gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania Swali la Wiki: Uzushi una athari gani kwenye Siasa za Taifa?

    Taarifa za Uzushi zina athari za moja kwa moja kwenye Siasa za Taifa. Je, athari gani unazozijua? Pia soma:Swali la Wiki: Uzushi gani maarufu ambao umetawala mitazamo ya watu kwa muda mrefu?
  2. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Je ni mwimbaji gani wa kike ambaye anaweza kupamabanishwa na "Whitney Houston"?"

    Zingatia swali "Je ni mwimbaji gani wa kike ambaye anaweza kupamabanishwa na "Whitney Houston"?" na akaleta upinzani mkali. Unachotakiwa kufanya: - Taja jina la Mwimbaji husika na wimbo wake japo mmoja. Video: Whitney Houston - I Look to You https://www.youtube.com/watch?v=5Pze_mdbOK8
  3. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Je, ni mwimbaji gani wa kike ambaye anaweza kupambanishwa na Whitney Houston?

    Zingatia swali "Je ni mwimbaji gani wa kike ambaye anaweza kupamabanishwa na "Whitney Houston"?" na akaleta upinzani mkali. Unachotakiwa kufanya: - Taja jina la Mwimbaji husika na wimbo wake japo mmoja. Video: Whitney Houston - I Look to You https://www.youtube.com/watch?v=5Pze_mdbOK8
  4. Kishimbe wa Kishimbe

    JamiiForums Tanzania volkano ya kunduchi - serikali imetoa ufumbuzi gani?

    VOLKANO YA KUNDUCHI - SERIKALI IMETOA UFUMBUZI GANI? Habari hii ilivuma sana miaka mitatu iliyopita! https://youtu.be/AxuC1PRaTEQ https://youtu.be/RnoqUCZFBYg wataalam wa jioolojia waligundua kitu gani kisayansi? kweli hilo tope linatokana na volcano au ni udongo mfinyanzi tu uliozidi maji...
  5. ichumu lya

    JamiiForums Tanzania Ziwa Victoria limewahi kukauka maji yote mara tatu

    Hii ina ukweli gani wakuu? ZIWA VICTORIA LIMEWAHI KUKAUKA MAJI YOTE MARA TATU Ziwa Victoria ni ziwa la pili kwa ukubwa duniani baada ya Ziwa kuu la Kaskazini nchini Marekani. Ziwa hili ambalo lina kina cha mita 83 ni moja ya maziwa machanga katika historia ya dunia kwa maana hayana miaka...
  6. technically

    JamiiForums Tanzania Wakinga Wana ajenda gani Kariakoo?

    Wakinga wamekuwa tishio sio tu kwenye kufanya biashara kariakoo Bali tuliwazoea Kama watu ambao wapo serious na utafutaji kariakoo Lakini sasa wamegeuka kuwa hatari kwa usalama wa raia idara za usalama zinatakiwa kufatilia Iko hivi sasahivi mkinga akitaka eneo kariakoo atalichukua tu utake...
  7. dr namugari

    JamiiForums Tanzania Huyu chief Goodlove anafanya biashara gani?

    Kijana naona anakuja kwa kas sna na hata saa hakuna haujuwae kuwa alikuwa nani na anafanya biashara aya kaz gani Jana aliwachukuwa watoto yatima 120 na kwenda kuwanunulia vitu mlimani city iliyo gharimu milion 40 Jmaa huyu anatoa wapi pesa na serklali na usalama wa taifa huyu isije kuwa...
  8. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Huu mfuko mdogo kwenye suruali nyingi za jeans huwa ni wa kazi gani haswa?

  9. R

    JamiiForums Tanzania Wajuzi nielimishe: Kuna tofauti gani kati ya Youtube na TikTok katika technology wanazozitumia, nani alimuigilizia mwenzake

    Mfano magari yote yanatumi carnot cycle invention! Mengine yote baada ya carnot cycle invention, I can call it Industrial designs tu ndizo tofauti! Sasa hawa Youtube na Tiktok wanatofaunian namna gani technologywise!
  10. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Njia nzuri ya kuangamiza taifa ni kuharibu mfumo wa elimu

    Kwenye geti la chuo kikuu Cha Cape Town nchini Africa kusini kuna maandish yasemayo" "Ukitaka kuangamiza taifa lolote duniani huhitaji kutumia silaha za nyuklia wala mabomu ya atomic. Njia nzuri ya kuangamiza taifa ni kuharibu mfumo wa elimu. "Ruhusu mbumbumbu waonekane wamefaulu na wasonge...
  11. kwisha

    JamiiForums Tanzania Unaweza kuchukuwa maamuzi gani kwenye situation kama hii

    Mimi ni kijana nimeo nina mke mmoja na mtoto mmoja Sasa tangu nimeoa mke wangu Nimekuwa kama mtu ambaye ametupiwa Pepo la uzinzi Yaani siwezi kupitisha siku mbili au moja na nusu bila kufanya tendo la Ndoa na mke wangu nimejaribu kutafuta michepuko lakini wapi kila nikimuona tu natamani...
  12. LorenzoA

    JamiiForums Tanzania Barabara za Dar zinafanana na za sehemu gani nyingine duniani?

    Tuseme ukwel kabla mambo hayajaharibika sana. Kuna muendelezo wa vitu ambavyo pengine baadae vikaleta matatizo makubwa sana. Wakati wenzetu wamepanua njia zao kwenda kwenye 6 to 8 lanes, sisi tunatumia millions of USD kujenga highly ineffective highways. Kuna watu ukiwauliza watachekelea...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Ni laini gani ya lipa pesa ni bora kwaajili ya biashara?

    Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nahitaji kusajili line ya lipa pesa, sijui ipi ni nzuri kwa ajili ya matumizi ya biashara. Vodalipa Airtellipa Tigolipa Nawasilisha
  14. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Haya madini gani na yanapatikana mikoa gani?

    Wakuu haya n madini gani?
  15. Nzelu za bwino

    JamiiForums Tanzania Mbolea gani inafaa kuweka kwenye kahawa inayoanza kuzaa matunda?

    Salaam wana Jambi,kama kawaida wakati umewadia wa kuingia mashamban. Naomba kuuliza ni mbolea gani inafaa kuweka kwenye shamba la kahawa inayoanza kuzaa matunda? Maana ningekua nikiekezwa umuhimu wa kujua mbolea sahihi.
  16. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Bidhaa gani za kutembeza ambazo ni aghalabu kuzikuta maeneo mbalimbali

    Nitajie vitu ambavyo unaweza kuviuza kwa kutembeza na havipatikani ovyo ovyo mitaani ambavyo ni adimu kwa mfano labda asali.
  17. W

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani hata uwe una hela Kiasi gani huwezi kununua?

    Huwa nashangaa sana mtu anasema amenunua wigi la millioni saba. I know I love expensive things lakini there is no way siku nikiwa na mamilioni ya hela nikanunua wigi la millioni 7 au 15. No way 😤 No matter how rich you are, one thing you might not waste your money on is superficial luxury items...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ni mitazamo gani mibaya uliyo nayo. Mimi yangu hii hapa...

    Kwema Wakuu! Kila Mtu anamitazamo Fulani àmbayo Ipo kimoyomoyoni kuhusu Watu. Baadhi ya mitazamo hiyo ni potofu Mingine NI Sahihi. Mimi mitazamo yàngu potofu niliyokuwaga nayo ni pàmoja na hii; 1. Nilikuwa najua kuwa Mtu yeyote mwenye Sura personal au tuite Sura ya Goti anajua ngumi. Baadaye...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano gani kati ya kupokea zawadi kutoka Kwa manabii na mtu kupotea kimaisha

    Tumeshuhudia anguko la goodluck gozbert baada ya kupokea zawadi kutoka Kwa nabii mkuu ..tutarajie Nini baada ya dada yetu mpendwa shusho kupokea million kumi kutoka Kwa nabii mkuu pamoja na dada yetu huyo kusemekana kuishi kinyumba Kwa muda na mtume maarufu wa kuuza mafuta ya upako... Jamani...
  20. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Ni hali gani ulikutana nayo ukakubali kwamba kuna watu wana roho mbaya extra?

    Tupe ushuhuda wako
Back
Top Bottom