Red shadow
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,411
- 1,990
Wakuu nataka nikakate Bima ya kulipia sijaajiriwa na mfanyabiashara!!
Naombeni msaada wa maelekezo ili nifike hapo
Naombeni msaada wa maelekezo ili nifike hapo
search ww kama utafikanenda google maps
kazi kweli kweli
Nadhani ni Nyakato Buzuruga jengo kubwa tu hupotei ukiulizawakuu nataka nikakate Bima ya kulipia sijaajiriwa n mfanyabiashara!!
Naombeni msaada wa maelekezo ili nifike hapo
search ww kama utafika
Buzuruga pale sehemu ganNadhani ni Nyakato Buzuruga jengo kubwa tu hupotei ukiuliza
ewaaa TMDA napajuaBuzuruga Plaza, jengo la TMDA