Naona ni usiku tulivu na mujarabu kabisa kuweza kuelezea hiki kitu kidogo lakini chenye impact kubwa sana kwenye industry ya uhandisi magari.
kama tulivyo sisi binadamu, tuna mfumo wa mawasiliano(coordination system) ambayo nodes kadhaa zinaunganishwa na zinakuwa zinawasiliana. Na mfumo wa...
Muache ngonjera za kusema Aliruka na kutokomea akiwa na PINGU.
Ukimfunga Mtu Míkono kwa namna yoyote ile, UMEMUONDOLEA BALANCE YA KUKIMBIA , HIVO HAWEZ KUA NA UWEZO WA KUKIMBIA KWA KASI HATA KUWASHINDA MAASKARI
UHUNI MLOUFANYA KWA POLEPOLE, KWAKUA HAMNA AKILI, NDIO MNAURUDIA ULEULE
Gari la Msafara wa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga limepata ajali eneo la Usanda wilaya ya Shinyanga barabara ya Tabora - Shinyanga, wakati likikwepa gari aina ya Toyota Harrier na kuingia kwenye mtaro.
Taarifa za awali zinaeleza kuwa watu watano wamejeruhiwa katika ajali hiyo akiwemo Mwandishi wa...
🚗 OBDII Scanner – Chunguza Gari Lako Kitaalamu! 🔧
Unapata shida kujua tatizo la gari lako?
Suluhisho ni hii OBDII Scanner yenye uwezo wa kusoma na kufuta error codes kwa haraka na usahihi 💯
✅ Inasoma matatizo ya engine (Check Engine)
✅ Rahisi kutumia – Plug & Play
✅ Inafaa kwa magari mengi ya...
Nitaeleza leo
umuhimu wa kununua mchanga kwa gari kubwa kama unaproject kubwa ya ujenzi
UMUHIMU WA KUNUNUA MCHANGA KWA GARI KUBWA UKIWA NA PROJECT KUBWA
1. Unaokoa pesa nyingi
FAW/Mende trip 1 = TZS 350,000 inaleta 18 cubic metre
Canter kuleta 18 cubic metre = trip 6 × 60,000 = TZS 360,000...
Shikamoni wakubwa..
Vijana wenzangu mambo vipi..
Wakuu Nina miaka 22 elimu yangu niliishia form 4. Baada ya kumaliza 2022 nimekaa mtaani sana nikaona si vyema nikakaa bila fani yoyote. Mwanzoni mwa mwaka niliamua nipambane nikafanya kazi mbalimbali kama saidia fundi na kufyeka n.k...
Rais wa Tunisia, Kais Saied, amemfuta kazi Waziri wa Nishati, Fatma Thabet, leoJumanne ya Aprili 28, 2026. Hatua hii imekuja huku kukiwa na mzozo mkubwa kuhusu miradi ya nishati mbadala inayotarajiwa kupigiwa kura bungeni.
Rais Saied amemteua Waziri wa Nyumba na Miundombinu, Salah Eddine...
Hoja Dhaifu za ‘Wheel Cover’: Kutoka kwa Maria Sarungi
Kwanza kabisa, hoja ya kuunganisha “wheel cover” kutoka kwa Maria Sarungi ni dhaifu sana kimantiki. Hii ni correlation fallacy kuona vitu vinafanana halafu unahitimisha vina uhusiano bila ushahidi wa moja kwa moja. Tanzania kuna maelfu ya...
Swali, Mpaka hapa bado kuna mtu hajajibiwa swali la nani alitoa amri ya kuua watu iwapo magari yaliyotumika kuua watu bado wanayatumia kuonesha hawajali wala kuogopa chochote?
Hili gari pichani linauzwa kwa bei ya Tsh. 9,500,000 (maongezi yapo). Injini yake ni ya Mitsubishi. Ukubwa wa Injini ni CC 2200. Ina bodi ya kuweza kubeba mizigo, yaani pick up.
Matairi ni makubwa kwa hiyo linamudu kupita kwenye barabara korofi kwa sababu gari lipo juu.
Mbele linaweza kuchukua...
🔥 BRAKE FLUID TESTER – Chombo Muhimu kwa Gari Lako! 🔥
Epuka hatari barabarani! Hakikisha brake fluid yako iko salama kwa kutumia kifaa hiki rahisi na chenye uhakika.
✅ Inapima kiwango cha maji kwenye brake fluid
✅ Rahisi kutumia – weka tu na soma matokeo
✅ Inafaa kwa magari mengi (DOT3, DOT4...
Anahitajika dereva mwenye leseni ya gari na mwenye account ya bolt aliye na uzoefu wa kuendesha bolt Dar es salaam.
Gari iliyopo inatumia mfumo wa gas, malipo ni kwa hesabu ya siku sio ya mkataba. Aliye tayari anicheki Dm.
=====
Update: Dereva amepatikana
Ni kwa uzoefu wangu wa kutumia magari kwa mizunguko ya mjini na safari chache nje ya mkoa, Gari nilizomiliki ni automatic, mafuta petrol, cc 1500 hadi 2500, magari ya kawaida tu, nothing fancy
Hakikisha unatumia oil sahihi na original za gari lako, kama engine inahitaji 10W40, tumia hiyo. Kama...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amewataka Wakuu wa Mikoa na Wilaya nchini kutekeleza maelekezo ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kupunguza matumizi ya mafuta kwa kutumia magari machache kwenye ziara za...
Kumekuwa na tabia ambayo imekuwa endelevu kwa baadhi ya mabasi mengi yanayotokea Kigoma kuelekea MWANZA, mfano GTA Express, kuuza wateja wake baada ya kukata tiketi usiku wake unapigiwa simu eti "samahani gari halitoweza kwenda limekodishwa, hivyo mtapanda basi la Kampuni ya TAKBIIR".
Wanafanya...
Abiria tunatoka kanda ya ziwa kuelekea Arusha na Moshi tumekwama hapa Shinyanga gari imekatika spring T646 EKS ya kutoka Tarime kwenda Moshi so tupo kwa mafundi wa kilocal wanachomelea hizo spring tangu saa nne na sasa ni saa tisa usiku.
Unaenda kuua jina la biashara yako uliojenga kwa muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.