hata matajiri bado wanasita kununua vitu latest vya ulaya ?
Back
Top Bottom