gari

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wengi huangalia bei ya gari na kusahau gharama za Interior, Tairi na Rim. Tenga bajeti ya ziada mapema ili usije ukahangaika baada ya kununua gari

    Wengi huangalia bei ya gari na kusahau gharama zinazoweza kuja baada ya kulinunua. Unaponunua gari, ni muhimu kutenga bajeti ya ziada (Buffer Amount) kwa ajili ya kuboresha au kubadilisha baadhi ya vitu muhimu kama Tairi, Rim na Interior. Tairi na Rim Kwa hali ya barabara zetu zilizojaa...
  2. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Kijana mwenye ndoto ya kuendesha G-Wagon, aunda gari linalofanana muonekano ili kuishi ndoto zake

    kijana kutoka nchini Nigeria, Chukwudi Godday Eze, amekuwa gumzo kubwa kwenye mitandao ya kijamii baada ya kufanikiwa kutengeneza gari lenye muonekano wa kipekee unaofanana na gari la kifahari aina ya Mercedes-Benz G-Wagon kwa kutumia vifaa vya ndani. Chukwudi alianza mradi huo wa ubunifu akiwa...
  3. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Dereva aliekuwa akiendesha gari huku akichati , kufutiwa leseni asiendeshe chombo chochote maisha

    Je ni kweli dereva huyu aliyekuwa anachati amefutiwa leseni yake ya udereva.
  4. Candela

    JamiiForums Tanzania Gari ya serikali tinted ya nini?

    Hii suala kifike mahali likome, gari ya umma inaweka tinted ya nini?
  5. d coy++++

    JamiiForums Tanzania Unahitaji mitambo? Heavy Industrial equipment in Agriculture, Construction, Mining and Industries. Karibu tuwasiliane 0754247000. Ubungo Dar es salaam

    Habari ya wakati huu. Mwenye mahitaji mashine ya kununua, spea parts, na service za mashine hizi chini, karibu tuwasiliane zaidi. 1. Tractor (35hp, 50-60hp, 75hp) na Power tiller 15.5hp 2. Forklifts ( 3.5T, 5T & 7-10T) 3. Generators ( 17kva - 550kva ) 4. Wheel loaders ( 3T & 5T) 5. Excavators...
  6. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Aomba kupelekwa polisi baada ya kugonga gari la gharama

    Mzozo wa barabarani umejitokeza baada ya dereva wa pikipiki ya miguu mitatu (Toyo) kugonga gari la kifahari, kisha kuomba apelekwe kituo cha polisi kuliko kutakiwa kulipa gharama za matengenezo ambazo hana uwezo nazo. Tukio hilo limetokea baada ya mfumo wa breki wa Toyo hiyo kukatika ikiwa...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Trafiki atembezewa kichapo na Mwananchi Mwenge, Mwanajeshi aingilia Kati. Sasa itakuaje?

    Tukio linalodaiwa kutokea maeneo ya Mwenge, Dar es Salaam, ambapo askari wa usalama barabarani anadaiwa kuchomoa ufunguo wa gari la dereva baada ya kutokea mabishano, linaibua maswali muhimu ya kisheria na kiutendaji. Je, askari wa usalama barabarani ana mamlaka ya kisheria kuchomoa ufunguo wa...
  8. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Barabara zote ni za serikali, polisi wanaweza kukuzuia kuweka gari lako barabarani!

    watanzagiza tunaishi kwa mazoea sana, serikali ndiyo mwenye barabara zote tunazotumia i.e hakuna mtu binafsi anayemiliki barabara tanzagiza ukiondoa labda ya kuingia nyumbani kwako kama hata kwanza una hati miliki ya hiyo nyumba unayoishi ambayo unasema ni yako lkn hiyo ni mada nyingine hata...
  9. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Gaidi aliyemchoma kisu raia na kutoroka na Gari anaswa na kuangamizwa huko Israel!!

    Leo kulikuwa na shambulio la kisu la Gaidi la kiarabu alimchoma kisu Myahudi wa Israeli. Mtu aliyechomwa kisu alikuwa Natanel Jacobs na hapa anaelezea jinsi alivyopigana na Gaidi Hilo baada ya kuchomwa kisu alipiga picha Gari la Gaidi huyo na kuwajulisha IDF ambao walilifuatilia gari hilo kwa...
  10. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Bibi alietembea kwa miguu ampe Rais zawadi ya kuku apewa gari

    Mwanamke mwenye umri wa miaka 52, Maggie Sapatu, kutoka Mwinilunga nchini Zambia, amezawadiwa gari baada ya kutembea kwa miguu karibu kilomita 1,000 hadi Lusaka kwa lengo la kumshukuru Rais Hakainde Hichilema. Maggie alianza safari hiyo Agosti 15, 16, akiwa amebeba kuku wawili wa kienyeji...
  11. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Akimbia baada ya gari yake kukutwa na mwili na bunduki, cash 600m na mihadarati

    Naam katika mitaa ya jiji la Dar. Siku zote tunawasihi vijana kuacha tamaa. Fanyeni kazi halali. Huyu dogo kawaliza watu wengi sana,,, machozi ya watu nuksi. Alisoma CBE. Kapanga bonge la jumba Kunduchi...Shughuli anazo fanya huwa hazieleweki, Mara kadhaa anajinasibu kwamba yeye ati ana...
  12. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Diwani Mamba Myamba Same mbaroni kwa kuendesha gari kwa uzembe na kusababisha kifo cha mwendesha boda boda

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia Diwani wa Kata Myamba wilaya ya Same, Greyson Kyondo Fue (42), kwa tuhuma za kuendesha gari kwa uzembe na kumgonga mwendesha pikipiki maarufu kama boda boda aliyetajwa kwa jina la Daudi Kibwengo (24), mkazi wa Kijiji cha Myamba na kusababisha...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wakuu niambie sifa za gari Suzuki swift old model 2005

    Wakuu niambie sifa za gari Suzuki swift old model 2005
  14. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Amekuwa kama mbawala aliyemulikwa na taa za gari gizani

    Hakika yajayo yana mwelekeo wa kutufurahisha. Samia keshachanganyikiwq huyo. Huku bado kukiwa na wingu kubwa jeusi likiwa limetanda kutoka ICC… Huku bado bunge la Marekani likiwa halijakamilosha maamuzi yake dhidi ya wauaji wa Oktoba 29… Huku bado tukiwa tunasuburi maamuzi ya jumuiya ya...
  15. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Waliouwa Oktoba 2025 walikwenda kuzima nyumba ya udongo kutumia gari ya maji ya zimamoto

    Unazima moto kuzuia moto usiharibu nyumba inayo waka na kuokoa mali zilizomo ndani. Tatizo walisahau nyumba ya udongo ukimwagia maji mengi inaporomoka na kuta zake zinaharibika, zinaporomoka kabisa. Baadhi ya Mali zinaharibika pia. Kuna wakati inaonekana afadhali uache nyumba iungue kisha moto...
  16. othuman dan fodio

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anapanda sana lifti za magari ya wapangaji wenzangu, mimi sina gari

    Ipo hivi tumepanga maeneo ya ushuhani kidogo hapa darisalama, sasa asubuhi tunavyoenda kibaruani wife huwa anawahi kidogo kuliko mimi. Sasa kila anapotoka huwa namchungulia dirishani namuona akipanda gari la mpangaji mwenzangu kama lifti akielekea kazini na mimi nikitoka napiga kwa mguu mpaka...
  17. U

    JamiiForums Tanzania MTU mfupi kwenye gari anabidi kuendesha na sio kuendesha.

    MTU mfupi kwenye gari ni vyema akaendeshwa.
  18. A

    JamiiForums Tanzania Gari ya Town Ace pickup 4W ipoje? Nataka kuijua kabla sijafanya maamuzi ya kuinunua?

    Nahitaji gari town Ace pickup 4W mpya au used naomba msada kwa mwenye uelewa nazo anipitishe kwenye darasa kabla sijachukua hatua yeyote ya manunuzi. Asante 🙏🏾 Naishi Lindi.
  19. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Gari jipya,,mileage mfukoni,,,,

    Naaam ni alfajiri safari inaanza,,,gari ishakula nundu ina ambaa ambaa mitaa ya ''Port access'',,,,siku hizi mnaita Mandela road...chombo inapita mitaa ya Ubungo inakata kushoto,,,,kipindi hicho hakuna double road kama sasa,,,ofcoz na magari hayakuwa mengi kama hivi leo,,, Naam chuma inainuka...
Back
Top Bottom